Habari ndugu Mimi ni kijana mwenye taaluma ya upishi pia nimechukuwa certificate ya maswala ya planning and so on.
Hivyo kwa sasa nilikuwa natafuta baadhi ya vifaa vya mgahawa iwe kwa ajiri ya...
Habarini za leo ndugu zangu najua wote wazima wa afya kabisa
Leo nataka kuwajulisha juu ya hili swala la wizi wa mitandaoni hasa hii mitandao ya kijamii. Twitter, Face book, Instagram, Email...
Kuna watu wanachanganya mambo mara Barclay kainunua NBC, BarclayAfrica hajawahi kuinunua NBC bali NBC ilinunuliwa na ABSA ya South Africa.
Hawa ABSA ndio sasa wameinunua Barclay Africa.
Pia...
Kuna sababu nyingi lakini nitakuelezea kwa uchache tu
1. Biashara ya kujenga inahitaji mtaji mkubwa hivyo basi uwa utajenga sehemu ya biashara kwa rengo la kutunza fedha na ndani ya Hiro iyo...
Heshima yenu wakuu naomba kuuliza jamani.
Kuna mtu anauzoefu wa biashara ya Ice Cream za Azam kwa wale wanao tembeza kifuani wamevaa mankotena? Naomba mnisaidie utaratibu unakuwaje?Unachukulia...
Hii hali nimeiona Kwa watu wengi waliofanikiwa kiuchumi, huwezi kuta tajiri ana mazoea ya karibu na msukuma mkokoteni, yani tajiri huwa ana-socialize na matajiri wenzake tu, nyie wenyewe mnaweza...
Habari za majukumu wanajamvi, matumaini yangu mnachukua taadhari dhidi ya janga hili la Corona.
Niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni binti miaka 25 nimemaliza chuo mwaka wa tatu sasa...
Wadau mambo vipi?
Nadhani kila mfanyabiashara anapenda kuona biashara yake inakuwa kila siku, au kila baada ya muda fulani, hapa nina maanisha kwamba , kama ulianza kuuza chapati 20 kwa siku...
Habarini za kazi za kila siku wapendwa.
Kwa mwenye uzoefu tafadhali anisaidie ivi inawezekana mtu akakopa benki mara mbili yani akiwa ameshakopa benki A na anahitaji kukopa tena benki B io...
Inafahamika kuwa mawasiliano ya simu barani Afrika ni miongoni mwa sekta inayokua kwa kasi zaidi duniani. Ikiwa na mchango mkubwa wa vijana, Afrika inaongoza katika matumizi ya teknolojia ya simu...
With a Gross National Income of $910, #Tanzania is actually getting close to the $995 threshold level of a middle-income country. The question is: how to maintain the momentum of growth" - Yutaka...
Nahitaji mtu wa kushirikiana nae kwenye maswala ya kufanya issue ya photoshoot na video production. Mimi naweza zaidi photoshoot.
Nina camera nahitaji yeye aweze changia kwenye lens na speedlight...
Habari za Leo Wadau. Kampuni yetu inauza na kusambaza Mchanga wa Kujengea Kwa Bei ya Jumla na Nafuu Sana Jijini Dar Es Salaam. Hivyo kama Una hitaji Mchanga Mzuri wa Kujengea tafadhali tuwasiliane...
Kichwa cha habari tajwa hapo juu ni moja kati ya maswali pendwa sana ambayo wahitimu kutoka vyuo mbalimbali huulizwa. Miaka minne iliyopita baada ya kutoka chuo niliulizwa swali hili na baadhi ya...
Saudi Arabia leo wamesema watapunguza bei ya oil. Hii imesababisha bei ya mafuta kushuka kwa zaidi ya asilimia 30.
Hata wakati wa recession 2007/8 mafuta hayakuwai kufikia bei hii.
Kesho itakuwa...
Naanza na salamu kwa Wakubwa, bila kuwasahau Wadogo.
Nilishakuja hapa JF kuomba ushauri kutaka kuahirisha chuo kwa kijana wangu baada ya (mimi) kukwama kiuchumi ili aje mtaani tupambane na mwaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.