Kama una biashara ndogo, na ukaifanya kwa ukubwa itakulipa.
Kama una biashara ya kuchoma na kuuza mahindi, unatakiwa uongeze ukubwa kwa kuongeza kijiwe kingine na si kukiboresha kile cha mwanzo...
Wakuu habarin!
Nimejitaidi kufanya kazi kwa muda mrefu Sana mpaka nikafanikiwa kukusanya kiasi cha Million 2 ila nimeshidwa nifanye biashara gani.
Wakuu mwenye wazo la biashara naomba anisadie...
Ama kweli hali ni ngumu duniani kote. Si tu kwa nchi yetu Tanzania, hata dunia kwa ujumla
Shida sio faini waliotandikwa google, tatizo limeanzia kwenye Pato la Taifa la Dunia
Habar......,!!
Sisi ni Mkandarasi kwa upande wa Umeme na mitambo(Mechanical). Pia nina fanya Biashara za kuuza na kununua Generator and Air compressor pamoja na Spare part zake.
Nina Generator...
Wakuu nahitaji ushauri.
Ni muda mrefu nina ndoto ya kufungua biashara ya vifaa vya simu.
Ila changamoto nakosa mtaji na sijajua kiasi gani kinaweza kufaa kuanzisha hii biashara. So wajuzi wa...
Kumradhi Ndugu yangu.
Nawaza kuanzisha biashara ila sijafikia muafaka mawazo yangu.
Sijazaliwa kwenye familia yenye umaridadi sana na biashara, ila hii haimanishi kwamba siwezi kufanya biashara...
Watu wanaotumia mfumo wa TAUSI PORTAL kuomba leseni na huduma mbalimbali wamekwama. Hakuna huduma inayotolewa kwenye mfumo. Tamisemi mnakosa mapato, shida ni nini. Watu wana wiki 2 wanahangaika...
Habarini wakuu, Naitwa Richard Mashauri
Nimesoma degree ya uhasibu na teknolojia, nimejitahidi pambana kitaa na kazi mbalimbali ikiwemo ufreelancer azam pesa pamoja na kusupply mitungi ya gesi ila...
Tunahitaji kusajili kampuni tuiite ABC INC tukiwa na maana ya ABC INCORPORATED sasa swali ni je pale BRELA usajili huu utakubalika? Au ni mpaka kuwe na Limited mwishoni?
Swali 2: Ikiwa ABC...
Habari wanajamvi,
Natumaini sote tunaendelea vizuri na Mungu ametuwezesha kufika hapa salama.
Kuelewa ujuzi wa mawasiliano ni kama kujifunza kuendesha gari. Huwezi tu kuketi kwenye kiti cha...
Wanabodi
Makala yangu kwenye Nipashe ya leo
Anachofanya Rais Samia na serikali yake, kutenga asilimia fulani ya fedha za kila halmashauri, na kuzitoa kama mkopo nafuu usio na riba kwa wikundi vya...
Inasikitisha kuona office nyingi ziko Dar pekee wasafirishaji kama dhl, sailenti osheni n.k hawana office baadhi ya mikoa vile vile mikoa waliyopo Wana gharama kubwa sana!, anyway watu wa mikoani...
FAIDA KUU TATU ZA KUMILIKI WEBSITE AU TOVUTI
Dunia ya sasa ya technolojia ambayo kwa sasa biashara muhimu zinafanyika mtandaoni , watu wengi wamekuwa wakimiliki website bila kujua faida...
Fursa za kiuchumi mkoa wa Mbeya
Habari wakuu...
Nimepangiwa Internship apo Hospital ya mkoa wa Mbeya, naomba kujua fursa ambayo zipo mkoa wa Mbeya naweza kuzifanya huku niki endelea na internship...
Habarini wana jamvi, Ningependa kufahamu kama kuna suala la kukatwa kodi na TRA pale unapoagiza mzigo toka Ebay au Amazon, mizigo kama simu, nguo, perfumes N.K, nitashukuru sana kwa msaada wenu...
Ilikuwa ni mwezi wa sita nilichukua balo la mizura niuze kipindi cha baridi, aisee nilikuta mizura yote ni ya father christmas.
Yaani yote ni aina moja father christmas, na biashara ikaishia...
Chuo tukisoma business administration , unapewa format ya kuandaa business plan ambayo robo ya muongozo unajikuta unashindwa kundana nao.
Lakini ukiingia sasa elimu ya kimtaani taani (iite...
WATU WENGI WAMEFERI MAISHA KWA KUSIKILIZA USHAURI WA WALIOFERI MAISHA
KWA KUSOMA HUU UJUMBE MFUPI NI BAHATI KWAKO KAMA UNAHITAJI KUFAULU MAISHA NISIKILIZE MIMI NILIEFAULU
MIMI NIMEFANIKIWA...
Wakuu habari za muda huu ,hope mko poa walio wagonjwa ,wenye huzuni Mwenyezi Mungu awasaidie
Hivi karibuni nilipata kazi katika kampuni inayojishughulisha na mikopo mkoa (X) as a guest kwenye...
"
Tajiri Mohammed Dewji anaonekana kuwa mfanyabiashara mwenye bidii sana. Kazi yake ya kusimamia kampuni zaidi ya 40 inampelekea kuwa na ratiba inayohitaji uwiano na bidii. Asubuhi, anajitahidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.