Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Ndugu zangu katika bwana natumai mu wazima,kama kichwa kinavyo jieleza nipo karibu na mgodi Wa acacia gold mining sasa kuna fursa za vijana zimetolewa kwa mwenye wazo la kampuni atapewa support...
1 Reactions
0 Replies
694 Views
Wadau, Mimi nawaza badala ya kuwa tunajadili fursa mbali mbali tu kiujumla. Kwanini tusiwe tunaonyesha mfano mtu yupo Mbeya au Kahama anatujajia bei ya mchele pande hizo? Mtu ambaye yupo Singida...
6 Reactions
21 Replies
6K Views
Naleta kwenu wazo la biashara.Naomba mtu ambae anaweza akapata soko la uhakika la ukwaju wa asili tufanye kitu cha maana kuna sehemu nimepita nimekuta upo wa kutosha. Nikajiuliza akina Azam...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Habarini wanaJF,poleni na majukumu ya kila siku. Nahitaji kufungua akaunti (saving A/c) Azania Bank, ningependa kufahamu gharama za uendeshaji kila mwezi, vile gharama za kutoa pesa ATM na kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kutokana na punguzo la Black Friday nilikua napita online niagize saa. Nimetembelea baadhi wa tovuti maarufu hapa Africa mojawapo ni hii Kikuu. Tokea nimejua online market mpaka jana...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nampa ushauri wa bure mchimbaji wa madini Laizer. Ushauri usichukuwe pesa na kukimbilia kujenga. Majengo Tanzania yanatumia pesa nyingi kuliko yanavyoingiza. TSH: 7.7B Kodi makadirio: 25%: TSH...
7 Reactions
30 Replies
4K Views
Naomba kuuliza jamani nataka kuanza biashara ya kufanya service za magari, anaejuwa vitu vya au vifaa vinavyo hitajika kuanzisha hii biashara. Munielewe sio GERAGE. Nitashukuru kwa yoyote mwenye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Tunafahamu kwamba mtu yeyote yule au taasisi inapokwenda kuchukua mkopo bank au kwa mtu lazima kwanza kuwe na makubaliano. Makubaliano hayo ni pamoja na dhamana ya kitu fulani. Je, taifa lolote...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Propaganda za hawa jamaa zimekua nyingi sana mara ooh nilikua professor wa chuo kikuu but now nimeacha hii fursa ndo imenifanya nikaacha kazi Mara oooh nilikua masikini leo namiliki range rover...
5 Reactions
30 Replies
7K Views
Habari zenu wakuu, Nina rafiki yangu kutoka nje, anatafuta madini ya Almasi sio kwamba anataka mengi lakini vijiwe tu kadhaa. Kiukweli Mimi si mjuaji wa Mambo ya madini. Nahitaji kufahamu kwa...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Wanajamvi nina coin hapa nimesikia ina thamani kubwa sana.Please yoyote anaejua tujuzane.Cheki picha kisha comment unachokijua.....ila iwe fact.
0 Reactions
5 Replies
855 Views
Habarini wakuu. Naomba mwenye uelewa haya yatakua ni madini gani!?
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Habari zenu wadau, Poleni na kazi na mihangaiko ya maisha. Ninayo furaha ya kuwashirikisha kwenye Jambo la manufaa na lenye heri. Kama Kichwa Cha habari kinavyosema, nahitaji watu jinsia zote...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Natafuta mawasiliano ya kiwanda cha mafuta ya mawese popote kilipo Tanzania. Kiwe kidogo, cha kati au kikubwa. Asanteni wananzengo. Spray
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu naomba mwenye kufahamu utaratibu wa kupata kibanda kwenye maonesho ya kimataifa ya sabasaba anipe muongozo pamoja na gharama zake.
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wapambanaji wenzangu ntafurahi kujua mko poa na mnaendelea na majukumu ya kimaisha. Labda wale wa mpaka mwiaho wa mwezi Leo wamepumzika ila wajanja wanaendelea na side hustle. Jumamosi ya...
9 Reactions
24 Replies
3K Views
Wakuu nimekuwa nikipambana kila leo kufikiria natoka vipi ilhali elimu yetu bongo haina msaada wowote(tunakaa na vyeti ndani). Kuna biashara nilikuwa nafanya mkoa fulani kwa takribani miezi 6 toka...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Serikali yetu ya awamu ya 5 inawajali sana wayonge na maskini na inahitaji watu watajirike na waondokane na umasikini lakini nauliza tu kwanini Serikai haiku ruhusu haya mawe yauzwe kwa mnada ili...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kitu nimechogundua katika safari yangu ya maisha baada ya ku experience vyote viwili kwa muda mrefu, ni kwamba kuna tofauti kubwa ya wasomi hasa watumishi na wafanya biashara. Miongoni mwa tofauti...
22 Reactions
35 Replies
12K Views
Hellow wanaJF, Naomba kama kuna mtu anaweza kuwa anafaham Bei za mpunga, mahindi, na karanga kwa mkoa wa Tabora na shinyanga. Nawasilisha tafadhali.
0 Reactions
17 Replies
6K Views
Back
Top Bottom