Inafahamika wazi namna gani teknolojia imesaidia nchi nyingi kuendelea kiuchumi. Hii inadhihirika wazi pia kwa nchi za Afrika eneo la Kusini mwa Jangwa la Sahara ambapo matumizi ya simu za mkononi...
Hesima kwenu wakuu.
Baada ya mda kidongo ivi wa kuwa busy, busy leo ningepena tujadiliane kuhusu fursa za biashara zilizopo kwenye hii jumuiya yetu ya EAC.
Nitatoa muongo kidigo kuhusu nachokijua...
*FAIDA ZA KUWA NA HATI MILIKI YA KIWANJA AU NYUMBA*
*Hati miliki ni nini?*
-Ni document ya kisheria inayoonyesha mmiliki wa kipande cha ardhi. Ikionyesha ramani ya upimaji ya eneo husika, ukubwa...
Wadau salaam!
Nilikua naomba maoni, ushauri na mawazo kuhusu hii biashara ya laundry ( kufua nguo ). Nafikiria kufungua katika moja ya maeneo kama Sinza, Masaki, Mbezi beach, Kinondoni. Vipi...
NIMEITOA MAHALI,SIMJUI MWANDISHI
(imenigusa sana)
Nimekuwa nikipokea messages na calls kutoka kwa watu wengi mno wanaotaka kuanza biashara au waliokwishaanza biashara ila zimekwama. Utasikia...
Nina degree ajira ni tatizo ,capital ni tatizo,kuna kaz nataka nianze kufanya kusajili lain but naogopa kuwa katisha tamaa wadogo zangu ambao nilikuwa ni mfano kwao? nifanye nn wa ndugu
•Don't waste your time!
You need to understand that every day in your life ,in which you haven't
learned anything - is wasted day!
•Surround yourself with the people smarter than you!
This kind...
Samahani Wakuu naomba kufahamu ni Benki gani naweza kufungua akanti na nikapata kadi kwa maana ninapotaka kufungulia akaunti ni mkoa tofauti na ninapoishi nahofia kuiacha alafu baadaye...
Habarini ndugu natumaini mu wazima!
Lengo la kuomba ushauri kuhusu biashara hizi ni kwa vile sina uzoefu nazo lakini nimetokea kuvutiwa nazo kutokana na hesabu ambazo nimekuwa nikizipiga.
Napo...
Habari za muda huu, NATAFUTA KAZI ya usimamizi mauzo, usimamizi viwandani, usimamizi miradi, kampuni yyote n.k
Au kama una connection ya kazi yoyote tuwasiliane.
Nipo morogoro mjini. Namba yangu...
Hello JF. Natumai mko poa.
Nimekuwa nikisikia kwa muda mwingi kuwa Virtual Card ya kutengeneza kama vile ya M-Pesa MasterCard unaweza kufanyia manunuzi sasa kuhusiana na Youtube iwe kama payment...
Wakuu,
Kwanza mniwie radhi kwa kuchelewesha kuleta somo hili.
Kuna baadhi ya mambo yaliingiliana na hivyo kushindwa kuiandaa mada hii.
Nilikwisha leta mada ya Usindikaji wa Yoghurt kupitia uzi...
Huu ni wizi kabisa mchana kweupe. Hivi sasa madukani soda za cocacola zenye sukari zimekuwa za kutafta kwa tochi. Zimejaa tu soda zisizokuwa na sukari. Yani nitoe jero yangu nikanywe ma chemicals...
Nikili wazi siyo mtaalam wa falsafa, ila katika maisha ya kila siku kila mtu hujikuta anatumia saikolojia ikiwemo na filosofia bila kujijua au kuwa na utaalam.
Mambo ni mengi yayofanya 'life...
Habari zenu wanajamii.
Utambulisho,
Mimi ni mwanachuo nipo Dar, nachukua shahada ya teknolojia nipo mwaka wa mwisho wa masomo hadi sasa.Hivo kutokana na mihangaiko ya hapa na pale na changamoto...
Naomba kupewa elimu juu ya kampuni ya kuuza vocha na kupata kamishen kuptia aitha mpesa au tigo pesa na ukauza vocha mitandao yote nje na Rifaro
Asante
Ipo eneo la kivule matembele karibu na kanisa la Suguye, ina vyumba vitatu vya kulala na masterbed room Moja, imezungushwa ukuta ina maji ya uhakika na umeme! Bei ni tsh, laki mbili na Elfu...
February 24, 2020
Paris, Ufaransa
TANZANIA YASHIRIKI KWA MARA KWANZA KATIKA MAONESHO YA KIMATAIFA YA BIDHAA ZA KILIMO YA PARIS 2020, UFARANSA
Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe. Samwel...
Kumekuwa na kuibuka kwa makundi mengi ya whatsup yanayohamasisha kuekeza pesa na kupata pesa Kama vile bc investment, million money,olvat na makundi mengine meng
Hivi haya makundi ni kwel...