Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Asasi za Kiraia (CSOs) ni wadau wakubwa katika maendeleo kwa nyanja zote; kiuchumi, kijamii, kiutamaduni na hata ki-teknolojia. Wafadhili (donors) hutumia Asasi za Kirai kama njia (channel) katika...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa kawaida tunakuwa na mipango ya muda mrefu au kujiwekea malengo unayotaka kuyatimiza baada ya muda fulani. Binafsi nilikuwa na mpango wa kufungua saloon ya kike mwezi Aprili mwanzoni kabisa na...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, Kuna biashara nawaza kuianzisha, sasa kwa mazingira ya sasa ya nchi yetu na kwa mustakabali wa biashara husika, njia ipi ni bora? Kufungua biashara na kuiendesha kama mtu binafsi au...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Baada ya kukaa maeneo ya machimbo kwa kipindi flani nimeona na nimefanya vitu vingi. Vingine nimeandika hapa: Sitasahau biashara ya uchimbaji ilivyonifilisi Na hii: Jamaa walivyo dhamiria kuniua...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Najishunghulisha na biashara ya duka. Everyday hua naumiza kichwa vipi nitaongeza pesa zaidi hapa dukani. Leo asubuhi wakati natembea likanijia wazo la kuanza kuuza juice za kutengeneza na...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Nimekuwa nikifanya biashara ya kuuza maziwa fresh ya ng'ombe wa kienyeji, Changamoto inayonipata n kwamba maziwa yanatoka mbali kidogo ya mji sasa wakat mwingine yanakatika yanapokuwa sokoni NB...
1 Reactions
31 Replies
9K Views
In 2010, I met a man who was worth in 2007, $100M from starting his own business. What I didn’t know in 2010 was that the man, who would later become my friend, was actually bankrupt and homeless...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Niko mbioni kutaka kununua gari ndogo kwa matumizi binafsi na kikazi ndani ya mji na nje ya mji(Smooth roads and Rough roads). Ninadhani ni SUZUKI JIMNY ni gari Ndogo, Nzuri na...
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Hili ni swali ambalo huwa nakutana nalo mara kwa mara ninapokuwa katika shughuli zangu hasa pale ninapomsaidia mtu kuanzisha biashara. Mara nyingi wanaouliza swali hili ama huwa wanataka kujifunza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
KUANZISHA BUSINESS DEVELOPMENT UNIT (BDU) Kuungwa Mkono Pongezi nyingi sana kwa serikali kwa mambo makubwa yanayoendelea kufanyika nchini. Hayahitaji hata kutangazwa kila mtu anaona na kusikia...
0 Reactions
0 Replies
680 Views
Habari bandugu Nina biashara yangu nataka kutangaza Instagram kupitia zile 'Sponsored Ads' nimejaribu kutafuta msaada Google bila mafanikio, mwenye uelewa au uzoefu jinsi inavofanyika naomba...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Halmashauri ya mji wa Kahama na TRA, fanyeni tathmin ambazo Haziwezi kuwa mzigo Kwa wafanyabiashara, haiwezekani mtu anajipeleka kukadiriwa halafu mnaweka kodi pasipo maridhiano mazuri wakati...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari za asubuhi Leo nataka nilete hoja ambayo najua wengi wetu tunaifahamu ambayo inaitwa Planning,katika biashara na katika maisha.Wahenga wamewahi kusema KUSHINDWA KUPANGA/KUJIPANGA ni...
0 Reactions
1 Replies
837 Views
Kuna Jamaa yangu licha ya kumkatisha tamaa ya kujiunga kwenye Q-Net bado anaendelea kunitumia picha za watu wake walio kwenye hiyo business kwa madai kuwa watu wanapiga pesa wananunua magari...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wataalamu wa madini eti hayo ni aina gani ya madini? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari Nina kiwanja changu hapo pembeni ya jiji nataka nichukulie mkopo bank kihasi kama 2M. Sasa nawaza biashara gani ambayo inaweza kuniletea pesa haraka ya kulipa deni kwa wakati mimi...
2 Reactions
65 Replies
8K Views
Habari zenu wanabodi. Bila kupoteza muda wanabodi. Ni kwamba mwaka 2018 nilifungua duka la vipodozi, nywele bandia za kila aina pale Ubungo. Nilianza na mtaji wa 2M mbali na hela niliyolipa...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Zile machine za kutengenezea sabuni za mche, zinapatikana kwa bei gani na wapi? Mwenye uzowefu naomba msaada pls Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Naomba maelezo jinsi ya kuanza mchakato wa kupata vibari vya kusafirisha dagaa kwenda nje ya nchi. Ieleweke wazi kuwa Mimi ni mfanyabiashara mdogo sana hivyo ni vyema kuniongoza...
1 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom