Habari za Mwaka mpya? Bila shaka tunaendelea kupambana tu.
Nina Idea 1 hivi ila implementation yake inahitaji watu wawe mikoa kadhaa wa kadhaa ndo Idea inaweza fanya kazi.
Sasa basi kama uko...
Kuna ndugu yangu anapokea kama milion 7 hivi wiki hii, sasa kaomba ushauri afanyie biashara gani nzuri, ila yeye anasema kaona fursa mkoa wa Shinyanga maeneo ya Kahama, anataka kufungua duka la...
China wameishaipiga marufuku tayari.Russia nayo iko mbioni kufunga mitandao yote inayojihusisha na biashara hiyo.
Kwa wale waliowekeza huko ni vizuri wawe makini wasiache ela yao nyingi huko...
Ndugu wana JF,imenibidi niuluze hili swali ili niweze kupata jibu lake,
nashindwa kuamini nchi kubwa kama Tanzania yenye uwingi wa watu na mali asili tunashindwa na nchi kama ETHIOPIA?
Bado sina...
Jf. Kampuni ya heritage financing company limited iliyoko Arusha mjini inyokopesha mikopo kwa riba ya 100% imeendeleza kilio nchini kwa kuuza nyumba za watanzania bila kufuata taratibu wala...
So uganda has taken the first possition as the best Entrepreneurial country in the world: From what i know about uganda is:
-> It doesnt have the best government so far
-> Much weak currency...
Habari ndugu zangu. Mimi ningependa kuuliza kama mtu ukawa na wazo zuri la biashara, ukaandaa business plan nzuri unaweza kupata mkopo bank? Na kama kuna mtu anafahamu ni benki gani inaweza...
Naoma msaada wenu wadau.
Nina mpango wa kuanzisha kilimo cha umwagiliaji, natakiwa kusukuma/kuvuta maji kwa umbali wa mita 250 (hakuna mwinuko mkubwa) halafu niyapandishe juu urefu wa mita 6 ili...
Hello JF family,
Kwangu binafsi mradi ulioniumiza sana niliufanya nikiwa na miaka 16 wa kufuga kuku. Nilijenga kibanda nikaanza na kuku wawili. Nikawaendeleza hadi wakafika 25. Nikatumwa na mama...
Hii ni hasara, laini nyingi za MPESA na TIGO pesa zilikuwa zinauzwa mtaani kwa sh 100,000 au zaidi ya hiyo, unakuta mtu kanunua laini yenye majina hata hamjui aliye isajili, wengi walifanya...
Habarini wapendwa nimekwama nahitaji msaada wenu leo ili kesho niweze kumaliza kazi ya watu.
iko hivi mimi nina ofisi ya kutengeneza viatu vya kimasai yani masai sandals ipo dar gongo la mboto...
A deal signed last year between Canadian mining company Barrick and the Tanzanian government could unravel if its implementation is delayed any further. This was the indicting conclusion in a...
Kama tittle linavyojieleza. Karne hii ni rahisi sana kuingiza pesa ukiwa na HOBBIES ya vitu fulani madharani unapenda kusoma vitabu vya hadithi au vya biashara. Hivyo ni kitu kinzuri...
Katika kila nyanja ya maisha uaminifu huwa ni mtaji mzuri sana ...!
Hii inakupelekea kuaminika sehemu nyingi sana...
Kutana na mwanamama mfanyabiashara alokutana na changamoto nyingi na ngumu...
Wazawa wameamua kurudi kuwekeza nyumbani!
Kiwanda cha Shafa Tanzania Investment ni kiwanda cha aina yake Afrika Mashariki na kipo Wilayani Mkuranga, Pwani. Katika ziara ya Waziri @AngellahKairuki...
Jamani msaada tafadhali natumia line ambayo niliinunua kwa mtu kwa ajiri ya m-pesa sasa nimeisajiri na majina yamebadilika sasa baada ya ter.20 nitaendelea nayo kweli??
Sent using Jamii Forums...
Habari ndugu wananchi,.
Kitu kigumu uwa ni kupanga ratiba, kazi yakuitekeleza huwa sio ngumu sana kama ukipanga ratiba inayotekelezeka.
Hapa nimekusaidia kupanga ratiba ya wiki nzima nini...
Hi, hustlers! Poleni na majukumu.
Rejea title hapo juu. Nina wazo la kuanza biashara ya malighafi zitokanazo na mifugo kama vile ngozi, pembe, kwato, meno, mifupa, mbolea n.k. ambapo mimi...