Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Hata wao wapo wanaofanya biashara nyeusi, mabasi ni ya kutakatisha pesa, lakini still unakuta wao wametuzidi kwenye kuendeleza biashara kwa vizazi tofauti na sisi biashara nyingi baba akifariki...
2 Reactions
5 Replies
333 Views
Mnamo mwaka 1990 ndipo nilipoliona jua kwa mara ya kwanza na najua mungu alikuwa na makusudi na mimi ndiyo maana nikazaliwa, ilipofika mwaka 1992 baba yangu mzazi akafariki dunia akibahatika...
12 Reactions
126 Replies
16K Views
nina biashara za kawaida lakini nimeona nijaribu na online kwa bajeti ya milioni 2 kama kuna mawazo feasible. so far nilipanga niwekeze youtube ila shida ni kwamba sina account ya Youtube...
0 Reactions
0 Replies
291 Views
Wakuu habari za muda huu naomba kujifunza namna ya kutengeneza proposal ya kuanzisha kampuni ya utalii
1 Reactions
12 Replies
403 Views
Wataalamu wa Biashara nauliza Comfort Hotel, kitonga Iringa ilikufaje wakati ilikuwa na wateja abiria wa mabasi?
9 Reactions
103 Replies
4K Views
Habari za mida hii? Natumaini yangu wote hamjambo. Naomba kuulizia bei za chainsaws au mashine za kukatia miti kwa zanzibar maana huku bara bei zake ziko juu sana ase mapaka kero. Mashine hasa...
2 Reactions
8 Replies
500 Views
FAIDA KUU TATU ZA KUMILIKI WEBSITE AU TOVUTI zama hizi za uwazi na technolojia , watu wengi wamekuwa wakimiliki website bila kujua faida zitokanazo na website lakini pia wengine wamekuwa...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Mhadhara - 39: Kazi ya udereva TAXI ni biashara kama biashara nyingine. Ukiwa mfanyabiashara hupaswi kuwa bubu (mkimya) kupita kiasi. Halikadhalika udereva Taxi pia. Leo natoa ushauri kwa...
6 Reactions
13 Replies
491 Views
TANZANIA NA BELARUS KUIMARISHA USHIRIKIANO KWENYE SEKTA YA MADINI ▪️Balozi wa Belarus aeleza utayari wao kubadilishana utaalam kwenye teknolojia* ▪️Waziri Mavunde anadi uwepo wa madini...
0 Reactions
1 Replies
195 Views
Assalam aleykum Kwa sisi watumishi wa umma ambao ni Waislam na tunahitaji kukopa kwenye hizi bank ili kuendeleza maisha je ni bank ipi Sahihi isiyo na riba kwa hapa Tanzania?
1 Reactions
3 Replies
190 Views
Hello Tanzania, how are you today? Ile thread yangu ya kuhusu fursa ya DOGS Airdrops naona imepotea kama imefutwa ivi so nakaribisha maswali kama kunaaliekwama mahali au kuna mtu yuataka kujiunga...
8 Reactions
203 Replies
5K Views
Mimi ni mwanafunzi wa chuo, nipo mwaka wa mwisho. Hapa nilipo ninamawazo mengi kuhusu kipi ntafanya baada ya kumaliza chuo. Nasomea mambo ya Utaalamu wa Vifaa Tiba vya Hospitali. Wazazi wangu na...
6 Reactions
46 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wana jf. Naombeni msaada nataka kusafirisha asali nje ya nchi nipeleke Ulaya, je natakiwa kuanzia wapi kufuata taratibu ili nisisumbuliwe bandarini. Najua jukwaa hili kuna...
4 Reactions
23 Replies
6K Views
Habari nduguzanguni, Kwa hekima nawaombeni mnisaidie kuhusu hili jambo kuwa mitandao na internet kuna fursa za kujipatia pesa na ukaishi kwa kupunguza stress za maisha kwa access ya internet...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
I wonder how you stay that long ukiwa uko na capital alafu hujui biashara ya kufanya? Wakati I always meet people ambao wapo na very sensitive business idea but they don't know how they'll fund...
2 Reactions
7 Replies
772 Views
Unless kiwe hakizalishwi nchini, lakini kama bidhaa inapatikana nchini, na hata kama kiwango ni hafifu kidogo, ila tukaweka uzalendo sisiwatz wote milioni 60 tukawa tunatumia bidhaa za Tz tu, kwa...
34 Reactions
167 Replies
13K Views
Ukweli ni kua biashara na kazi, bora biashara, lakini kutokana na hofu, uzembe, kutotaka uthubu, tumejikuta wengi tumeishia kuchagua kazi, sawa na na ngedere asijue kua ela inaweza nunua ndizi...
5 Reactions
16 Replies
567 Views
Nina wazo la kutengeneza converter ya umeme kutoka chini ya 10V hadi 250V na angalau 2000W itakayokuwa portable na mfumo wa kujicharge. Hii itakuwa ni inverter inayoweza kutumika kwa matumizi ya...
4 Reactions
33 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, Niende kwenye mada moja kwa moja. Nataka kufungua banda la chips hapo Dar, mm nikiwa makazi yangu yapo Tanga .Nataka nimueke kijana afanye kazi ili kila siku anitumie faida au...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom