Wakuu amani iwe nanyi!
Nafikisha kwenu Wajuvi na Wazoefu wa biashara za hapa nyumbani. Leo naomba mwenye uzoefu wa biashara ya kufyatua Tofali kwa Dar es Salaam atupatie mawili matatu ili kina...
Naomba msaada wenu nina duka la nguo la kawaida tu na lipo eneo zuri la biashara kinachonishangaza sipati faida kabisa je kuna yeyote kwenye biashara hiyo ambaye anaweza kunishauri jinsi ya...
Ukiachana na Dar es Salaam, natamani kujua wilaya nzuri Kwa ajili ya kuishi, ambayo inaweza ikawa pia nzuri Kwa kufanya biashara, Hali ya hewa iwe nzuri, kununua ardhi isiwe ghali kama dar, maji...
Mwanangu J yani huyu mama anapika chakula Cha kawaida sana yani
Gey. Sasa si umekipenda na kawaida yake hiyohiyo Mimi huwa siingii kula hapa
J. Siyo kwamba nakipenda na siyo kitamu kuliko Kwa...
Nataka kuwa wakala wa kuuza magodoro ya TANFOAM ARUSHA, naweza kupata mawazo jengefu zaidi kuihusu hii biashara.
Nataka niuze mattress, mataulo, mashuka nk. Mbeleni niongezee vitanda pia.
Hii...
Uzi huu nimeweka jukwaa la biashara nategemea michango yenye tija. Tujue kutofautisha biashara na vituo vya kutoa misaada bure, msikiti, kanisa, n.k,
Kuna kaduka nilifungua, kwakuwa utumishi...
Usimuoneshe mteja wewe ni tajiri, usimuoneshe umejipata. Siku zote muoneshe unahitaji hiyo ela yake kuliko oxygen. Usimuoneshe Mteja umejipata
Hata kama kwa siku unafunga hesabu ya milion kadhaa...
Kwenye level ya vijana wanaojitafuta, Ni sababu ipi inayowafanya vijana wengi wanaofanya kazi za ujuzi kuweza ku maintain kuzidi vijana wenye maduka na huduma za fedha
Wenye ujuzi:
wajenzi...
Habari ya usiku wana JF!
Nataka kushare kile nilichojifunza katika msimu huu wangu wa kwanza wa biashara ya kuchakata mkonge na kutoa nyuzi za katani (wasukuma wanaita Unela).
Kwanza nikiri...
Wakuu habari zenu,
Naomba kujua kama kuna mtu anayefahamu soko la mawe yenye madini ya sumaku kuna sehemu yapo.
Sasa kama kuna mtu anayefahamu soko lilipo, naomba msaada tafadhari.
Kwa anayefahamu soko la dagaa wakigoma na bei zake maeneo ya mwanza anisaidie na kwa yule anaehitaji kufanya hii biashara wa dagaa wakigoma anitafte 0712351799 mimi nimzawa wakigoma kwaiyo utapata...
Naamini miongoni mwenu kuna wanaotumia mitandao ya kijamii kibiashara nami nahitaji kuwa miongoni mwao.Nahitaji kuwafikia watu zaidi kupitia mitandao hii kwa ajili kuwafanya wawe aware na uwepo...
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule (katikati) akikata utepe kuashiria kufungua rasmi duka la Vodacom lililopo eneo la kituo cha mwendokasi (SGR) cha Samia Jijini Dodoma leo. Kulia ni...
Biashara Za Mtandaoni zinatusaidia sana kupata vitu kwa bei rahisi sana Ila sasa Biashara hii imeingiliwa na Matapeli wengi. Sasa utamjuaje uyu ni tapeli.?
JINSI YA KUMJUA TAPELI WA MTANDAONI...
Dunia imejaa watu wenye vipaji, ujuzi, elimu na maarifa ya kila aina na tofauti tofauti kwenye nyanja mbalimbali, ambazo licha ya uwezo walionao,hawana ajira na wamekosa fursa au kutopewa nafasi...
Habari wakuu.
Nilikua natafuta eneo la biashara ya Cafeteria ambayo unaweza kaanga viazi,kuuza sharubati ya miwa na sharubati ya matunda mengine.
Ila hilo eneo kama kuna uwezekano liwe na vifaa...
Umaskini una tafasiri pana pia una nyanja nyingi kujieleza ila umaskini wa kiuchumi huelezwa zaidi kupitia vyanzo vyako vya pesa na uhuru upatao wa kiuchumi.
Moja ya kitu ambacho wengi...
Nawasalim kwa jina la jmt
Kuna watu wanafanya biashara ya hivi viatu, mikoani, daresalaam, visiwani.
Hivi viatu unavipata kwa mchina flani hivi anapatikana Narun'gombe na na Msimbazi pale...