Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari za Kazi wajuzi, Mimi naomba kufaham faida za hii business (Biashara ya YouTube channel/V Blogger). Mimi nataka nifanye kwa kutoa masomo ( Mathematics tutorials for college students)...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Ndo nishamaliza hata sina maneno mengi,maana kila mtu huyu anasifia huyu anaponda,anaesifia Yashamkuta ila anakwambia hakomi ndio life style yake(shauri lako),ana eponda yeye yashamkuta na amekoma...
11 Reactions
189 Replies
18K Views
Naomba msaada wa kujua commission kwa huduma zinazotolewa na POS ya CRDB Fahari Huduma. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
34 Replies
9K Views
Wiki jana tumeona ufunguzi wa maonyesho katika Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya. Tukio hilo muhimu lilileta pamoja wanafunzi na waalimu wa vyuo na taasisi mbalimbali za mkoa wa Mbeya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bei ya mafuta imeshuka kwa asilimia 30, kiwango hicho ni kikubwa tangu mwaka 1991 wakati wa Vita vya Ghuba, baada ya Saudi Arabia kuamua kushusha bei. Hatua hiyo inaonekana kama kujibu hatua ya...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Natumai wote ni wazima na mnachukua hatua za kujihami na corona virus Moja kwa moja kwenye mada, tusaidiane nataka kufanya maamuzi ya kuweka makazi ya kudumu kwenye moja ya miji tajwa hapo juu...
0 Reactions
37 Replies
8K Views
The private sector is bumping on hardship moment after Covid-19’s tragedy which is still happening and no one knows the forthcoming. Business volumes have abruptly dropped yet the fixed costs have...
3 Reactions
5 Replies
574 Views
Habari wadau. Nilikuwa na wazo la kufanya biashara ya kufungasha mchele kwenye kilo 5,10 na 20 na kuuza kwenye fremu. Je, kwa biashara ya aina hii natakiwa kuwa na vibali vya aina gani kutoka...
2 Reactions
6 Replies
6K Views
DHAMANA ZA MUDA MREFU (TREASURY BOND) Sehemu ya kwanza tulijadili kuhusu dhamana za muda mfupi (treasury bills) na tukaona ni jinsi gani zinaweza kumuingizia mtu kipato. Leo tutajadili kuhusu...
36 Reactions
71 Replies
29K Views
Ni wapi kwa dar au morogoro nitapata ream papers zenye ubora kwa bei ndogo Kama unazo tuwasiliane kwan nina hitaji mzigo mkubwa
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Msaada kama kuna mtu ashawahi fanya biashara kupitia Kikuu. Je, shipping yao wanaleta kweli au ndio unasubiri mpaka unasahau kama ulinunua kitu Kikuu? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu! Naomba kuuliza Ni jinsi gani ninaweza kuifanya biashara ya samaki wa mwanza (sangara) inipe faida? Na ni maeneo gani hapa nchini biashara hii inalipa? Sent using Jamii...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Poleni kwa majukumu ya ujenzi wa Taifa wana bodi, mimi ni wakala wa M-Pesa, kwa muda mrefu nimekuwa naingia hasara bila kujua inatokana na nini. Kwa mfano, nina laki tano kwenye simu na nina lako...
8 Reactions
104 Replies
16K Views
Habari zenu wanaforum hii Hakuna jambo jema na lenye furaha kama kuwekeza katika biashara au ujasiriamali na mambo yakakuendea vema kwani mafanikio ni ndoto na malengo ya kila mmojawetu pindi...
14 Reactions
15 Replies
4K Views
Mimi ni mwanafuzi, nategemea kumaliza chuo mwaka huu ila lengo langu kubwa ni kufanya biashara hapa mjini na sitaki kurudi nyumbani. Naomba mwenye uelewa na mawazo kuhusu biashara za viatu na...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu wanaJF Nina idea ya biashara ya usafirishaji mizigo, sasa naomba mnijuze kuhusu hii biashara. 1>Je, gharama ya uendeshaji ikoje? 2>Je, vipi biashara hii hapa tz? 3>Je...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau naombeni ushauri... Mimi ni kijana ila Mungu alinijalia ajira ya muda mfupi nikapata pesa nyingi. Sasa nimefungua biashara 2 hapa Dar na zinanilipa, ila tatizo kubwa ni kwamba...
0 Reactions
85 Replies
10K Views
Wiki iliyopita wanawake barani Afrika walisherehekea Siku ya Kimataifa ya Mwanamke. Siku hii muhimu husherehekea mafanikio ya mwanamke kijamii, kiuchumi, kiutamani na kisiasa na kuchagiza mjadala...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani naomba ushauri kuhusu biashara ya kusafirisha abiria nilkuwa na mpango wa kununua hiace ambayo ni used nasikia Dar kuna yard zinauza hiace used. Basi naomba ukweli kuhusu hili la hizi...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Jamani magroup ya biashara FB? Yamedorora sana wengi mmeliona hilo tatizo? Nakumbuka 2017, 2018, mpaka 2019 mwezi November palikua moto yaani matangazo na biashara vilikua vinatrend balaa, yaani...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Back
Top Bottom