Habarini za majukumu ndugu zangu?
Mimi ni mwajiriwa katika moja ya sekta binafsi. Sijaridhika na hela ya mshahara ninayopata, nimejitahidi kuweka akiba kila mwezi hadi sasa nina kama 800,000...
Habarini wadau wa JF
Kwa heshima na unyenyekevu nipo hapa mbele yenu nahitaji kuwapata wahusika wa mabus ya abiria kutoka Dar kwenda mikoani.
Nina suluhisho la kuwezesha wateja kukata tickets...
Baada ya wimbi la matangazo ya dawa za kuongeza nguvu za kiume hatimaye BabaMorgan nimekuja na wazo la tofauti la kusambaza dawa za kupunguza na kuondoa kabisa hamu ya tendo la ndoa.
why dawa ya...
TANZANIAN shilling is one of the stable currencies in Africa in a year-to-date and tipped to strengthen further on the back of new cashew nut season.
The shilling is on number five after it...
Habarini wana Jamii forum,
naomba msaada jamani, nataka kuingiza mbuzi kama 10 aina ya Pure boer breed kutoka nje ya Nchi katika Port ya Dar. naomba kujua taratibu zote za uingizaji tafadhali.
''Zanzibar, Tanzania is now receiving a weekly flight from Moscow Vnukovo throughout the European winter season, operated with a Boeing B747 of Rossiya Airlines.
Flights from Moscow to Zanzibar...
Habari wanaJf,naomba kuuliza,nikitaka kutoa kitabu hapa Tanzania kuhusu jambo Fulani(lolote),ili kupata ISBN number na kitabu change kupitishwa,ninatakiwa kupitia hatua gani?je kuna gharama...
Kwa swali hili nina imani nitakua sijavunja misingi ya jamii forums
Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara? Nimesoma sana posts za forex humu ndani lakini naona watu wanakula tu:):)...
Habari Wakuu,
Baada ya ban ya mifuko ya plastic, wajasiriamali wengi walichangamkia fursa ya mifuko mbadala. But mimi kama mjasiriamali pia kuna gap nililiona, kwa sababu mifuko ya plastic...
Kuna mwanajeshi alikuwa anauguliwa na mwanae, akanifata nimuazime pesa ampeleke mtoto wake kwa sangoma kwa kuwa hospital wameshindwa kujua anaumwa nini. Aliniomba nimuazime kama laki na nusu hivi...
Naomba kufahamishwa kuhusu aina zote za makato(charges) za akaunti ya kawaida hususani CRDB bila kusahau time limit ya makato hayo yaani kama ni kwa mwezi n.k
Habari wanajukwaa wakubwa shikamo wadogo zangu marahaba.
Naenda straight to the topic. Niko na ndugu yangu tunabishana eti, ATM ndio Kuna charges ndogo kwa NMB Ni 950, na kwa bank teller kwa...
Taxing services has never been simple. For example, applying value-added tax (VAT) on financial services has been a practical nightmare. And when services and transactions are provided...
Kwa mjuzi wa madini aniambie haya ni madini gani na thamani yake ikoje mana kuna Wachina wanayachimba kwa wingi sna hapa nchini na kuyapeleka kwao. Yaweza kuwa fursa kwa wazawa pia kama tukijua...
Katika karne hii tumebarikiwa maendeleo ya makubwa mno katika teknolojia na sasa dunia imekua kama kijiji. Yapo mengi sana yaliyofanywa katika teknolojia ila internet ni teknolojia ambayo imekuwa...
EY: Gold, drug money and a major auditor's 'cover-up'
Image captionAuditor Amjad Rihan says EY covered up transactions that were "way beyond suspicion"
A major accountancy firm covered up...
Habri za asubuhi wakuu, heshma kwenu
Siku zote nilikua ninatamani kufanya kitu tofauti na kazi ninayoifanya, lengo la kwanza sio kupata kipato ila ni ile satisfaction ninayoipata nikiona nimeweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.