Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Kazi hizi ni zile ambazo ni chafu na zingine zina vyeti na zimo katika mfumo rasmi ulowekwa na wazungu ambazo zingine zalipa kishenzi. Nimetumia neno kazi za kishenzi kutokana na mazingira ya...
3 Reactions
12 Replies
934 Views
Muda huu nimenunua soda ya take away(PEPSI) ila container lake naona ni laini tofauti na nilivyozoea yaani ni kama rojorojo fulani hivi kiasi kwamba nasita hata kuendelea kunywa hii soda. Swali...
5 Reactions
28 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu! Kwa watu ambao mmewahi kusoma nchi za nje au ambao mmeshawahi kufatilia kuhusu haya mambo, ni dhahiri mnafahamu kuwa ili mtu upewe nafasi ya kusoma chuo cha nje lazima...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Nipo Dar nataka nianze biashara hii ya kuku wa mayai ila nataka kijana mtaalam mwenye uzoefu naweza mpata wap? na maeneo mazuri ya kuweka banda ni wap nina plot bagamoyo kma heka 2 na plot ya "20...
1 Reactions
189 Replies
78K Views
Mwaka 2017 nilinunua pagara huko Mbeya! Baadae niliezeka wakawa wanaishi watu. Cost nilizotumia ni 4.5 M. Hadi leo kodi nayopokea haizidi elf 30 sehemu za mkoa wa Mbeya demand ya nyumba ndogo...
14 Reactions
108 Replies
7K Views
NAIBU WAZIRI KIGAHE: WAJASIRIAMALI WAPEWE ELIMU YA KURASIMISHA BIASHARA Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe amezitaka mamlaka za Serikali zinazosimamia sekta ya biashara nchini...
0 Reactions
1 Replies
147 Views
Habari wanajamvi, nimekuja mbele yenu mm ni kijana wa miaka 25, lengo la kuamdika uzi huu ni kuomba ushauri juu ya biashara yangu. Mimi ni fundi kuchomea lakini pia nimejiongeza kwa kujifunza...
3 Reactions
17 Replies
788 Views
Wakuu kwenye familia yetu tuna asset muhimu kama ardhi, mashamba na nyumba kadhaa ila usimamizi ndio hakuna. Kama mtoto niliesomeshwa na kuhitimu elimu ya juu natamani siku moja familia yangu iwe...
18 Reactions
184 Replies
6K Views
Natumaini wote mnaendelea vizuri? Kwa heshima na taadhima naombeni kama kuna mwandishi au mchapishaji anisaidie kupata mchapishaji wa vitabu kwa bei nafuu,yaani anipe mapendekezo ya wachapishaji...
0 Reactions
3 Replies
170 Views
Mawakala tumekuwa waathirika wakubwa kwenye mashine hizi za uwakala wa mabenki, unakuta benki zipo zaidi ya 40 Tanzania na kila benki ina mashine yake, tena zinauzwa ghali sana na ukilazimisha...
7 Reactions
13 Replies
770 Views
Kwemah wakuu,,,tunapeana tu motisha na kuongeza mapambano ya kila siku hasa kwa wadundulizaji kama mimi Iko hivi, nilipomaliza chuo niliingia zangu kitaa na idea ya kuuza vifaa vya simu na tigo...
27 Reactions
33 Replies
2K Views
Habari za majukumu waheshimiwa👋 naamini mko salama... Ndugu yenu hapa, kwenye moja na mbili za utafutaji nimekusanya Tsh. 5,000,000/= Kilichonileta hapa ni kupata ushauri kwa wenye uzoefu kidogo...
9 Reactions
60 Replies
6K Views
Habari za majukumu wana JF, Leo naleta mada hii iwe kama funzo kwanaotaka kuanza biashara au wanaofanya biashara. Nianze kwa kwakusema biashara inaitaj mtu uwe na roho ngumu yaani usiwe na...
41 Reactions
145 Replies
7K Views
Habari yako mwana jf Baba yangu alibahatika kuwa na mali nyingi sana na kwetu tumezaliwa wachache watu wa nne tu, Sasa mzee ili kuondoka utata ameamua kugawa mali ingali yupo hai Mimi nimepata...
8 Reactions
187 Replies
3K Views
Habari Wana JF. Nina shamba langu wilayani Biharamulo mkoa wa Kagera lenye ukubwa wa ekari 34 na lina miti mingi ya asili kama vile mibanga, minazi, misindo n.k. Nahitaji kuivuna na kuichoma...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Nawasalim kwa jina la jamhuri Wakuu nauliza wapi naweza kupata wateja wa hii mifuko ninategeneza na plani yangu ni kuongeza soko lake ili kujipatia kipato zaidi.
3 Reactions
9 Replies
353 Views
Ikiwa kwa mfano kuna kampuni ya watu wawili (upo wewe na wife) na si huwa tunasikia kwamba kampuni ni mtu kisheria. Sasa mfano shareholders (wewe na wife) mkaazimia kuikopesha kampuni ambapo ije...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
0 Reactions
0 Replies
128 Views
Habari Wana JamiiForums, Nimekuja hapa nikiomba mawazo yenu, ushauri na msaada ikiwezekana. Katika maisha yangu nimejaribu sana kutafuta kazi sehemu mbali mbali bila mafanikio, na hata nikipata...
10 Reactions
47 Replies
2K Views
Watu wengi wanaanzisha biashara pasipo kuwa na taarifa kamili kuhusu biashara husika, soko, ushindani,na malengo thabiti ya kuanzisha biashara hiyo. Wengi hawafanyi uoembuzi wanaamua kufanya kwa...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom