Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu habari ya asubuhi? Nijikite kwenye mada moja moja kwa moja, kuna hiyo kampuni tajwa hapo juu inajihusisha na usafirishaji wa mizigo toka mataifa kama USA, UK na UAE. Hawa jamaa wanadai...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
By: Eric Allard I’ve been in Tanzania for 30 years now and i'm proud of where this nation is at when compared to what it was when I first arrived. It was a good decision to move here then and...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Nimefanya Regstration nimefikia sehemu ya kulipia na nimelipa baada ya hapo naona kimya. Nikituma email hawajibu. Kuna mwingine alisha kutana na tatizo kama langu? Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamii. Natumai afya zenu ni salama. Ninaomba msaada wenu wa mawazo na ushauri juu ya hili swala nililoliona kama ni changamoto iwakumbao makampuni mengi apa nchini kutokana na...
0 Reactions
1 Replies
964 Views
Thamani ya shilingi ya Tanzania imeendelea kuimarika na katika kipindi kinachoishia Aprili 2019, Dola moja ya Marekani ilibadilishwa kwa wastani wa Tsh. 2,300.9 ikilinganishwa na Tsh. 2,270.3...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Hivi wanapelekaje kodi TRA, mfano akikupa risiti . Je analipia kwenye account maalumu au wanamkata automatic kwenye account yake. Az
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu, Naomba kufahamu kwa undani mji wa Kahama. Fursa zake za kiuchumi, kilimo, ufugaji, biashara, miundombinu, makazi n.k. Je ni sehemu salama pia? Asanteni.
0 Reactions
9 Replies
8K Views
Poleni na majukumu wakuu. Kuna wakati TRA huwa wanauza magari pale bandarini kwa njia za minada, sasa ombi langu ni hivi. Naomba kufahamishwa namna ya kutoa gari baada ya kulifanyia malipo ukoje...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo napenda nizungumzie kuhusu changamoto za biashara hasa wakati wa mwanzo kabisa."Niweke angalizo kwamba changamoto za biashara ni zile zile haijalishi ukubwa au udogo wa biashara". 1...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Taarifs kwa watumiaji wa gesi, Kuanzia tar 5 feb gesi itapanda rasmi usishangae mabadiliko haya kwenye maduka madogo ya gesi Beo wanazotakiwa kuuza n Kg 15 54'000 Kg 6. 22'000 KG 38. 105" 000...
5 Reactions
78 Replies
9K Views
Ninampango wa kufunguwa duka la kuuza maziwa fresh, mgando kwa jumla na rejareja pia samaki wabichi kwa hapa mbeya mjini. Naomba nijue yafuatayo kwa uzoefu wako ktk hii tasnia ya fresh foods. 1...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Ndugu wana JF. Salamu. Kwenye nchi kadhaa nilizosafiri nimeona madukani/masokoni bidhaa zote zimebandikwa bei. Hapa nchini kwetu hali ni kinyume. Duka moja lakini watu tunauziwa bidhaa moja...
0 Reactions
6 Replies
850 Views
Habarini wanajamvi. Ninaombeni msaada Wa kimawazo na ushauri kwa wenye uzoefu na hii biashara. IPI bora Nina 40M ninafikiria kuiwekeza kwa biashara ya huduma za usafirishahi Wa abiria. Hapa...
16 Reactions
224 Replies
48K Views
Kuna mtu nimekutana nae kwenye Linkedin na kujinasibu kuwa yupo Israel. Anafanya kazi kwenye kampuni ambayo huwa inafanya investment na kuprovide fund for investment. Sasa alikuwa anataka kuja...
4 Reactions
99 Replies
10K Views
1. Tengeneza network pana kwa kutafuta contacts za watu wengi kupitia mitandao ya kijamii, directories, kutoka kwa marafiki. Wewe chukua details za watu kila unapoona jina la mtu na details zake...
8 Reactions
25 Replies
4K Views
Jiko la gesi complete, yaani kweli uchumi si mzuri, nimeingia mjini leo nina elfu 38000 pungufu shilingi 2000 sehemu 4 kote wamekataa kunipunguzia elfu 2000 lengo nifanye nauli ya kurudi maskani...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu poleni na mihangaiko.. Katika pita pita zangu mitandaoni nimevutiwa sana na kitu alichofanya mak juice pale alipo..Najua tu ni dar es salaam ila sijui ni wapi ila napenda jinsi idea yake...
3 Reactions
22 Replies
13K Views
How can I do this?? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
678 Views
Wakuu wanajamvi poleni na pilika za maisha Nina mpango wa wa kufanya biashara ya ng'ombe katika mfumo mmojawapo kati ya hii: Kunenepesha (nanunua bei rahisi wakati wa kiangazi nawapa lishe...
3 Reactions
34 Replies
10K Views
Katika ulimwengu kila mtu analo jukumu na nafasi yake.Kutambua nafasi yako kunaweza kukuwezesha kufikia mafanikio kwa muda sahihi na kufurahia maisha.Katika biashara na maendeleo huwa kuna aina...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…