Natafuta Kampuni au taasisi inayozalisha o kusambaza pembejeo mbalimbali za kilimo ili niwe wakala wao wa bidhaa zao kwa mkoa wa Mbeya. Nina uzoefu wa kutosha wa kuendesha biashara huyo na nina...
Wakati nipo Instagram niliona post ya application moja inayoitwa KwikPay. Kwa mimi ambaye napenda sana kutumia app nikasema ngoja ni icheki mara moja na kujua uzuri wa app hii.
Hii ni app...
Habari wanajamvi,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, katika harakati za kuweza kujiweka kiuchmi na kuyasongesha maisha mbele, nimeona niwekeze tena kwenye kufungua mashine ya kukoboa na...
March 5, 2020
Meneja Msaidizi Dawati la Kutatua Migogoro Benki Kuu ya Tanzania, Bw. Ganga Mlipano, akielezea Kanuni za kumlinda mteja wa huduma za fedha zilizoanzishwa tarehe 22/11/2019...
Habari Zaidi ya Habari na PPR-SADC Investment Forum
Kituo cha Uwekezaji Tanzania, TIC, kimepongezwa kuongoza katika uwekezaji katika sekta, ya
viwanda, unaotumia tekinolojia za kisasa kabisa za...
Kama mada inavyojieleza hapo juu, kuna mtu mmoja kaniletea sasa mimi sijui ni mawe gani haya, naomba kama kuna watu wazoefu wa mawe waniambie haya ni madini gani? na pia soko lake liko vipi kwa...
Wakuu habari za humu ndani wanaharakati wenzangu naombeni mawazo Nina kajipesa kangu kama 10 million nataka nikakuze walau kawe kana kua lengo ni kumiliki ofisi binafsi kwa maana duka sasa sijajua...
SCANIA IKO TAYARI KULETA MABASI YANAYOTUMIA GESI YA ASILI NCHINI TANZANIA.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Scania Tanzania Lars Eklund akizungumza katika mkutano na
waandishi wa habari jijini...
Vyeo vya juu vyote viko kwa wakenya ina maana wa Tz kumbe hatuwezi?
Mr. Alfonse M. Kioko
Group Managing Director & CEO
Alfonse Kioko is the Chief Executive Officer of Precision Air Services...
Habari wana JF!!
Nimekua na hili wazo mda kidogo yaani kifungua duka la kuuza samani za ndani kama meza, makochi, viti,vitanda,mashuka na mengine kama hayo.
Kwa wenye uzoefu tafadhali naomba...
Mwana JF tupeane uzoefu wa haya mambo.
hivi unapokuwa na jambo unalodhamiria kulitimiza ni vitu gani hasa unavizingatia unapotaka kufanikisha malengo yako.
Karibuni Tuelimishane Jamani
Sent...
Kuweka dhamana ama kukopesha pesa nayo ni matumizi. Usihesabu pesa uliyoweka rehani kwasababu kuna risk kubwa ya kuipoteza.
Tunahitaji elimu ya fedha zaidi, mtu kuwa rafiki ama ndugu haitoshi...
Hivi ni kweli kabisa mtu anaweza kuwa na millioni 1 mpaka 5 halafu hana cha kufanya, wakati anazikusanya hata hana idea yoyote ya kufanya.
Nahisi utakuwa hauko serious, kweli najaribu kuwaza...
Ni kitu gani muhimu sana ili ufanikiwe kwenye wazo lako la biashara?
1. Capital
2. Strong Team
3. Idea
4. Businese Plan
5. Timing
Comment namba ya jibu ambayo unahisi ina umuhimu kwenye...
Habari
Naona nichokoze mada leo kuhusu hasara na gharama ya uchaguzi.
Kabla sijazama katika mada nisisitize kwamba MAISHA NI MACHAGUO.Kwa mafano unapochagua kusoma andiko hili basi kuna andiko...
Nimetembelea mabucha mengi sana hapo Dar Mwenge na Kariakoo ndio vinara wa wizi wakifuatiwa na wa Shekilango, Mabibo, Goba Mwisho, Africa sana (mabucha ya nyama na samaki lao moja)
Ukienda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.