habari za muda huu wana JF,
Naomba kuuliza kwa biashara ya mikate ya jumla inahitaji mtaji kama kiasi gani na vipi kwa wenye experience inalipaa? yaani ni ile nainunua na kufanya delivary kabisa...
Mabaharia wafanyabiashara nimepata mpunga kidogo kama 20m kwamara yakwanza nataka kwenda dubai au china kununua simu hasa smartphone
Nimekuja kwenu kuomba ushauri mliowahi kwenda china au dubai...
Kwa yeyote ambaye amewahi fanya hii biashara ya usafirishaji nyama ya nguruwe toka Moro to Dar naomba msaada wako.
Naomba kujua njia ya usafiri uliyotumia, masoko, changamoto n.k
Asante sana.
Na Mwalim M. A, Mkombozi (Kalaga baho)
Kanusho : Hakuna mgogoro wowote wa kimaslahi utakaojiyokeza kwenye darasa hili endelevu. Ushauri utatolewa bure kabisa na hakuna nia ya moja kwa moja ya...
Hoja yangu nakusanya pesa za forex royale app lakini nataka nipate hizo ela kwenye ac yangu.
(1) naweza kupata?(2)niliweza kujiandikisha kwenye app tigo pesa duniani ili izo pesa ninazokusanya...
WAZIRI MAVUNDE AZINDUA MAGARI 25 YA TUME YA MADINI
Ikiwa ni mkakati wa kuimarisha usimamizi katika Sekta ya Madini hasa kwenye ukusanyaji wa maduhuli, Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde...
Wakuu naomba ABC kuhusu hii biashara ya mafuta kutoka kwenye maganda ya korosho. Upatikanaji wa maganda ya korosho je upo kwa wingi na Bei yake kwenye viwanda.
Je Lita 40000 Inatumia maganda...
Nahitaji ushauri. Mimi ni entreprenuer ninayeanza. Nategemea kujishughulisha na utengenezaji wa vyakula vya mifugo na pia uchakataji wa mafuta ya kupikia katika hatua ya " refining". Nimesha...
Hello esteemed partner.
I believe hii thread itakupata ukiwa poa.
Napatikana, Mbeya, and kama kichwa kilivyojieleza. Natafuta mwekezaji au mshiriki ambaye tutafanya pamoja biashara hii ya kuandaa...
habari zenu wadau
niende moja kwa moja kwenye mada,
mimi ni kijana wa makamo nia ya kuja hapa jukwaani ni kuomba mbia/mshiriki wa kampuni mwenye uwezo wa kuwekeza mtaji wake katika kampuni yetu...
Poleni na majukumu ndugu zangu.
Binafsi nipo na madaliko kadhaa katika maisha naomba sana usirejee nyuzi or comment za kipindi cha nyuma maana haitaleta maana ya uzi huu.
Kwa sasa nipo dodoma na...
Wanajukwaa habari za Asubuhi,
Nina mtaji wa 3M nimehamia hivi karibuni Morogoro mjini hivyo nafikiria kuanzisha biashara. Sababu ya ugeni nimeona nisiwe na haraka kwanza bali niombe ushauri kwenu...
Habari.
Naomba kujua njia ninayoweza kusafirisha mzigo kama wa kilo tano (nguo) kwa ajili ya biashara.
Kuna basi nimeliulizia naona gharama yake sijakubaliana.
ELIMU YA MIKOPO BENKI
Kumekuwa na malalamiko na vilio kwa baadhi ya watumishi kuhusu mikopo wanayopewa na benki.
Wengi wao wanalaumu mikopo hiyo kuwa ni kandamizi kwao badala ya kuwapa unafuu...
Za jion wana jamii,
Naimani mko powa wote
Naombeni ushauri kidg kuhus location nahitaj kufungua biashara ya nafaka. Sasa ningependa kujua sehemu imbayo inamzunguko mkubwa wa watu na ambayo...
RC TELACK AWAKARIBISHA WAFANYABIASHARA KUSHIRIKI UFUNGUZI WA GULIO LA BIDHAA ZA USINDIKAJI.
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Telack amewataka wafanyabiashara na wajasiliamali Mkoani Lindi...
VIONGOZI WA DINI WAPONGEZA JUHUDI ZA RAIS SAMIA KULETA MAENDELEO NCHINI
▪️Waandaa maombi ya wiki nzima kumuombea Rais Samia na Taifa
▪️Wahamasisha ushiriki wa Watanzania kwenye uchaguzi seriklai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.