MWEKEZAJI Ni mtu Gani ?
Ni mtu anayeenda hatua moja mbele ya Mfanyabiashara
Hapa sifa mojawapo ni kuwa na pesa au mkondo wa kuingiza fedha
Mfano Mimi Nina uwanja sehemu ya soko na Sina uwezo wa...
Habari wadau!,
Naomba mtu mwenye uzoefu katika biashara ya cake accessories (vifaa vya kutengenezea keki (isipokua oven), mapambo ya keki, mabox, ingridients za keki, n.k) anisaidie kunipa...
Habari wana JF, sitotaka kufanya uzi huu uwe mrefu sana; najaribu kufupisha ili nisikuchoshe wewe utakaechukua muda wako kusoma.
Hakuna biashara utakayoanza leo ambayo haijawahi kufanywa; naamini...
Nina wazo la kuanza kufanya biashara ya yeboyebo ninaomba msaada wenu wadau kwa anaejua machimbo na namna gani nifanye hii biashara nifanikiwe.
Pia niwe na mtaji kiasi gani ili kufanikiwa katika...
Habari wadau.
Leo ninapenda tujadili biashara zilizopo ndani ya tukio la harusi. Send off, kitchen party na sherehe zinginezo.
Mtu ukijiongeza na ukajua kucheza na tukio la harusi za watu. Kila...
Wakuu, Nilinunua charger simu na cover la simu kutoka aliexpress, covers zinaonyesha zipo nchini tayari, lakini charger inaonyesha delivery wakati mimi wala sijaipokea, nimechat na muuzaji...
KIKWAZO KIKUU CHA KUTOFANIKIWA NI HIKI.
Kwenye jamii yoyote ile, asilimia 10 ndiyo wenye mafanikio huku asilimia 90 wakiwa hawajafanikiwa.
Na zaidi, asilimia 1 wana mafanikio makubwa kuliko...
Habarini wandugu!
Nataka kuanza biashara ya uwakala wa mitandao ya simu yaani Tigo Pesa, M_Pesa, Halopesa nk.
Nahitaji muongozo wa vigezo vya kuwa wakala na mapato yapoje?
Nawasilisha
Habari wadau wa uwekezaji katika UTT AMIS,
Nimefanikiwa leo kujiunga na mifuko miwili yaani UMOJA FUND na LIQUID FUND kwa njia ya simu na nimeanza kuwekeza kwa kununua vipande.
Kipindi...
Tanzania yafanya vibaya katika mitaji ya uwekezaji
Mwandishi Wetu
TANZANIA imetajwa kufanya vibaya katika mitaji ya uwekezaji moja kwa moja (FDI) huku ikiacha maswali baada ya sekta ya...
Habarii ndugu zangu Wanajf,
Mimi ni mwajiriwa wa serikali japo bado sijathibitishwa kazini,ila nimepataa changamoto ambayo inahitaji kama 2M Hivi kuweza kuitatua.
Je? Ninaweza kupata mkopo NMB...
PayPal kuna changamoto ya kupokea na ku-withdraw pesa nchini Tanzania. Kuna features huzioni kule PayPal kama ukifungulia account Tanzania, hivyo kufanya ugumu kwa mtu kulipwa pesa kutoka nje. Hii...
Kuna fedha natakiwa kui withdraw kwenye moja ya site za malipo online, ambapo option yake kuu ya ku withdraw ni kupitia Paypal account.
Imekuwa ni kikwazo kikubwa kwangu, maana nimejaribu...
Habari za Muda huu mwanakitaa/ mwana jf, mpambanaji
Ningependa nikufunue macho kidogoo.
Je unajua makampuni mengi makubwa yalianza kushika soko wakati uchumi ume yumba
(Always Opportunity in...
Tembelea maduka 15 katika mtaa wako na mtaa wa jirani; angalia bidhaa zilizopo katika hayo maduka.
Jiulize, wewe unaweza kuwapelekea bidhaa gani iwe sehemu za bidhaa zinazoonekana kwenye hayo...
Na kalaga baho Nongwa
Wazee sina neno kubwa leo, nimekumbuka sana uwepo wa advanced marginalised Community nchini. Niliwah kuandika habari zao humu ndani kwamba, hao watu wametokea katika makalio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.