Habari ya jumapili wakuu!!!!
I’m on my way to becoming millionaire.
You don’t have to trust me.
I trust myself.
And that’s enough.
Najua wapo watu wengi tu wanapenda kuwa free Financially...
Hili suala nahitaji ushauri wa Wanauchumi
Ninafanya kazi/kibarua sehemu fulani huku jiji la kanda ya ziwa
Nimepanga chumba nalipia Kodi 30k per month,.bill ya umeme na maji pia
Natumia nauli...
By: Khamis Saleh
•Staffs are the first Customers and our brand ambassadors
•Stand front to remind people about the vision
•Let them feel are comprised in that vision
•Get time to Know your...
Habari wadau wa JF Mimi ni mjasiriamali na jishughulisha na biashara ya kuuza kuku wa kienyeji nataka nipanue wigo wangu wa niende mbali zaidi kwa sasa na plan ya kupeleka kuku Dar-es-salam na...
Leo tunaanza Mwaka 2020
Ni mwaka mpya.Kuna wanaofikiri kwamba ni tarehe u imebadilika na ni siku kama siku nyingine.Na kuna wanaofikiri tofauti.Kwa wajasiriamali na wale wanaotamani kuwa na...
Toyota vits inauzwa, ipo kwenye condition nzuri kila kitu utapata na imekatiwa insurance inaisha mwezi wa 6. Bei ni 6.8M (milioni sita na laki nane). Gari ipo Airport Dar es salaam.NB serious...
Asilimia kubwa ya wateja wako ni watu baki,usianzishe biashara kwa kutegemea marafiki zako ama watu unaowafahamu kuwa ndio wateja wako wakubwa.
Tamaduni zetu zimetufundisha kumheshimu na kumlinda...
Habari wanajamvi!
Poleni na majukumu ya kila siku ya kulijenga taifa letu pendwa katika kufikia ndoto ya Tanzania ya uchumi wa kati.
Ninaomba kufahamishwa kuhusu hizo Ishu za gari za mkataba...
Wengi wetu inapofika mwisho wa mwaka hufikiria kuanza upya na kurekebisha sehemu tulizokosea ili mwaka unaofuata uwe wa mafanikio zaidi ya ule unaoishia ama kupita lakini malengo yetu huwa...
Ndugu zanguni,heri ya mapumziko ya mwisho wa mwaka.
Kama maada hapo juu inavojieleza. Nahtaji serious partners kwa ajili ya ufugaji wa kuku wa mayai kibiashara.Mahali pa ufugaji ni mkoani Iringa...
Habari Wadau
Kwa wafanyabiashara au wajasiriamali wanaohitaji mkopo na wanapatikana
Dar es Salaam
Mikopo ipo tuwasiliane kwa 0693 347206
Karibuni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kichuri (African Sauce) ni kiungo kitamu cha nyama haijawahi kutokea. Unaweza kula nyama choma mbuzi mzima.
Awali nilidhani kichuri inaliwa tu kanda ya ziwa hasa Mara ila baada ya kutembelea...
Wakuu nafikiria kufungua biashara ya kitaaluma (professional consultation firm).Target ya wateja wagu ni wajasiriamali wadogo na wa kati wanaojihusisha keenye mnyororo wa chakula (food supply...
Siku hizi biashara ya kuuza matofali imeshamiri sana kutokana na watu wengi kununua mashine za kutumia umeme katika kuchanganya cement na mchanga.
Tatizo ni kuwa wafanyabiashara ya matofali wote...
Wana jamvi hamjambo, poleni na harakati za maisha !
Lengo la UZI huu naomba ushauri kutoka kile nitakacho kieleza hapa chini.
Mimi mwajiriwa wa shirika dogo la kijamii tangu mwezi wa kwanza...
Habari wadau.
Kama nilivyoandika kwenye kichwa hapo juu naomba kufahamishwa maana neno inc kama lilivyotumika kwenye kampuni ya Apple (Apple inc) na sehemu zingine.
Kama ambavyo nimeandika hapo juu, nilipata Neema ya kufungua kampuni ambayo imepata usajili mwaka huu, ina vibali vyote.
Nahitaji mtu aliye tayali ili kufanya kazi pamoja. Kampuni ni mpya na ina...
Mimi ni mjasiriamali mdogo lakini nilikuwa nataka kushare something with the audience.
Naamini sisi wajasiriamali wadogo huwa tunapita changamoto nyingi sana katika kufikia lengo la biashara...
Habari zenu wana JF ni matumaini mu wazima mnaendelea na michakato ya maisha. Kama kichwa cha mada kinavyojieleza nina mpango wa kujiunga na hii ishu ya Online Marketing kwani nimebahatika...