Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Inafahamika wazi namna gani teknolojia imesaidia nchi nyingi kuendelea kiuchumi. Hii inadhihirika wazi pia kwa nchi za Afrika eneo la Kusini mwa Jangwa la Sahara ambapo matumizi ya simu za mkononi...
0 Reactions
0 Replies
642 Views
Hesima kwenu wakuu. Baada ya mda kidongo ivi wa kuwa busy, busy leo ningepena tujadiliane kuhusu fursa za biashara zilizopo kwenye hii jumuiya yetu ya EAC. Nitatoa muongo kidigo kuhusu nachokijua...
7 Reactions
23 Replies
9K Views
*FAIDA ZA KUWA NA HATI MILIKI YA KIWANJA AU NYUMBA* *Hati miliki ni nini?* -Ni document ya kisheria inayoonyesha mmiliki wa kipande cha ardhi. Ikionyesha ramani ya upimaji ya eneo husika, ukubwa...
3 Reactions
1 Replies
6K Views
Wadau salaam! Nilikua naomba maoni, ushauri na mawazo kuhusu hii biashara ya laundry ( kufua nguo ). Nafikiria kufungua katika moja ya maeneo kama Sinza, Masaki, Mbezi beach, Kinondoni. Vipi...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habarini wana JF. Poleni kwa majukumu. Je, kuna mtu yeyote anaeweza nisaidia kuniambia kama haya ni madini au la? Naomba msaada wenu wakuu
1 Reactions
12 Replies
3K Views
NIMEITOA MAHALI,SIMJUI MWANDISHI (imenigusa sana) Nimekuwa nikipokea messages na calls kutoka kwa watu wengi mno wanaotaka kuanza biashara au waliokwishaanza biashara ila zimekwama. Utasikia...
23 Reactions
57 Replies
9K Views
Nina degree ajira ni tatizo ,capital ni tatizo,kuna kaz nataka nianze kufanya kusajili lain but naogopa kuwa katisha tamaa wadogo zangu ambao nilikuwa ni mfano kwao? nifanye nn wa ndugu
3 Reactions
45 Replies
16K Views
•Don't waste your time! You need to understand that every day in your life ,in which you haven't learned anything - is wasted day! •Surround yourself with the people smarter than you! This kind...
7 Reactions
20 Replies
3K Views
Samahani Wakuu naomba kufahamu ni Benki gani naweza kufungua akanti na nikapata kadi kwa maana ninapotaka kufungulia akaunti ni mkoa tofauti na ninapoishi nahofia kuiacha alafu baadaye...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Habarini ndugu natumaini mu wazima! Lengo la kuomba ushauri kuhusu biashara hizi ni kwa vile sina uzoefu nazo lakini nimetokea kuvutiwa nazo kutokana na hesabu ambazo nimekuwa nikizipiga. Napo...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari za muda huu, NATAFUTA KAZI ya usimamizi mauzo, usimamizi viwandani, usimamizi miradi, kampuni yyote n.k Au kama una connection ya kazi yoyote tuwasiliane. Nipo morogoro mjini. Namba yangu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hello JF. Natumai mko poa. Nimekuwa nikisikia kwa muda mwingi kuwa Virtual Card ya kutengeneza kama vile ya M-Pesa MasterCard unaweza kufanyia manunuzi sasa kuhusiana na Youtube iwe kama payment...
1 Reactions
2 Replies
897 Views
Wakuu, Kwanza mniwie radhi kwa kuchelewesha kuleta somo hili. Kuna baadhi ya mambo yaliingiliana na hivyo kushindwa kuiandaa mada hii. Nilikwisha leta mada ya Usindikaji wa Yoghurt kupitia uzi...
13 Reactions
69 Replies
19K Views
Huu ni wizi kabisa mchana kweupe. Hivi sasa madukani soda za cocacola zenye sukari zimekuwa za kutafta kwa tochi. Zimejaa tu soda zisizokuwa na sukari. Yani nitoe jero yangu nikanywe ma chemicals...
5 Reactions
60 Replies
8K Views
Nikili wazi siyo mtaalam wa falsafa, ila katika maisha ya kila siku kila mtu hujikuta anatumia saikolojia ikiwemo na filosofia bila kujijua au kuwa na utaalam. Mambo ni mengi yayofanya 'life...
0 Reactions
2 Replies
610 Views
Habari zenu wanajamii. Utambulisho, Mimi ni mwanachuo nipo Dar, nachukua shahada ya teknolojia nipo mwaka wa mwisho wa masomo hadi sasa.Hivo kutokana na mihangaiko ya hapa na pale na changamoto...
2 Reactions
3 Replies
712 Views
Naomba kupewa elimu juu ya kampuni ya kuuza vocha na kupata kamishen kuptia aitha mpesa au tigo pesa na ukauza vocha mitandao yote nje na Rifaro Asante
1 Reactions
4 Replies
7K Views
Ipo eneo la kivule matembele karibu na kanisa la Suguye, ina vyumba vitatu vya kulala na masterbed room Moja, imezungushwa ukuta ina maji ya uhakika na umeme! Bei ni tsh, laki mbili na Elfu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
February 24, 2020 Paris, Ufaransa TANZANIA YASHIRIKI KWA MARA KWANZA KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIDHAA ZA KILIMO YA PARIS 2020, UFARANSA Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe. Samwel...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Kumekuwa na kuibuka kwa makundi mengi ya whatsup yanayohamasisha kuekeza pesa na kupata pesa Kama vile bc investment, million money,olvat na makundi mengine meng Hivi haya makundi ni kwel...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom