Wiki iliyopita Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ikishirikiana na Chuo Kikuu cha Oxford imetangaza mradi mkubwa wa afya nchini Tanzania.
Mradi huo utakaogharimu shilingi za Kitanzania bilioni 13.5...
1. Hisa ni nini?
Wengi miongoni mwetu wamekuwa wakitaka kujua HISA ni nini, shauku hii imenifanya nidodose kidogo juu ya hisa kwa faida ya wengi. Kwa tafsiri lahisi HISA NI UMILIKI.
Mtu akisema...
Naanza kwa kuwasalimu ndugu zangu wa JF,
Moja kwa moja niende kwenye mada, mimi ni kijana umri wa miaka 21, nilimalza A-LEVEL mwaka jana na nikachaguliwa kujiunga chuo.
Ingawaje nilikidhi vigezo...
Wadau katika kuhangaika kwangu nilinunua mashine ya maximalipo lakini ilikuwa ni kipindi ambacho kumbe kampuni inalekea ukingoni.
Naomba kuuliza,ni kipi ninachoweza kufanya na mashine hii?Naweza...
Salaam!
Naomba kujulishwa aina ya vibali au leseni nitakavyohitajika kuwa navyo nikiwa nataka kuanzisha duka la kuuza mbolea hasa NPK, DAP na Urea.
Pia, nitauza na mbegu za mazao mbalimbali...
Habarini wote,
Kama kawaida leo nimefikiria nimekuja na swali jipya.
Mimi nipo Dodoma chuoni nasoma but nahitaji kuendesha shughuli zangu za kipato na pia mimi ni artist hasa katka suala la...
Habari wana JF,
Natumai wengine mshalala usiku huu, ila kuna jambo mkiamka nitaomba tulijadili sababu ni miezi kama sita sasa "Mamsap" wangu alikuwa anataka feedback ya biashara ya kusafirisha...
Wazima ndugu zangu?nataka nianze biashara ya viatu vya mtumba ila classic
Sitaki nianze na vingi nooh nataka nianze na pcs 3000 kwanza
Location nitatafuta eneo lenye hekaheka na shughuli...
Wadau, seller wa Aliexpress anahitaji kunirefund pesa sasa ameniuliza anitumie kwa njia gani?
Naombeni kwa anayejua anitajie njia rahisi ya kupokea pesa kutokea China.
Maana ameniuliza kama nina...
Natumai Mu Wazima!
Nina shamba langu Hekari 5 lipo Tanga! Nafikiria kulipiga bei, then pesa nitakayopata niongezee niingie kwenye biashara ya madini huku Arusha.
Market Value ya hiyo Hekari 5...
Wakuu,
Naomba kujua, nifanyeje ili nipate friji za makampuni ya vinywaji kama Coca-Cola au Pepsi ?
Msaada wenu utanisaidia sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Je unafahamu kwamba Watanzania wanaagiza Magari kupitia mitandao?Je unafahamu kwamba pia wapo watanzania ambao wanauza magari yao ambayo ni used in Tanzania?Je unafahamu kwamba hii ni fursa kwako...
Nahitaji kujiajiri niwe dalali wa nyumba,mashamba viwanja,magari n.k
Sasa nilikuwa nahitaji ushauri na uzoefu ambao mnafahamu changamoto na jinsi ya kufanikisha ila nataka kufanya mkoani
Sent...
Nchi ya Namibia imekuwa Nchi ya kwanza kutoka Africa kwa kuweza kusafirisha nyama kwenda USA . Shehena ya kwanza ya nyama tani 25000 inaondoka mwezi huu. Tanzania tunaweza kufanya biashara ya...
Teknolojia ya dijitali imebadili nchi nyingi barani Afrika. Programu mpya za simu zimesaidia biashara za kila namna kuibuka na kukua. Mabadiliko haya yamekuwa na tija kubwa kwenye sekta ya ajira...
Watanzania wengi wanataka kuuza vitu masoko na maduka ya mitandaoni kama Amazon, Ebay n.k
Yericko Nyerere, huwa unalipwaje ukiuza kitabu chako cha ujasusi wa kiuchumi kwenye duka la Mtandaoni la...