Katika mambo ya kushangaza ni kuwa kuuza biashara kupitia mitandaoni kama facebook,insta,jf Na kupatana nimenote kuwa Watanzania wengi hawajui kufanya biashara.
Jee ni kivipi hawajui?
Unakuta...
kupokea na kufungua gati namba tatu baada ya siku 10 kuanzia sasa. Gati hilo ni sehemu ya magati saba yanayojengwa katika bandari hiyo na yanayotarajiwa kufunguliwa na mamlaka hiyo na hivyo...
TANZANIA kwa muongo mmoja uliopita imekuwa ni nchi ambayo uchumi wake umekuwa ukiimarika na pato lake la taifa likikua kwa wastani wa asilimia nane.
Hayo yamebainishwa katika takwimu za Benki ya...
Nipo kwenye mchakato wa mkopo na bank fulani hapa mjini.
Mimi ni mfanyabiashara wa duka la mahitaji ya nyumbani. Nina mtaji wa milioni 7, yaani kwa hesabu za haraka kwa mali iliyopo sasa nahitaji...
Kampuni ya Tigo ina mkakati wa kuleta ATM ambapo mteja atatoa pesa direct kutoka kwenye mashine hizo. Naamini pia makato ya kwenye ATM zao yatakuwa madogo kuliko ya kwa wakala wa kawaida. Yani...
Habari wana jf, kichwa changu kwa muda mrefu kilikuwa kinawaza kufanya kitu kingine kwa ajili ya kuongeza kipato changu ( Alternative way of raising income) katika kuwaza kwangu nikafikilia...
Fanya wewe kama wewe, siyo kusikia kwa kudanganywa na watu wanaosema nilianza na mtaji wa laki, sijui maisha ni polepole, sijui kidogo ndiyo kingi n.k.
Hii ni picha ya babu wa Aliko Dangote...
Jina la kampuni - Simusolar.
Simusolar inauzwa mfumo wa umwagiliaji. Unatumia Solar Power kutoka katika vyanzo vyako mbalimbali vya maji.
Mfumo huu unakusaidia wewe mkulima kuepuka gharama za...
Sehemu ya shamba la viazi mviringo yaani ⅓ ya eka moja, inatoa vipeto ( gunia za debe 4) kuanzia 12 guaranteed.
Lipo karibu na barabara pia unaweza kujenga nyumba na sehemu ikabaki.
Bei ya...
Wana jamvi nami nimeona niweke two cents zangu kuhusu swala lilochukua moto kwa siku za karibuni haswa swala hili la forex na options.
Mambo muhimu sana ya kuzingatia, nayaweka hapa chini nikiwa...
Habari wanajamii.
Nina account ya NMB Chapchap. Nataka nijue maximum deposit (kiasi cha juu kinachoruhusiwa kukaa kwenye account) ni shilingi ngapi?
Na maximum withdrawal (kiasi cha juu...
Unakuta mtu anakomaa afungue biashara peke yake matokeo yake anaishia kusajili kampuni ama anafungua biashara kwa kutumia gharama kubwa mno ambayo wengi wao wanakuja kupoteza investment zao...
Habari zenu wana JF,
Ningependa leo kuzungumzia japo sio kila kitu ila mafanikio unayoweza kupata kwa kupitia google adsense, kwanza google adsense ni nn?
GOOGLE ADSENSE ni program maalum...
Saloot
Leo ngoja ni-share na nyie wana jukwaa mipango/Focus zangu na nyie wanajukwaa.
Binafsi endapo nitaajiriwa baadae nitaacha kazi tu sitozeeka kwenye kazi ila sitaacha kazi kizembe...story...
Wadau napenda kuja na wazo la ku-disect biashara fulani fulani ili tuweze kufahamu undani wa hiyo biashara (najua jungu kuu na humu ndani kuna wafanyabiashara tofauti)..
Mfano niliongea na muuza...
Habari wana familia...leo ningependa kukaribisha fursa hii kwa kila mtu haijalishi umri, jinsia au mtu mwenye kazi yeyote. Hivi ushajiuliza wewe mfanyakazi mara kazi imeisha ghafla utafanyaje? Au...
habari wanaJF, leo nimependa kuwashirikisha kitu ambacho nimekijaribu na kuona kinafanya kazi kwangu. Unaweza kupata salio kwa kushare link yako kwenye mitandao ya kijamii.
Swali unapataje salio...
Jamani nahitaji kupata mkopo kwa huyu bilionea Mohammed Dewji kama kuna kuna mdau yeyote aliyewahi kukopa kwenye kampuni ya huyu bilionea naomba mwongozo wake Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.