Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Nahitaji kuwa mjasiriamali! Nina milioni 2 je, nifanye biashara gani?
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Habarini, Kama kichwa kisemavyo wasomi mtaani wanalalama kuhusu ajira na ukigusia swala la kujiajiri sababu inakuwa mtaji na ni kweli ukienda kwenye financial institutions nyingi ili upate mkopo...
2 Reactions
3 Replies
918 Views
Kipi bora kupanda Miti ekari 50 au kuwekeza kwenye hisa? Kipi bora kupanda Miti ekari 50 au kuwekeza kwenye hisa?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna website nimeiona inatangaza kujifunza ujasiamali online imenisaidia sana hata sikujua ningestafu vipi but sijui wenzangu mnaionaje? website yenyewe nadhani itakuwa msaad sana kwa serikali ya...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Uzi huu ni maalum kwa kuwajulisha Watanzania fursa zilizopo mikoa mbalimbali, hoteli na nyumba za wageni, biashara mbalimbali na vivutio mbalimbali vya utalii. ARUSHA Huu ni mkoa uliopo Kaskazini...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari wakuu nime register online kadiri maelekezo ila hakuna responce. Nawashauri wasogeze mbele tarehe wajipange upya. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Moja ya vitu vinavyo hitaji umakin wa kiwango cha juu kabisa ni location. Na hii ndo sehemu watu wengi huwa hawaizingatii kabisa, Location ina mchango mkubwa mno kwenye kuimarisha biashara ya...
4 Reactions
11 Replies
4K Views
Husika na kichwa hapo juu, Mimi ni mwanafunzi wa udaktari mwaka wa pili naingia sasa mwaka wa kwanza wote napokea boom lakini sijaona cha maana chochote nilichofanyia na hiyo pesa sina msichana...
1 Reactions
51 Replies
18K Views
Katika siku za hivi karibuni huduma ya kutuma fedha, kupokea na kulipa kupitia simu za mkononi imekuwa jambo kubwa nchini na kwa kiasi kikubwa kichocheo cha maendeleo yetu. Tafiti nyingi...
0 Reactions
0 Replies
492 Views
Heshima kwenu wadau, Kibiashara kuna njia nyingi za kupata mtaji wa biashara hasa kwa zile zinazoanza ingawa nyingi kati ya hizo ni NGUMU sana, hivyo kupelekea watu wengi kuwa na mawazo mazuri ya...
5 Reactions
248 Replies
98K Views
Nina mpango wa kufuga sato ziwani Victoria kwa mfumo wa cages. Lakini zaid natamani wateja wangu hasa Dodoma na Dar wamle huyo sato kwa kumnunua akiwa hai. Maadam anavuliwa akiwa hai. Naomba...
8 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari za wakti huu, Mimi ni mwanaume 30+ Nahitaji kujiingiza katika fani ya Utafiti (Bado sijachagua eneo la uzamifu) Ingawa napendelea zaidi kuwa mtafiti katika eneo la Sayansi ya Jamii ambalo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu habari za weekend! Ngoja niende moja kwa moja kwenye point. Kama kuna mtu alishawahi kufanya biashara nje ya tanzania hasa congo, zambia au nchi yoyote iliyopo kusini mwa afrika, naomba...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Habarin wadau naombeni kuuliza samahani hivi madhara yakutokulipa pesa branch kwa muda mrefu ni yapi Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Mnamo Desemba 14, 2019 Watanzania walipokea ndege ya nane iliyonunuliwa na serikali ya Dkt John Magufuli katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wake uliotukuka. Ununuzi wa ndege hizo ni...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu kwa pilikalilika za kutwa nzima ,nimevutiwa na ujasiliamali hivyo nikaona bora niingie katika suala la ujasiliamali. Ndugu zangu naomba msaada kwa mtu yeyote anayefahamu...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari Wakuu, Binafsi kwenye swala la kubadilisha fedha za kigeni lilikua lina nichanganyaga kujua Zile Rates zina ku-affect vp. Sell rate inatumika muda gani na Buy Rate inatumika muda gani. Ila...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu inshort namshukuru Muumba japokuwa mwaka 2019 umeniishia nikiwa vizuri kiuchumi na vibaya kiafya. Malengo yangu ya savings bado sijafunga hesabu mpaka tarehe 28 ya mwezi huu wa kwanza...
19 Reactions
17 Replies
2K Views
Benki ya Dunia imesema ukuaji wa uchumi wa dunia kwa mwaka huu unakadiriwa kufikia asilimia 2.5, ikilinganishwa na asilimia 2.4 ya mwaka jana, licha ya kuendelea kuwepo kwa hatari ya kushuka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…