Kwa rate ya leo ya kuuza na kununua fedha hizo za kigeni ni kama ifuatavyo
1. USD inauzwa kwa shilingi 2317 na kununuliwa kwa shilingi 2354
2. Euro inauzwa kwa shilingi 2580 na kununuliwa kwa...
Habari Tanzania !
Kwa yule ambaye anataka wazo rahisi la biashara na kikubwa kwake ni pesa, nakushauri fungua kiwannda bubu eneo au mahali au nyumba unayoishi ujizalishie bidhaa ya sigara ungize...
Kama kuna benki yenye kiwango cha chini kwenye ubunifu basi NMB ni moja wapo! Wakati benki zingine zikiwa zimeshaachana na lile sharti la kung'ang'ania mfanyakazi anayetaka mkopo lazima mshahara...
Habarini wakuu!
Niende moja kwa moja kwenye mada, mimi ni kijana mtanzania nina wazo la biashara la kufungua kampuni ya usafi.
Niko Mwanza jiji nahitaji mtu wa kushirikiana nae kufanya naye...
Habari za jumapili wapendwa,
Yna2 Leo nimewaletea somo la kujifunza namna ya kutengeneza dawa ya kusafishia marumaru.
MAHITAJI
-hydrochloric acid Lita 10- kazi yake kuondoa uchafu sugu ulio...
Wadau Kwenye Biashara jana nilivyokuwa natoka chimbo langu la mishikaki mwanangu mmoja alini-Invite tukutane.
Jamaa ameniambia anataka kuanzisha Startup Company mimi niwe Co-founder wa Startup...
Habari zenu wadau.
Nimekaa hapa naotea jua nikiwa nachezea chezea simu instagram nisipitwe na nani kamwambia nani nini na amejibiwa vipi kama ilivyozoeleka.
Sasa nimeona kidogo niingie kuperuzi...
Habari zenu naomba kujua bei za hizi mawe please mtalamu au yeyote anaye jua bei aniambie hasanteni
Imperial topaz
Amethyst, and green Amethyst
Green garnet
Ruby
Wakuu naomba mnijuze kuhusu kodi za kuimport magari na kiasi chake,kwa gari ya 1500cc 2004
Ninachojua mimi ipo ile ya TRA (3M approx kwa gari hiyo)
Je kodi nyingine ni zipi na approximately...
''Airtel Tanzania has announced an 85 percent drop in its mobile data price from TZS 40 per megabyte. MD George Mathen, said customers' daily data patterns have increased recently and it is...
Ndugu zangu, hasa wale wanacheza michezo ya kubahatisha, kampuni hii ya Betika ni matapeli lakini Bodi ya Bahati Nasibu bado ina wacheki tu.
1. Kampuni inaruhusu kudeposit tu! Hata milioni we...
Habari wana JF.
Nahitaji kujua Bureau de Change yenye rate nzuri kwa maeneo ya Kariakoo mpaka Posta, nina dollar zangu kadhaa kama 348$ nahitaji kwenda kuzichange siku ya leo.
Naombeni kujua...
Kuna Triend nyingi sana huwa zinaelezea ufugaji wa Kware ulivyo kuwa utapeli na jinsi watu walivyo tapeliwa na kadhalika.
Kwanza Ukweli ni kwamba Mayai yake ni lishe na tiba, shida ni tiba kwa...
Hello there,
It is a well known fact that success is everyone's desire.
But like i will always say, success doesn't come just because you desire it. There are prices you pay, sacrifices you...
Kwenu great thinkers, hapa Naitaji michango ya mawazo yenu namna ambavyo tunaweza kulitumia wazo la mchina katika shughuri zetu.
Mchina ametumia fursa ya kuwasambazia Bonanza wahitaji halafu yeye...
Plastic welding Ni Kazi nzuri Sana ukiiendesha kisasa, yaani uwe na eneo la kuhifadhia vitu/vyombo vya wateja/kalakana, uwe na umeme. Vitu vinavyohitajika Ni; Electronic gun kwa kutobolea matundu...
Nimetoka kuunguza account yangu muda huu njooni tupeane moyo na ushuhuda wa mlikotoka wafanyabiashara wenzangu mliofanikiwa! Pia mtaji mkubwa unasaidia kutokuunguza account?
Sent using Jamii...
Habari wana JF
Mimi ni mkazi wa moshi elimu yangu kidato cha sita, kuna wakati nikiwa shule nilikuwa nasumbulia kichwa na mambo kadha ambayo nataka niyaweke hapa leo.
Kwanza kabisa ni kupoteza...
Poleni wanaJF kwa majukumu na mapambano ya CORONA tukumbuke kufuata maelezo ya wataalam.
Kama kichwa cha Habari kinavyoele naomba ushauri wenu wataalam wa Biashara ya Mazao. Nataka kununua mchele...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.