Vodacom Tanzania na Benki ya TCB wameujulisha umma na wateja
Vodacom Tanzania na Benki ya TCB wameujulisha umma na wateja wao kwamba ujumbe wa hivi karibuni kwenye mitandao ya kijamii unaodai...
Wakuu nadhani mtakuwa wazima Afya .
Ndugu zanguni nimekuja na ombi langu kwenu,na siku zote jamii forum ni sehemu imejaa waungwana kweli kweli.
Ombi langu ni kufahamishwa chimbo la vifaa...
Habari Wakuu!
Sio kila mtu kwake mtaji ni tatizo, wengi wetu tuna pesa ndefu kiasi tu kwenye Acc, (20M+50M).
Personal, nilipanga kuanza kuwekeza kwenye biashara kwa Capital ya 30M, ambapo...
Licha ya mafanikio yao makubwa katika muziki, wasanii wa Bongo wamekuwa wakipiga hela kupitia biashara na miradi tofauti nje ya muziki:
1. Diamond Platnumz – Mbali na muziki, Diamond amejikita...
Wapendwa nawasalimu kwa jina la jamuhuri ya muungano,
Naomba msaada wenu ndugu zangu , nimebahatika kuuza kaeneo kangu nikapata 10M. Sasa natamani kuizalisha kupitia bidhaa zinazotoka China...
Nina hicho kiasi. Kichwani kwangu nina mawazo haya ya biashara lakini nasita ipi hasa na hizi zote nimezipata humu humu na kulingana na mazingira yangu.
1. Saloon na kuingiza movies na nyimbo.
2...
Wakuu nataka niache aibu nianze kuuza moyai mjini.
Trei 1 ni 6500. Nikiyachemsha na kuyauza kila trey napata 15000, tuseme kuanzia asubuhi hadi jioni nikauza trey nne, nitakuwa na faida ya Tsh...
Songea. Mfanyabiashara wa usafirishaji mkoani Ruvuma, Jaribun Jaribun ameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuacha kujisifia kukusanya Sh12 bilioni kwa mwaka mkoani Ruvuma akidai wanaumizwa...
Habari za wakati huu,
Ni matumaini yangu kwamba unaposoma uzi huu unatamani kuanzisha biashara yako mwenye.Katika kuandika uzi huu nimefanya assumption kadhaa ikiwamo kwamba wewe unajua kusoma na...
Wakuu, nimejiajiri kwenye biashara ndogo ndogo
Mwenye picha au wazo, jinsi ya kutengeneza hiyo baiskeli yenye uwezo wa kubeba bidhaa kama; Miwa, fenesi, madafu na matunda mengine
Naombeni...
Habari za wakati huu;
Ni muda mrefu sana sijaweka andiko katika Jukwaa letu hili pendwa ambalo lina wachangiaji wachache.Nikiri tu kwamba ni kwa sababu mbalimbali sijaweza kuweka andiko hapa haswa...
Habari za mapambano wanajamvi kama mada ilivyo hapo juuu. Nimekuwa nafanya biashara ya mazao (mahindi, maharage,mpunga,alizeti) kwa mda wa miaka zaidi mitatu yaaani mimi natafuta mzigo vijijini...
Habari wadau
Nataka kuanza mpango wa muda mrefu kuhifadhi pesa.Nimechagua kuhifadhi kidigitali yaani huduma za kifedha kwenye laini ya simu au benki.
Sasa tatizo naogopa kujibiwa maana naamini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.