Nimeshangaa sana kusikia benki ya TIB imeunganishwa na Benki ya Posta ambayo nayo isha unganishwa na benki kibao hapo nyuma.
TIB nazani ilikuwa benki ya Mitaji kama zilivyo kwenye nchi zingine...
Waungwana kwa mwenye ufahamu na uzoefu wa kuuza voacher za airtel,voda,tigo na zantel kwa jumla.
Mahali zinapopatikana,faida yake,na mahitaji ya mtaji ili uweze kusambaza katika maduka ya...
Habari Tanzania!
Je, una habari kuhusu bati zenye uwezo wa kuzalisha nishati ya umeme?
Teknolojia imekuwa sasa na mambo sio kama zamani.
Kwa wale wenye uwezo please fanyeni hiyo kitu jamani kwa...
Kwanza nimshukuru Mungu kwa kunipa afya tele, wakuu niingie kwenye mada moja kwa moja tarehe 6 mwezi 12 mwaka jana niliomba ushauri nifanye nini niweze kuongeza kipato changu.
Kwenye ule uzi...
Habari zenu wadau!
Najua JF ni darasa tosha kwa vijana. Hivyo mimi kama kijana naomba kujua ninachokiwaza kama kipo sahihi. Mawazo yangu ni kukaanga samaki na kuwasafirisha mpaka Arusha kisha...
Harmonize miaka 4 nyuma alikuwa anauza maji sasa anawafanya kazi wasomi kama Dr. Jembe na mjerumani na choppa na domo, miaka 10 nyuma huko alikuwa anaokota machupa sasa anawafanya kazi waliosoma...
Kwa vile COVID 19 imeharibu uchumi je serkali haioni kama ikipunguza ushuru wa kuagiza magari nje watu wengi wataweza kuagiza Gàri na pato litapanda?
Lakini kodi ilivyo kubwa watu waliokuwa na...
Fundi umekua ukijiongezea sifa mbaya sana kila majira yanapoenda. Kumekuwa na misemo maarufu kama "Fundi mkweli ni kinyozi tu", lakini hata hili sasa hivi si kweli. Kwanini na malalamiko yote haya...
Niwaombe wakurugenzi wa Benki ya CRDB na NMB wawekeeni ma afisa mikopo wenu mitego ya Rushwa maana wanasumbua sana, wekeni katika Wilaya zote na Branch zote nchi nzima, nilifikiri ni peke yangu...
Habari wakuu, Mimi ni mteja wa CRDB wa kipindi kirefu na nimekuwa nikitumia huduma za SimBanking kama zinavyotangazwa kwenye vyombo mbali mbali vya habari.
Lakini, kwa bahati mbaya au kwa...
Corona ime-threat biashara nyingi mno, watu wanakwepa kutoka na kuna biashara zimeyumba mno! Niliamini Waziri husika angalau angeshawishi mabenki yasidai madeni hadi hali itakapotengemaa, hata...
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), amewateua wajumbe wawili watakaoiwakilisha Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya...
Hi wapendwa kwa rehma zake mwenyezi Mungu, nimepata haka kamzigo naomba ushauri ili kesho yangu iwe na kheri niwekeze katk biashara gani na mtaji huu
asanteni kwa maoni
Habarini ndugu zangu, mimi ni mjasiliamali mdogo wa tigo pesa, mtaji ninaozungushia ni laki sita ila nimepata milioni mbili nje ya biashara yangu, nahitaji ushauri jinsi ya kuboresha biashara...
Kama mjuavyo kwasasa kuna mdororo wa biashara hapa nchini haswa Dar kutokana na sababu mbalimbali. Kuna mdau anataka mawazo kuhusu mradi upi awekeze, waswahili husema penye wengi hakiharibiki...
TBS imetoa tangazo na muda kwa wenye biashara tajwa hapo juu kujiandikisha.
Jambo la kwanza ni kuwa muda waliotoa ni mfupi sana kwa mfano kwa posho mills ambazo zimesambaa mpaka vijijini sidhani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.