Enyiiiii! Wanawke tambua kuwa mnamvuto wa kipekee sana kwenye biashara,mnaweza kujikusanyia wateja wa rika mbalimbali na jinsia zote kama mkitaka na kujirekebisha tabia ya nyodo na dharau kwenye...
Habari wakuu,
Nina plan ya kufungua duka lenye mchanganyiko wa bidhaa za umeme na ujenzi. (electrical and hardware)
Ila ndio naanza hii biashara , sipo established kivile, naanza kama mid sized...
Habari zenu wana jamii forum, ninaomba kama kuna watu wenye uzoefu wa kuagiza vitu online hususan katika aliexpress mnisaidie katika shipping adress,cna po box,halafu bado kuna vipengele bado kuna...
Nimekuwa nikiangaika huku na huku nikitafuta platform ya kuweza kuuza bidhaa(products). Hangaika hangaika yangu nimefika mpaka Shopify huko kwa mabeberu na nikagundua bidhaa ninayotaka kuuza ni...
Kuna Mwalimu mmoja tuna muita Bill ni Baba ake mtu maaludu sana Jf, aliwahi kutuambia kwamba Uoga na Aibu kamwe huwa haziko upande wa mafanikio, kwamba huwezi fanikiwa huku ukiwa na ainu na uoga...
Habarini wakuu wa Kazi Habari za Majukukumu. Niko katika kipindi cha kukamiliza ndoto zangu ni mda mrefu sasa nilikua na ndoto ya kuanzisha kiwanda kidogo cha mafuta ya kupikia yapatikanayo katika...
Wakuu habari yenu.
Kuna vifaa vya stationary nimeachiwa na my brother, yeye kapata kazi mkoa mwingine so ameniachia ili niweze kuvitumia kwa biashara eneo alilokuwa anafanyia hiyo biashara mwanzo...
Habarini wanajamvi...
Hivi kwanini kamisheni ya voda inapanda sana mwanzo wa mwezi unapofika katikati speed hupungua?
Wakati miamala ni ile ile?
Nimejiuliza sana hili swali lakin sipati jibu...
Heri ya sikukuu ya Eid wapendwa.
Ishu kubwa nilikuwa naomba wenye ujuzi wanieleweshe, kuhusu mambo haya;
1. Ni kampuni gani nzur kwa shipping na wanaoenda na wakati ama kusave time?
2...
Ndugu wanajamvi naomba mtu yeyote mwenye kuwa na mawasiliano (namba ya simu)ya hii kampuni ya FedEx anisaidie.
Nimejaribu kutumia namba walizoweka kwenye web yao naambiwa hazipatikani na namba...
Nitaacha hii kazi ya uwakala maana malipo mapya ya vodacom m pesa mwaka huu wa fedha yanakatisha tamaa. yaani tsh 40, kwa muamala. ni hasara. kama voda wamekosea waseme
Peace everybody!
Leo tunakutana tena katika darasa muhimu kabisa ambapo leo nitajibu swali je, inawezekana Kutengeneza pesa kama Freelancer au ni kupoteza muda tu?
Jibu la swali hili ni muhimu...
Tabia ni nini:Tabia ni mambo au matendo ya kimazoea ambayo unaweza kuyafanya au kutokuyafanya bila kutafakari,kuhofia au kujali matokeo yake.Ni utaratibu uliozoeleka na kukubalika kwa mtu mwenyewe...
Habari wana JF!
Bila connection hapa duniani huwezi kutoboa. Naombeni mwenye connection na biashara ya ku import wine and sprit toka South Africa au India tujuzane hapa Asanteni.
Sent using...
Elewa kwamba kama huna product mkononi hakuna atakaye kusikiliza.
Huwezi leo hii ukaenda kwa Azam juice ukaanza kumwambia eti je nikilima maembe utanunua? Aisee wanaweza kukufukuza kabisa...
Mitandao ya kijamii ni muhimu sana katika kukuza biashara mbalimbali. Kuna njia nyingi za kufanya promosheni ya bidhaa au huduma zako, na miongoni mwa hizo ni matangazo ya kulipia.
Lakini unaweza...
Aliewahi kununua plots kutoka kwenye makampuni, zile ambazo unaanza na asilimia kidogo kidogo nyingine unamalzia kwa miezi kadhaa.
Vitu gani vinatakiwa, unatakiwa ufanye nini, tofauti na watu wa...
Nina ndugu yangu yeye anaishi nje ya Tanzania siku ya jumamosi alinitumia hela ya iddy kupitia bank na halafu akanitumia picha za pay in slip.
Sasa shida yangu ni kubwa ni moja na shida na hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.