Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Greetings. Kama kawaida leo tunakutana tena katika darasa muhimu kabisa linalohusu mbinu za kuuza bidhaa au huduma yoyote ile kwa potential client. Nafahamu watu wengi wanaoanzisha business mpya...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana JF habari zenu, Mama yangu baada ya kunusurika na kikotoo ameniomba nimshauri kumpendekezea mradi ambao anaweza akaanzisha na kuusimamia yeye mwenyewe, pesa anazotegemea kupata ni Tshs...
3 Reactions
186 Replies
21K Views
Salaaam wakuu, Nina wazo moja la kufanya biashara ya dobi. Ndugu yangu mmoja alishawahi kuwa dobi alikuwa anafua nguo na kupiga pasi kwa siku alikuwa analaza around 10,000/= mpaka 15,000/=...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Mahitaji ya nyumba ya kulala wageni yapo kila sehemu hasa kama kuna shughuli za uchumi mfano mgodi wa madini, kilimo hasa cha mazao ya biashara kama pamba na korosho. Hata shughuli za utalii...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Wakati mbunge wa Kigoma Kusini (CCM), Husna Mwilima akisema wahudumu wa ndege za ATCL hawana mvuto kwa wateja, shirika hilo limesema haliwachagui kwa ajili ya kuonyesha sura 3. “Hatuchagui...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Awe tayari anatengeneza kwa uzoefu. Nitakuwa nanunua kwake kwa jumla. Vipodozi viwe asilia kabisa bila kemikali zozote. Namba ya kunicheki 0678823995 kwa SMS au WHATSAPP TU.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari Wana JF Tujifunze utengenezaji wa vyungu vya maua. MALIGHAFI 1.MCHANGA 2.CEMENT 3.MWIKO WA KUJENGEA 4.UMBO 5.RANGI 6.VANISH (MAHOGAN) JINSI YA KUTENGENEZA Changanya MCHANGA 3 + CEMENT...
4 Reactions
14 Replies
15K Views
Habari wakubwa Naomba kujua Billing zip code ya Tanzania nataka kufanya manunuzi Online sasa wanataka hiyo nimejaribu 00000 imekataa, nimejaribu pia 23100 imekataa. Wakuu msaada.
2 Reactions
24 Replies
10K Views
Chinese e-commerce giant Alibaba Group Holding said on Monday that sales for its annual Singles' Day shopping blitz hit 91.2 billion yuan ($13 billion). Akin to Black Friday and Cyber Monday in...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Kutokana na kazi yangu, nahitaji fuso tiper iliyotumika, ila sina cash, naihitaji kwa mkataba kwa muda wa miaka miwili. Kila mwezi ni Tsh mil 2, kwa mwaka ni sh mil 24. Onyo! Sihitaji dalali...
0 Reactions
1 Replies
813 Views
Unaweza kuwekeza kwenye uchenjuaji wa dhahabu na ukapata faida kubwa sana kea muda mfupi kutokana na kiasi ulichowekeza. Kuna sehemu inaitwa Mwamazengo iko huko Mwanza kuna eneo lina leseni kwa...
7 Reactions
51 Replies
11K Views
Kutoka meza ya mdau. ELIMU YA MATUMIZI YA FEDHA Fedha inatakiwa uwe na nidhamu nayo katika kuitumia. Kanuni ifuatayo imetumika kwenye vyanzo vyako vyote vya fedha ili uwe na mafanikio yenye...
10 Reactions
18 Replies
4K Views
Habari wakuu, Kama kichwa cha uzi hapo juu naomba kujuzwa ni mitaa gani hapa Dar es Salaam yenye shida ya maji? Naomba wadau kama mnajua sehemu ambazo maji ya kutumia (maji baridi) ni shida...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wana JF Dereva wa uber anahitajika Vigezo: 1. Awe na experience ya biashara 2.awe na account uber [active account] 3.awe mkazi wa dar es salaam Kama yupo anitafute kwa namba hii 0656735641
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu habari. Sina maneno mengi, nahitaji kuku wa kienyeji pure kutoka Morogoro, wakubwa size ya kuliwa. Mimi nipo Dar es salaam, Kimara hapa. Unaweza kunicheki PM au Whatsapp 0654 171 555.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF natumai mko poa Nimepanga kuanza kufanya biashara ya mayai ya kienyeji kwa kuyatoa mkoani na kuyaleta hapa dar. katika utafiti wangu nimegundua kwamba hii ni biashara ambayo haikulazimu...
0 Reactions
36 Replies
12K Views
Baada ya makato na kubakia 300,000 una mke na watoto, unawezaje kumudu familia kwa huo mshahara? Tupeane uzoefu.
9 Reactions
266 Replies
31K Views
Wadau naomba kwa anaejua soko la uhakika la pilipili manga anijulishe. Ninazo tani moja.
1 Reactions
4 Replies
5K Views
Tafadhali naomba mnifahamishe jinsi ya kufungua school labaratory. Hii ni kwa ajili ya wanafunzi wanaosoma sayansi watakuwa wanakuja kufanya practical za masomo kwa gharama katika kituo changu...
2 Reactions
1 Replies
882 Views
Ni imani yangu mko wazima wakuu. Naomba msaada wa kujulishwa gharama zitakazo tumika kumiliki ps4 (bei ya ps4, flat screen ya bei ya kawaida) na vitu vingine vya muhimu natakiwa kuwa navyo ili...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…