Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Kwa anaejua sehemu naweza kupata material za kutengeneza viatu kariakoo yaani ngozi, leather, last, gundi,uzi n.k naomba anielekeze. Kuna sehemu nameelekezwa tatizo ni mbali sana ivyo nakosa muda...
1 Reactions
6 Replies
264 Views
Nauza MPUNGA kutoka wilayani Kyela mkoani Mbeya. Nina gunia elfu moja (1000) zenye ujazo ndoo ya lita 20 zipo 10. Mpunga upo Kyela na mimi nipo hapa Dar es salaam. Mawasiliano: 0715088880
1 Reactions
3 Replies
521 Views
Me Huwa napenda kutafiti njia za utafutaji hata ziwe ndogo vipi, ili kujua watu wanapataje pesa na hizo biashara ambazo watu wanaziona ni duni Nikasema haaa kumbe aisee watu wanapiga pesa ambazo...
28 Reactions
112 Replies
4K Views
Habari za wakti huu; Katika shughuli zangu huwa nakutana na changamoto ya watu kutokutambua aina ya kampuni wanayotaka kuanzisha hii hupelekea watu ambao lengo lao ni kuanzisha kampuni ambayo ni...
4 Reactions
0 Replies
352 Views
Kwa wiki iliyopita mitandaoni hasa Instagram na Twitter kuliibuka mjadala mkali ikiwemo vita ya maneno miongoni mwa wafanyabiashara wa mjini Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyabiashara walimtupia...
23 Reactions
97 Replies
8K Views
SUBIRA, JUHUDI NA ....soma Hadi mwisho ujue Cha tatu Kulikuwa na mkulima mmoja aliyepata mbegu ndogo sana kutoka kwa rafiki yake. Mbegu hii ilionekana dhaifu na isiyo ya thamani, lakini rafiki...
2 Reactions
0 Replies
217 Views
Habari wadau. Wadada wameamua kuleta ubishi kwenye biashara za Bar na wanakimbiza kweli kweli mifano hai ni jesca kikumbi mmiliki wa kitambaa cheupe former cabin crew wa fast jet na mwenzie...
15 Reactions
85 Replies
13K Views
Wakuu habari za Leo. Nahitaji kununua magazeti Returns yaan Yale mabaki. Ninahitaji kuanzia kg 500 na kuendelea had tani 5. Kwa mwenye nayo please tufanye biashara. Namba yangu 0718378427
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Wazee wikend imepoa sana Sijui shida nn ila nataka kuwapa kuwpa code, asee jf nikifa mtanikumbuka sana. Sitaki mia yako mzee, wewe nenda kwa mchina kafanye biashara watoto waende chooni. Dua tu...
14 Reactions
52 Replies
2K Views
Leo nimezunguka mno kariakoo, sijafanikiwa kujua chimbo halisi la vijora. Kariakoo madukani Bei ni 5500 hadi 6000 Kwa visivyo na mtandio, na 10,500 hadi 11,000 kwa vyenye mtandio. Swali langu ni...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Kama una uzoefu wa kazi za pedicure na manicure njoo tufanye kazi, Ni biashara ambayo ndiyo kwanza tunaanza, vifaa vyote vipo, kila tunapofunga hesabu jioni, tutagawana ikiwezekana 50/50, Eneo ni...
1 Reactions
0 Replies
131 Views
Jambo la kwanza jitahidi kubadiri kutoweza kuwa kuweza Kwa kuamua mwenyewe Na njia nzuri ni kuweka mpango mkakati wa kuanza kuweka na kuboresha mindset yako Itakuwa ngumu ila ukizoea...
2 Reactions
14 Replies
793 Views
Salam! Kwa mtu binafsi Kwa biashara yoyote Kwa NGO yoyote Kwa taasisi yoyote ya elimu Kwa taasisi yoyote ya kidini IWE NI WAZO AU SHUGHULI HALISI NINATOA HUDUMA YA USHAURI NA USAIDIZI KATIKA...
2 Reactions
0 Replies
148 Views
Katika Tanzania, makampuni ya mitandao ya simu kama Vodacom, Tigo, na Airtel hutafuta ardhi kwa ajili ya kuanzisha minara ya mawasiliano ili kufikia wateja zaidi na kuboresha huduma za mtandao...
1 Reactions
1 Replies
570 Views
Samahani ndugu zangu wa JF nilikua naomba kujua namna ya kuendesha biashara ya pweza kwenye zile meza ipoje?(Nipo Dar es salaam naishi mpakani)..... 1.pweza wananunuliwaje 2.meza sh ngapi...
8 Reactions
31 Replies
1K Views
Habari, Ndugu wafanyabiashara wa peanut butter, unga wa lishe, karanga za kutafuna na n.k. nina mashine ya kukaanga karanga yenye uwezo wa kukaanga karanga zaidi ya kg 50 na pia nina mashine ya...
12 Reactions
21 Replies
1K Views
Eti leo tunawashangilia matajiri wetu, kina MO na Azam, kwa kuujaza utajiri wao kupitia kuuza energy drinks, barafu za ukwaju, tambi, na viberiti. Lakini je, tupo serious kweli kama taifa...
2 Reactions
4 Replies
347 Views
WAKINA MAMA WAJASIRIAMALI WA DODOMA WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA FURSA ZA KIUCHUMI ▪️Wajipanga kujiimarisha kiuchumi kwa fursa za kiuchumi kwa fursa zilizopo Dodoma. ▪️Wajipanga kujenga Maduka ya...
0 Reactions
3 Replies
390 Views
Ingawa biashara ya Bitcoin inaweza kuwa na faida kubwa, ni muhimu kutambua kuwa ni uwekezaji hatari sana. Kabla ya kuanza biashara ya Bitcoin, ni muhimu kuzingatia mambo yafuatayo: Hatari za...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Haya kama mlivyosoma ni kweli Hakuna biashara ina hela kama mapapai Na hakuna biashara rahisi kama papai Papai moja shamba linauzwa tsh 1500 moja Mtaani wanauza tsh 3000 moja Kilimo chake...
39 Reactions
310 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…