Kwa anaejua sehemu naweza kupata material za kutengeneza viatu kariakoo yaani ngozi, leather, last, gundi,uzi n.k naomba anielekeze.
Kuna sehemu nameelekezwa tatizo ni mbali sana ivyo nakosa muda...
Nauza MPUNGA kutoka wilayani Kyela mkoani Mbeya. Nina gunia elfu moja (1000) zenye ujazo ndoo ya lita 20 zipo 10.
Mpunga upo Kyela na mimi nipo hapa Dar es salaam.
Mawasiliano: 0715088880
Me Huwa napenda kutafiti njia za utafutaji hata ziwe ndogo vipi, ili kujua watu wanapataje pesa na hizo biashara ambazo watu wanaziona ni duni
Nikasema haaa kumbe aisee watu wanapiga pesa ambazo...
Habari za wakti huu;
Katika shughuli zangu huwa nakutana na changamoto ya watu kutokutambua aina ya kampuni wanayotaka kuanzisha hii hupelekea watu ambao lengo lao ni kuanzisha kampuni ambayo ni...
Kwa wiki iliyopita mitandaoni hasa Instagram na Twitter kuliibuka mjadala mkali ikiwemo vita ya maneno miongoni mwa wafanyabiashara wa mjini Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyabiashara walimtupia...
SUBIRA, JUHUDI NA ....soma Hadi mwisho ujue Cha tatu
Kulikuwa na mkulima mmoja aliyepata mbegu ndogo sana kutoka kwa rafiki yake. Mbegu hii ilionekana dhaifu na isiyo ya thamani, lakini rafiki...
Habari wadau.
Wadada wameamua kuleta ubishi kwenye biashara za Bar na wanakimbiza kweli kweli mifano hai ni jesca kikumbi mmiliki wa kitambaa cheupe former cabin crew wa fast jet na mwenzie...
Wakuu habari za Leo.
Nahitaji kununua magazeti Returns yaan Yale mabaki. Ninahitaji kuanzia kg 500 na kuendelea had tani 5. Kwa mwenye nayo please tufanye biashara.
Namba yangu 0718378427
Wazee wikend imepoa sana
Sijui shida nn ila nataka kuwapa kuwpa code, asee jf nikifa mtanikumbuka sana. Sitaki mia yako mzee, wewe nenda kwa mchina kafanye biashara watoto waende chooni. Dua tu...
Leo nimezunguka mno kariakoo, sijafanikiwa kujua chimbo halisi la vijora. Kariakoo madukani Bei ni 5500 hadi 6000 Kwa visivyo na mtandio, na 10,500 hadi 11,000 kwa vyenye mtandio. Swali langu ni...
Kama una uzoefu wa kazi za pedicure na manicure njoo tufanye kazi, Ni biashara ambayo ndiyo kwanza tunaanza, vifaa vyote vipo, kila tunapofunga hesabu jioni, tutagawana ikiwezekana 50/50, Eneo ni...
Jambo la kwanza jitahidi kubadiri kutoweza kuwa kuweza Kwa kuamua mwenyewe
Na njia nzuri ni kuweka mpango mkakati wa kuanza kuweka na kuboresha mindset yako
Itakuwa ngumu ila ukizoea...
Salam!
Kwa mtu binafsi
Kwa biashara yoyote
Kwa NGO yoyote
Kwa taasisi yoyote ya elimu
Kwa taasisi yoyote ya kidini
IWE NI WAZO AU SHUGHULI HALISI
NINATOA HUDUMA YA USHAURI NA USAIDIZI KATIKA...
Katika Tanzania, makampuni ya mitandao ya simu kama Vodacom, Tigo, na Airtel hutafuta ardhi kwa ajili ya kuanzisha minara ya mawasiliano ili kufikia wateja zaidi na kuboresha huduma za mtandao...
Samahani ndugu zangu wa JF nilikua naomba kujua namna ya kuendesha biashara ya pweza kwenye zile meza ipoje?(Nipo Dar es salaam naishi mpakani).....
1.pweza wananunuliwaje
2.meza sh ngapi...
Habari,
Ndugu wafanyabiashara wa peanut butter, unga wa lishe, karanga za kutafuna na n.k. nina mashine ya kukaanga karanga yenye uwezo wa kukaanga karanga zaidi ya kg 50 na pia nina mashine ya...
Eti leo tunawashangilia matajiri wetu, kina MO na Azam, kwa kuujaza utajiri wao kupitia kuuza energy drinks, barafu za ukwaju, tambi, na viberiti. Lakini je, tupo serious kweli kama taifa...
WAKINA MAMA WAJASIRIAMALI WA DODOMA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA FURSA ZA KIUCHUMI
▪️Wajipanga kujiimarisha kiuchumi kwa fursa za kiuchumi kwa fursa zilizopo Dodoma.
▪️Wajipanga kujenga Maduka ya...
Ingawa biashara ya Bitcoin inaweza kuwa na faida kubwa, ni muhimu kutambua kuwa ni uwekezaji hatari sana. Kabla ya kuanza biashara ya Bitcoin, ni muhimu kuzingatia mambo yafuatayo:
Hatari za...
Haya kama mlivyosoma ni kweli
Hakuna biashara ina hela kama mapapai
Na hakuna biashara rahisi kama papai
Papai moja shamba linauzwa tsh 1500 moja
Mtaani wanauza tsh 3000 moja
Kilimo chake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.