Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Weekend iliyopita nilikuwa nafanya research maeneo mbalimbali Jijini Dar es Salaam juu ya wauza simu za aina ya iPhone. Nilichogundua wauzaji wengi ni matapeli hawana mitaji na ni madalali wa...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu, Katika pekuapekua zangu kwenye thread za ujenzi sijakutana na moja yenye kuelezea jambo la muhimu kama ulinzi wa nyumba hasa fence. Hapa ningependa tupeane mawazo na hata ikibidi picha za...
1 Reactions
21 Replies
36K Views
Habari wananzengo, natafuta watu wawili wa jinsia yeyote watakao kuwa tayari kuunganisha nguvu ili tufungue data consultation firm... Elimu angalau bachelor degree ila awe amesoma statistics au...
0 Reactions
0 Replies
742 Views
Wanajaribu, Katika hali iliyotabiriwa kinyume na "haters" sasa shirika la ndege la Tanzania limeongeza safari kutokana na mahitaji kuongezeka.Hata kule Katavi ambapo ndege ilikuwa haiendi hadi...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Wana JF family naomba msaada sehemu ambayo naweza kupata vifaa vya kutengezea mvinyo kama vile air lock, champagne yeast, fermentation bucket, wine preservative, siphon tube na yeast nutrient...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Samahani wakuu, Kwa anayefahamu au alishawahi kununua bidhaa kwa kutumia Sunsky naomba anisaidie kuhusu shipping yao ni ndani ya siku ngapi, na vipi unaletewa mzigo wako mpaka nyumbani au na wao...
0 Reactions
1 Replies
898 Views
Katika muongo uliopita sekta ya mawasiliano ya simu za mkononi nchini Tanzania imeshuhudia ukuaji mkubwa na kuongezeka kwa kasi kwa maendeleo ya teknolojia. Katika wakati huu makampuni ya simu...
2 Reactions
1 Replies
976 Views
Habari wakuu, Poleni na majukumu na pia niwatakieni kheri ya mwaka mpya. Shida yangu ni moja naomba anaye jua utaratibu wa kupata kibali kutoka kwa SUMATRA kupata ruti ya kusafirisha abiria toka...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
BAADA ya Tanzania kusuasua kwa muda mrefu katika mauzo ya bidhaa nje ya nchi, hatimaye sasa mambo yameanza kubadilika, ambapo mauzo hayo yameongezeka kwa kiasi kikubwa, huku dhahabu ikitajwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwenye hoja yoyote Kuna aina tatu ya audience Kuna prisoners, graduate na holdermaker. Graduate ni aina ya watu ambao wanajifanya wanajua kila kitu wakati vingine hawajui ukimpempeleka kwenye soka...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu salaam, Kwa ambaye ana ufahamu na hii biashara, naomba muongozo na sio kwa kutumia gari ni kwa kutumia trecta. Naomba mchanganuo na kwa kifuli nini cha kuanzia. Sina kampuni.
2 Reactions
7 Replies
6K Views
Habari wadau...? Niende moja kwa moja kwenye maudhui ya uzi huu. Huwa najiuliza sana kuhusu business plan ya makampuni yanayouza bidhaa kama pipi, au maji ya kunywa... Wanatengenezaje faida ikiwa...
2 Reactions
14 Replies
8K Views
Wasalamu wakuu. Baada ya hawa jamaa wa benki kuja kutoa semina hapa lindoni kwetu wakanishawishi kweli kweli kupata mkopo wa Kujenga. Sasa last week nikawaibukia ofisini kwao nikawaambia nataka...
46 Reactions
181 Replies
22K Views
Baada ya mifuko ya plastic kufungiwa nimepita maeneo mbalimbali ya biashara naona watu wengi wanatumia magazeti kufungia bidhaa labda kutokana na bei kuwa cheap kulinganisha na mifuko mbadala...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Wakuu katika zunguka zangu kukosa kazi na Nina aidia kubwa ya computa kutoka chuo naona fursa kuingiza Nyimbo kwenye memor kadi na flash nipeni bajeti nianze kazi. Asanteni Sent using Jamii...
2 Reactions
26 Replies
13K Views
Helo wakuu, nahitaji kupata mkopo kutoka taasisi yenye kujali wajasiriamali, Nahitaji kutanua biashara yangu kiasi, Naomba ushauri maana dhamana niko nayo ni gari, Kiwanja kipo lakini hakina title...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wananchi... Natafuta watu ambao wanahusika na uchimbaji wa green tourmaline ndani ya Tanzania . Lengo hasa ni kufanya biashara na kuchimba pia! Asanteni
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…