Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Moshi Vikundi vya wajasiriamali wadogo wadogo mkoani Kilimanjaro vipo mbioni kunufaika na mkopo wenye riba nafuu uliotolewa na serikali kupitia shirika la hifadhi ya jamii Nssf kwa lengo la...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimekuwa nikiamini ktk mafunzo ya aina mbili hapa duniani.. Moja ni kufunzwa na watu/mtu. Na pili ni kufunzwa na dunia/mazingira. Ni vyema kuutumia uwepo wetu wa ufahamu ktk kujifunza,kuelimika...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari za majukumu Wana FF, natumaini Ni wazima wa afya, na wale wasio sawa kiafya Mungu awafanyie wepesi. Nirudi katika Mada, Nahitaji rejeta ya compressor machine inayotumia hydrauric au...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika safari ya ujasiriamali huwa kuna changamoto nyingi sana lakini kubwa kuliko ni namna ya kupata wateja. Unaweza kuwa na Bonge la Idea lakini bado usipate wateja,Unaweza kuwa na Product...
2 Reactions
3 Replies
921 Views
Habari za majukumu Wana FF, natumaini Ni wazima wa afya, na wale wasio sawa kiafya Mungu awafanyie wepesi. Nirudi katika Mada, Nahitaji rejeta ya compressor machine inayotumia hydrauric au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
these go hand in hand in the 21st century. You simply cannot push people to innovate if you cant support mass production or manufacture & sell the "innovations, or better yet, create a marketplace...
0 Reactions
0 Replies
559 Views
Heshima kwenu wanajukwaa Wahenga waliposema ukubwa ni jalala hawakukosea, walikuwa sahihi kabisa Niko na wadogo zangu wa kike hapa baada ya kumaliza kidato cha nne hawakufanikiwa kufanya vizuri...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Mimi ni kijana ambaye nilihitimu chuo mwaka 2016. Sikubahatika kupata kazi ya fani niliyosomea. Niliamua kuingia mtaani hapa mafinga na kupiga kazi za mtaani kwa bidii na nikawa naweka pesa benk...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kuna bidhaa nataka kuagiza nje kwa sababu hapa Tanzania nimetafuta nimekosa ila sijui unafanyaje nimejaribu kwa njia ya internet nimeshindwa kwa anayeweza kunisaidia kama kuna agent...
0 Reactions
23 Replies
16K Views
Naomba nisaidiwe, hivi kuna kiwanda cha mikoba na mabegi hapa nchini kwetu? Na kipo mkoa gani?
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Jitihada ni kulifanya jambo bila kuchoka wala kukata tamaa. Kipaji ni uwezo wa kubuni jambo ambalo lotawaacha wengine wabaki waoh. Wakati huu ni wakati wa kuunganisha jitihada na vipaji ili...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu, Mji wa Singida hivi karibuni umekuwa mji unaokuwa kwa kasi zaidi na fursa nyingi za kiuchumi kuongezeka. Karibuni wenyeji wa Singida na wanaoufahamu huu mji vizuri mtupe mengi...
3 Reactions
3 Replies
3K Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Mawasiliano), Dkt. Zainab Chaula amezikumbusha taasisi za Serikali kutumia huduma za Shirika la Posta Tanzania (TPC) kusafirisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wandungu Nahitaji pilipili hoho za njano na nyekundu kwa bei ya jumla, mwenye nazo naomba ani PM tafadhali tufanye biashara. Napatikana Dar es Salaam.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Waziri wa Madini, Dotto Biteko ameipongeza Kampuni ya Uchimbaji wa Madini ya dhahabu – Geita (GGML) kwa kuwa mdau wa mfano katika kuchangia utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika Mkoa wa Geita...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za Ijumaa wanajamvi, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu. Nimependwezwa na biashara hii ya tigo na vodarusha ila ningependa kujua vitu vichache kama ifutavyo:- 1. Mtaji mzuri...
3 Reactions
0 Replies
5K Views
Wakongwe habarini nina swali ambalo lina scenario mbili naomba ufafanuzi, ukingatia hapa ni Great Thinker forum Scenario ya kwanza Mimi naitwa Maduhu Wanduhu nimeanzisha kampuni yangu ya...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wadau mnaotumia simu kwa matumizi mbalimbali. Mimi pia nawashukuru Wazungu kwa kuleta hii technolojia ya kuwasiliana kirahisi zaidi. Pamoja na hayo najaribu kuwaza hizi vocha za simu...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari zenu Wana JF Mimi Ni kijana mwenye kipato kidogo kitakachoniwezesha kununua vifaa vya simu km covers, protectors na ear phones na kwa kuwa sina frame nawaza kuwa nazungusha mwenyew...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naombeni msaada kuhusu ni App ipi ambayo hutoa mkopo kwa uharaka
0 Reactions
1 Replies
811 Views
Back
Top Bottom