Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

NMB ni benki inayoongoza kwa rushwa ya mikopo, yaani afisa mikopo wanataka uwape rushwa ili wa process mkopo wako. Yaani ni benki ya ovyo kabisa.
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Kumekuwa na kuibuka kwa applications ambazo zinamfanya mtu kuweza kuagiza chakula online na kuletewa kwa delivery, ambazo ni piki na foodsasa, app hizi zinasaidia sana kwenye shughuli za kuagiza...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari za usiku mabibi na mabwana. Ni matumaini yangu kuwa mnaendelea vema na shuguli zenu za kila siku. Wenye matatizo poleni na endeleeni kupambana kumaliza hayo matatizo. Naam, niende kwenye...
7 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Closed
Salute bosses Utangulizi Wengi mmesikia sikia sana kuhusu Forex trading, mmepata kujua taarifa kadhaa kuhusu hii biashara lakini mmeshindwa kufahamu nini kinaendelea. This is the perfect thread...
682 Reactions
12K Replies
2M Views
Ndugu zangu habari ya subuhi. Naomba ushauri nataka kuanza biashara ya vitenge mkoa wa Mbeya (Tukuyu) kwa mtaji wa Tshs. million moja na nusu. Kwa hiyo naombeni ushauri wapi naweza kujumua kwa...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Mudathir Maulid Hamad +255776523020 WhatsApp number .......... Siku ya leo Naomba Tujikwamue kwa kua na mawazo chanya yenye tija katika maisha ya Watanzania. Ukweli ni kwamba vijana wengi...
0 Reactions
1 Replies
996 Views
Analysis yangu ya zao la mpunga kwa mkoa wa Morogoro iko hivi: Kwamsimu huu wa 2019/2020 mvua zimenyesha nyingi mnoo na kusababisha baadhi ya wakulima kuchelewa kupanda mbegu mpaka hivi...
2 Reactions
33 Replies
11K Views
Riches, Wealth, influence, the good life... who does not want it? To never struggle to have the things you want. Obviously here I'm talking about becoming rich through legal ways. The truth is...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Biashara ya kutembeza maandazi. Kilo 1 ya maandazi unapata faida 2000 yanatoka maandazi 40 unauza sh 100 kila andazi. Tafuta vijana 10 kila kijana mpe maandazi 120 yaani kilo 3. Hapo akiuza yote...
16 Reactions
82 Replies
25K Views
Hello Friends, Nafikiria kuanzisha duka la Urembo na Vipodozi. Nafikira kuuza cosmetics zillizo expensive, za bei ya kati na za bei ya chini. Ni eneo lipi kati ya MWENGE, MAKUMBUSHO na SINZA...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Globally, men have suffered in the hands of gold diggers who only love them for what they can put on the table. When a man hat a fat bank account, he need not propose to women as they will all...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, poleni na msiba wa kitaifa uliotukumba, pia tunashukuru Mungu Mheshimiwa Lissu amerejea nchini mwake salama akiwa hai. Tukiachana na hayo, embu tupeane ushauri hapa, kua ukimpa mtu dili...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
Habari za asubuhi, Kwa sehemu yangu mimi ni mara ya kwanza na jana wakati naelekea kisesa niliona wanagawa maeneo na watu ni wengi... nikaona isiwe shida nilifika kisesa kinanunua maji ya jumla...
0 Reactions
0 Replies
864 Views
Life is now complicated than it was before, there are things we ought not to rant about or discuss out to people. I would be enlightening you on the things you should never tell anyone if you...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
BancABC kwa kushirikiana na MasterCard, wamezindua huduma mpya iitwayo M-Pesa-Mastercard ni ya kwanza na ya kipekee Tanzania itakayomuwezesha mteja wa M-Pesa kuweza kulipia huduma na bidhaa...
26 Reactions
185 Replies
51K Views
Poleni na majukumu ya kila siku wakuu. Shida yangu ni kujua wapi wananunua mahindi na maharage kwa wingi mkoani Morogoro. Natanguliza shukrani kwa mtoa taarifa.
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Ninatambua sana kwamba, wamekufundisha na kukuambia "Utafute Role Model" na uige kile anachokifanya ili uweze kufanikiwa kama yeye. Wamekufundisha pia kusoma vitabu vya Mafanikio na kufuata kile...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba kujua namna na gharama za usafirishaji wa mizigo kwa njia ya RELI YA KATI(TANZANIA RAILWAY COMPANY)
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wana jamvi. Kifupi mimi ninaelimu ya chuo kikuu nilimaliza 2013, Ila kiuhalisia mimi sipendi kuajiriwa pia sipendi kupangiwa napenda kujiajiri. Mwaka 2014 nilikuwa nimeajiriwa kampuni...
1 Reactions
10 Replies
8K Views
Back
Top Bottom