Kumekuwa na Kasumba za kudanganya vijana kwamba mtu fulani alianza na mtaji wa matajiri kumi kwamba Leo anamiliki "yard ya magari " na kauli nyingine pendwa kama hizo mnazijua.
Mwisho wa siku...
BOT ishaurini serikali ianze kuzalisha noti za shillingi elfu hamsini (50,000).
Jipapatueni huko muanze kuizalisha hiyo noti, mtakuwa mmepunguza mzigo kwa watu fulani fulani nafikiri hata nyinyi...
Moderator heading isomeke hivi
"Namna ya kupata waekezaji kwenye smelting plant kama viwanda vya awali"
Huu uzi utaonyesha namna ya kupata investors (waekezaji) kwenye smelting plant za natural...
Hivi ni kweli biashara ya bar na kumbi za starehe ina laana? Zamani nilikuwa na rafiki yangu mfanyabiashara aliyekuwa anaishi Chunya, Mbeya. Wakati huo, mimi nilikuwa katika biashara za magari...
Habari zenu wangu, Mimi ni mpishi mzuri sana. Ninaishi na kufanya shughuli zangu za upishi hapa Dar.
Ninataka kwenda kufungua banda la kupika kwenye minada ya korosho mkoani Mtwara.
Wenyeji wa...
Nchi hii imejaa utajiri kila mahali leo nitakujuza fursa mbalimbali zinazopatikana Handeni mkoani Tanga
1. Uuzaji wa magogo na Mbao
Hii ni moja ya biashara kubwa sana itakayokuingizia kipato...
Salamu kwenu.
Binafsi yangu bado sijanunua gari, ila huko mbeleni nitanunua. Biashara yangu ikiwa imesimana.
Nimeona sasahv vijana wengi sana mafanikio yao ni magari ya kifahari na ya kustunt...
Huku ndani Kuna watu wa Aina tofauti tofauti Tukutane hapa kwa wale tunaojishugulisha na biashara ya saloon..
Hata hivyo wapo wale double possession.. A namiliki salon na ni fundi pia.. Pia yupo...
Habari za wakti huu;
Ni matumaini yangu kwamba mnaendelea vizuri katika jitihada zenu za kujenga taifa na kuifanya dunia kuwa salama na bora kwa kila mmoja wetu.
Kama ilivyo ada,leo nataka kuleta...
Kuna pesa za kiganga zinazagaa sana humu mjini.
Mtu unalipwa unashangaa hio hela hata umeitumiaje.
Hela inakuja na majini, ukiipata tu unapata wenge mara utatumia huku mara kule ghafla imeisha...
Watu wengi wanapata changamoto kubwa kwenye kazi zao za kuajiriwa — presha nyingi, malipo yasiyokidhi mahitaji, au kukosa muda wa kufurahia maisha yao. Umefikia hatua ambapo kila siku ya Jumatatu...
Habari zenu wakuu ,samahani naomba kuuliza wapi nitapata chimbo la urembo wa ndani maua, saa na kikorokoro vyote kwa kwa kariakoo ili na mm niuze huku niliko ?
Natanguliza shukrani
Wakuu nimeamua kuthubutu. Nataka kuanzisha kituo cha kuuzia mafuta (petrol & diesel). Ninapanga kuanza na na pampu mbili tu. Je ni mambo yapi ya msingi ninayopaswa kuzingatia ili kuanzisha kituo...
Habari za Muda huu Wakuu!
Kadri Umri unavyosogea, na majukumu yanapoongezeka ndivyo tunavyozidi kutafuta namna mpya ya kuwekeza ili kupata Uhuru wa Kiuchumi (Financial Freedom) kuelekea kwenye...
SERIKALI YAVUNA TRILIONI 1.8 KUPITIA SEKTA YA UZIDUAJI NCHINI
- Ni kwenye madini, mafuta na gesi
- Waziri Mavunde aelekeza uchunguzi wa tofauti ya Milioni 402
- Kamati ya Bunge...
Baada ya kufika Mtwara nimetembelea Bandarini kuona shughuli mbalimbali zinazoendelea, kubwa zaidi ni kwa ajili ya usafirishaji wa Korosho ghafi kuelekea nchi za India, China na Ulaya jionee...
Ndugu zangu habari,mwezi wa 4 nitafungua pharmacy kwa mtaji wa kama mil 30,kuhusu location am sure nitaipata nzuri hofu yangu kubwa ni kwamba mimi kazi yangu ni ya kusafiri safiri sana.
Nilitaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.