Kukata au kupunguza matumizi katika maeneo kadhaa ni mkakati muhimu ambao utakusaidia kuwa na ziada ya pesa kwa ajili ya matumizi mengine muhimu ya kimaendeleo.
Tunaangazia maeneo 10 ambayo...
Wakuu habari
Nataka nimfungulie biashara mdogo wangu nikamuuliza kwanza biashara gani amefikilia kuifanya kwa mtaji wa chini ya 500,000 kaniambia kuuza ndizi mzuzu ,Yani anaenda kuchukua mizogo...
Salaamu wanajamii, napenda kuuliza hivi huu mkopo wa hazina huchukua muda gani mpaka kuingia kwenye account kama ushamaliza process zote za mkopo?
Sababu tangazo tangu limetoka ni mwezi wa 11...
Wakuu tushirikishane basi hizo biashara au madili ya biashara za kuingizia kiwango hiko cha faida kwa muda tajwa, hivi kweli zipo na kama zipo tushirikishane.
Mambo ya kufanya biashara kwa mazoea...
Habari rafiki?
Kesho tarehe 11/05/2017 ndiyo mwisho wa kununua hisa za vodacom kwenye soko la awali. Wakati tunaelekea mwisho kabisa wa zoezi hilo, nimeandaa mwongozo huu mfupi kuhusu UWEKEZAJI...
Kila mtu anawaza pesa, kila mtu kichwa chake ina picha ya mafanikio na asilimi 90% ya hawa watu wote wanaowaza pesa na mafanikio na maisha mazuri hufikiri pesa inapatikana kwa kufanya biashara tu...
Mnamo mwezi wa nane mwishoni nilifungua biashara ya kuuza kuku Wa kukaanga pamoja na viungo vyake.
Wakati nimeanza mauzo yalikuwa hafifu ikawa hata elfu 5 haifiki ya mauzo, ndo nikaja na Uzi wa...
Ndugu zangu hapa nilipo na mtaji wa laki saba na nipo Arusha.
Nilikuwa na wazo la kufungua biashara ya internet cafe ila nikiangalia kwa biashara hii mtaji ni mdogo.
Nilikuwa naomba wazo la...
Men who become genuinely
There’s a common misconception that success is just for the young guns, but nothing could be further from the truth.
Men who achieve genuine success in their 50s and...
MIKOPO YA ASILIMIA 10 KUANZA KUTOLEWA KABLA NOVEMBA 30, 2024.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Dkt Festo Dugange amesema mikopo ya Halmashauri ya asilimia 10...
Wakuu, habari za kazi?
Samahani kwa usumbufu. Nina biashara ndogo ya vifaa vya simu (phone accessories), lakini ninahitaji kuongeza mtaji ili niweze kuagiza mzigo mwenyewe kutoka China na kuuza...
Mara kadhaa kabla ya ununuzi wa simu imesababisha watu wengi kuamini kuwa RAM kubwa zaidi kama 3GB, 4GB, 8GB na 12GB ndio suluhisho kuu la kuboresha utendaji wa simu. Ingawa bila shaka ni muhimu...
Kuna biashara zinaonekana ndogo lakini kipato chake kimechangamka
1. Miwa- hii inalipa sana
2. Karanga
3. Kahawa- faida X2
4. Fenesi- k/koo&sinza,
Niongezeeni nyingine, nahitaji kutoa ajira kwa...
Kwenye biashara iwe ni service provider au manufacturer kuna kujenga brand name lakini pia kuna logo ambayo kazi yake kubwa ni kuitambulisha brand yenyewe.
Logo ni sehemu muhimu ya kutangaza...
Mimi ni mtumishi wa Umma wa kawaida. Ndoto yangu ni kumiliki shell kituo cha kuuza mafuta eneo ninalokaa mtaji wa mafuta ni mkubwa na sheli ni moja na kuna wakati anaishiwa mafuta hata kwa week 2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.