Habari zenu wakuu,
Nina mtaji wa sh milioni kumi, nahitaji kufanya biashara nchini Congo. Mimi nilikuwa na mawazo ya kufanya biashara ya vitenge kutoka Congo na kuleta Tanzania na biashara ya...
Habari wakuu.
Awali ya yote naandika nikiwa nimekwazika sana dhidi ya Kampuni hii dhalimu yenye riba ya kinyonyaji dhidi ya watumishi. Nimewaaomba wanipe salio lao ili niwalipe niachane nao...
Between Dangote and Abramovich, who do you think is richer? And why exactly are you looking for the richest among these two great business men?
Dangote is the richest black man on earth according...
Kama kichwa cha habari kisemavyo. Nina mtaji wa Milioni 3. Walio serious na biashara, waaminifu, wapambanaji waje na IDEA tuzalishe 40,000/= kila siku. Iwe biashara halali tulipe kodi n.k...
Habari wadau!
Kabla sijaingia kwenye biashara zilizorasimishwa, kuna mambo kadhaa nahitaji kuyafahamu.
Je, naweza kutumia jina la biashara la kawaida (lisilokuwa kampuni) Ku import bidhaa kwa...
Habari JF!
Kwanza naomba nitoe pole sana kwa wale ambao nchi zao zimekumbwa na janga hili la Corona. Pia, tuliombee Taifa letu Mungu aliepushe na janga hili. Tuwaombee na viongozi wetu wasimame...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imeanza kutoa elimu ya Kodi kwa wafanyabiashara wa mkoa wa Mbeya katika kampeni maalumu ya Elimu ya Kodi mkoa kwa mkoa.
Kampeni hiyo iliyoanza tangu Machi 9...
Habari ndugu zangu kama kichwa kinavojieleza hivi nataka kujua mfano hii mitambo ya sola mfano mobisol, zola na mingne sasa kama umekopeshwa mtambo umeambiwa ulipe ndani ya miaka mitatu sasa...
Ndugu zangu, mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na naelekea kumaliza chuo ifkapo mwezi wa 7 mwaka huu 2020.
Nina mawazo kichwani mwangu huku likiwa wazo kuu ni kwenda kutatua...
Habari ndugu wanajukwaa,
Mwaka jana nilikuwa nafanya biashara ya M-Pesa mara baada ya makadirio ya kodi kutoka TRA.Kwa mwaka huu sitaki kuendelea na hii biashara.
Swali langu:- Je, nikienda TRA...
Msaada wakuu.
Naomba kuuliza: Kwa upande wa TIN Namba ni nyaraka gani au vigezo gani unatakiwa kuwa kuwa navyo ili kufanikisha hilo?
Sent using Jamii Forums mobile app
When JPM took office, those countries who benefitted most on the natural resources from Tanzania thought it will be business as usual. They did not realize that the nicknamed ''Bull dozer'' is in...
Takwimu zinaonyesha kwamba Tanzania imepitia kipindi kizuri cha ukuaji wa kiuchumi katika muongo mmoja uliopita na kuifanya hivi sasa kuwa moja ya chumi zinazokua vizuri katika eneo la Afrika...
Dar es Salaam. Benki ya CRDB imeongeza muda wa marejesho kutoka miezi 60 hadi 84 huku ikishusha riba kwa asilimia nne kwa wateja wake, hasa wafanyakazi.
Benki hiyo imeshusha riba kutoka asilimia...
Je, unaelewa nini kuhusu LEVERAGE?
Unafahamu kwamba kuna tofauti kubwa kati ya kutafuta NETWOTK na kutafuta WORK?
Je, unajua ni furaha katika maisha kuweza kufanya kazi kidogo na kutengeneza...
Zaidi ya asilimia tisini ya biashara zinazoanzishwa na watu ambao bado wako kwenye ajira zinashindwa kukua au zinakufa kabisa. Hili ni tatizo kubwa sana ambalo linarudisha watu wengi nyuma na...
Hivi vitu vitatu ni changamoto haswa katika ujana wetu, kwenda kwa umri ni kana kwamba tunashushuliwa tukue kiuchumi hali ya kuwa umaskini unatuvuta mashati.
Ni ndoto ya kila mmoja wetu kuwa na...
Kwa wajasiriamali wengi huwa tunajikuta tunakuwa busy muda wote,hakuna cha week end wala week day ni mwendo wa kazi tu.
Ingawa ni jambo la kawaida ila sio jambo zuri. Mjasiriamali yeyote lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.