Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Sukari imeadimika, sukari imekua adimu, sukari zimefungiwa kusiko julikana je ni ukaidi wa bei elekezi au nikweli viwandani production imepungua. Wajuzi wa mambo mtujulishe wapi machimbo tunaweza...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Je umekuwa ukijiuliza juu ya benki gani ina matawi mengi na waajiriwa wengi Zaidi nchini? Vipi kuhusu mali zake na faida ipatikanayo? Mchango wake katika bajeti ya serikali ni wa kiwango gani...
3 Reactions
17 Replies
4K Views
Unapewa milioni 20 , unalipa riba ya 81% kwa miaka 6. Je huu sio wizi uliokubuhu? Wachumi tuelimishe is it worthy ta
4 Reactions
136 Replies
17K Views
Kuna dogo wa kiume hapa, ni kijana nimemfahamu muda mrefu na ameshanifanyia vitu vingi kwa uaminifu. Ningemuajiri mdada ila sina ninayemfahamu kwa ukaribu. Nafikiria ni afadhali nimuajiri huyu...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari wana JF nataka kufanya biashara ya kuprint t-shirt naanzaje...!!!?
1 Reactions
20 Replies
19K Views
Je, ukitumia kisima kama hiki na source ya maji ikawepo, je? kuna ufanisi gani katika kusambaza maji ndani yakawa yanatomika chooni bafuni na jikon, na huku bafuni bomba la mvua linatumika,je...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Heshimu kwenu wakuu Nataka kuanza biashara ya kuleta samaki dar kutoka moro ifakara niuze kwa bei ya jumla 4000 na rejareja 5000 ni samaki wakubwa waliobanikwa vizuri... nakaribisha maoni na...
0 Reactions
44 Replies
11K Views
Salama JF? Kutokana na jinsi Mambo yanavyoenda nchini siku hizi siangalii wala kusikiliza taarifa za habari za ndani. Nimewapa jukumu watoto wangu kuangalia taarifa ya habari ili baadaye...
12 Reactions
89 Replies
9K Views
Hali si shwari, Corona virus imeleta madhara makubwa katika sekta ya utalii A - Hakuna biashara na hakuna nafuu katika miezi 3 ijayo B - Wafanyakazi wengi sana wamepewa likizo bila malipo C -...
16 Reactions
51 Replies
7K Views
Naomba kufahamishwa bei ya maharage ya njano kwa mkoa wa Morogoro kwa sasa.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Congo, Zambia, Malawi Watarudi rasmi bandari za Msumbiji! Uganda Rwanda, Burundi watarudi bandari ya Mombasa! Wakulima watasota na mahindi na maharage na mpunga ambao uwa wana export miaka 2...
9 Reactions
12 Replies
2K Views
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) nchini Tanzania imesema, bei ya mafuta ya taa, petrol na dizeli zimepungua kwa baadhi ya mikoa kuanzia leo Jumatano tarehe 6 Mei 2020...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Wakuu habari, Nina elewa ni vizuri kibiashara vizuri kuviambatanishe pamoja PLUMBING (mabomba ya maji na fittings zake) na SANITARY WARE (sinks aina zote na vifaa vya bafuni) coz ni sector mbili...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Asikwambie mtu nlikuwa nadhani kufukuza mtu kazi kitu simpo, nshawahi kushuhudia jamaa yangu aliifata bodaboda yake stendi akamnyanganya funguo kijana anaeiendesha mbele ya umati mkubwa nidhani...
8 Reactions
64 Replies
6K Views
imeishaa
9 Reactions
107 Replies
11K Views
Kwa kipindi sasa raia wamekuwa wakilalamikia bei ya sukari kupaa na utetezi mbalimbali ukittoka kuhusu sababu ya kupaa kwa bei hiyo. Sababu ikitolewa kuwa ni mwezi wa ramadhani au kufungwa kwa...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za muda Nina mtaji wa Tsh Laki 3. Nipo Mwanza Naombeni mnisaidie kunipa business ideas kulingana na mtaji huo nilo nao. Mbarikiwe sana Serious answers please kuna vijana wengi...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Naomba msaada kwa wenye uzoefu wa kusafirisha bidhaa toka Dar kwenda Zanzibar. Sijajua kama bandar ya Zanzibar ina maushuruengi kama ya Dar au laa, mimi nataka kusafirisha mayai naya-park vizuri...
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Wanapango habari? Hebu shuka / tiririka hapa ni mbinu gani unatumia kupata soko la bidhaa zako. Tiririka wote tujifunze kutokana na uzoefu wako . Tusiwe wachoyo na maujanja ya maisha. Sina...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Je, ni bidhaa gani kutoka bara la Ulaya (Europe) zinafaa kwa biashara Tanzania. Kuna kampuni inasafirisha mizigo moja kwa moja East africa, ningependa kufanya partnership pamoja nao. Asanteni kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom