Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari wa JF!! Kila nikipitia makala mbali mbali huwa nakutana sana na maneno haya "Uhujumu uchumi na Utakatishaji fedha". Naulizia haya maneno yanamaana gani na yanatumika kwa kitendo gani...
1 Reactions
19 Replies
7K Views
Wakuu habari Natarajia kuanza biashara ya kuuza kuku wa kienyeji, kuwatoa mikoani na kuja kuwa uza hapa DSM. Ni mgeni kwenye hii business, kwa watu wenye uzoefu naomba mnijuze soko lipo wapi kwa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nimesoma hii makala sehemu moja huko kwenye intaneti nikasema sio mbaya kama nikiitafsiri ili iweze kueleweka kwa wote, pia nimebadilisha baadhi ya mifano kuendana na mazingira yetu, maana...
14 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari, Naombeni tujadili jambo hili kwa kina maana linagusa maisha kwa ujumla. Katika mfumo wa utaftaji ni jambo linalohitaji mtu kuwa na nguvu flani. Kwa hali ya mazoea zipo nguvu za kidini na...
1 Reactions
36 Replies
6K Views
Makumbusho Panafaa kwa ajili ya biashara gani kati ya hizi mbili: - Duka la mahitaji muhimu - Phone accessories Mchanganyiko +Ufuni simu Au maji ya jumla? Wazoefu wa biashara naomba Mchangie...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Aje washika dau??? Nimekaa najiuliza kuna wasanii walikuja na bidhaa kede kede lakini zimeishia wapi ama wana fail wapi? King kiba alikuja na energy drink (more fire)mwana FA (perfume),Diamond...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Asalaam wakuu, poleni na janga la korona popote mlipo. Kwa kifupi nipo kijijini na mtumishi, nauliza kwa mwenye uzoefu wa hizi mashine za kukoboa na kusaga, changamoto zake na bei zake na...
2 Reactions
6 Replies
5K Views
Jaman poleni kwa kazi. Mimi ni kijana mwenye hamu ya kufanya biashara ya kuuza viatu minadani. Changamoto niliyonayo ni kwamba sijui Bei ya mabelo ya viatu pia sifahamu yanapopatikana hasa kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Siku hizi 5 nikiwa napita usiku naona wanarudishia rangi kwa zebra! Bagamoyo road na Mwaikibaki Rd. Kama ni msaada waendelee ila kama serikali inawalipa basi naona huu ni ujinga na viongozi pia ni...
1 Reactions
3 Replies
830 Views
Call:0764986782
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Salaam, Naomba kwa yeyote mwenye kufahamu suala la biashara ya usafirishiji abiria wa kutoka Dar kwenda Zanzibar ipoje? Ni mtu yeyote anaruhusiwa kuifanya hii biashara? Maana kuna tetesi kuwa...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Salaamu Naomba kuuliza sehemu ya kujaza muda wa kupeleka return najaribu kujaza imekwama, je wenye ujuzi naomba msada inatoa ujumbe huu Accounting year to be only dates at the end of the month...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nina pesa nyingi sana kwenye makaratasi. Nina akili vizuri sana ila sina hela mkononi. Darasani nimekimbiza watu sana. Mawazo ninayo mengi na mazuri Sina vitendea kazi Mawazo yamegeuka msongo wa...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Here?s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Bullish EURUSD moved upwards 100 pips last week, still showing determination to go further upwards. The market would experience...
1 Reactions
4 Replies
967 Views
Msaada wenu nina mpango wa kuanza mutengeneza san tizer shida, ni vifungashio naomba muongozo wenu navipatane na bei zake. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini wandugu zangu,naomba msaada wanaotengeneza mabox kubebea vifaranga ani pm tufanye kaz mi mjasilia Mali mdogo sana asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mzuqa wanajamvi! Kijana mdogo 'Ontario wa Uingereza' mwenye miaka 20 Garvin Singh mwanachuo Uingereza anayesomea udaktari kaliza watu zaidi ya pauni za uingereza million 3 kwenye Forex...
16 Reactions
97 Replies
16K Views
HII NI MESSAGE ILIYOTOLEWA NA MENEJA UCHIMBAJI MADINI YA DHAHABU PALE NZEGA, ILIYOTOLEWA JANA KUWAJULISHA WAFANYAKAZI WOTE PALE RESOLUTE KUWA MGODI SASA UMEFIKIA MWISHO. Tafadhali endelea...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom