SADC Member anaingia mkataba na China bila mapatano na Member wengine wa SADC, je hii haiwezi kuharibu mfumo wa kodi wa nchi nyingine?
Biashara kati ya nchi za SADC haina import duties, only VAT...
Habari wana jamvi.
Nilikuwa kwenye pita pita yangu mtandaoni kuhusiana na mikopo, nikakutana na Hazina Saccos Tanzania.
Miongoni mwa vitu vilivyonivutia ni pamoja na riba ndogo walizoziweka...
Wadau habari za jioni ,nadhani wote Ni wazima wa afya na mnaendelea vyema na shughuli za uzalishaji Mali.
Nahitaji msaada ,Kwa yoyote mwenye soft copy ya kitabu chochote kinachohusiana na...
Siku hizi ni kama fashion kijana akipata milion 20 anakimbilia China anaenda kuzoa uchafu huko analeta Tanzania
80% ya bidhaa za viwandani zinazoingia Tanzania zinatokea China
Miradi ya ujenzi wa...
Kuna dalili zinazoonyesha ule uchumi wa kijamaa wa mashirika ya serikali kufanya biashara taratibu inaanza kurejeshwa.
Biashara ya Clearing and forwarding imeajiri watu wengi na ni sekta huru kwa...
Watanzania wenzangu, sijui kama kweli mnanufaika ipaswavyo na hili shirika letu. Limebaki kuwa shirika la kuandaa mashindano ya insha mashuleni yaani upande wa biashara mimi naona ni upuuzi mtupu...
Wapendwa nilikuwa kigali last week kwa kweli kagame yuko sirias na uchumi wa nchi ile kwanza napenda kuwaeleza kule akuna takataka za rushwa wala umsaidie mtu upewe kitu..aisee jamaa amejipanga...
Naamin Mungu amekupa uzima tena,ndoa maana upo hapa unasoma...asante Mungu kwa ulinzi wako.
Binafsi ni mfanyanya biashara ya dagaa wa bukoba,na mazao ya nafaka yote inategemea na msimu wa zao...
Habari zenu wadau,
Naomba kwa watu wenye uzoefu kuhusu biashara ya samaki aina ya kamongo wanaoagizwa kutoka China anisaidie maelezo kuhusu vitu kama utaratibu mzima wa kufuata ili kuingiza...
Binafsi namkumbuka sana Kikwete nilipiga hela sana enzi zile hata alivyoingia Magufuli mpaka kufikia 2017 mambo yalikuwa yanaenda safi ila kuanzia mwaka Jana 2018 dah kila siku zinavyoenda mambo...
Kuna muda wamekuwa ni msaada ila kuna mda wanakuwa ni waumizaji hasa kwenye mazao ya kilimo, yaani mkulima unaweza pambana huko shambani halafu mazao yakifika sokoni dalali anakupangia bei huku na...
Habari za kutwa wadau.?
Naona fursa katika hii biashara ya mahindi kutoa shamba na kuleta mjini. Nilikuwa nahitaji kuanza hii biashara nilikuwa naomba mwongozo juu hii biasha.
Ni mtaji kiasi gani...
Kuna simu fulani hivi naihitaji sana mtandaoni alibaba na aliexpress inauzwa ila bei ni ghali mno
Ila nimeambiwa kule China kwenyewe madukani ni bei chee tu
Na pia nimeambiwa pia kule pia used...
Habari wanaJF,
Naombeni kama kuna anayefahamu jinsi ya kutengeneza "Facebook & Instagram ads" kwa kutumia smartphone, na endapo zikafanya kazi kwa ufasaha nitaomba anitafute kwa kunipa elimu juu...
Natumai nyote ni wazima , nipo Zanzibar Nina mil 5 cash nahitaji kwenda Morogoro kwa ajili ya kujihusisha na ununuaji wa mazao kwa jumla kisha kuyahifadhi kwenye maghala kwa ajili ya kuuza baadae...
Kichwa cha post chajieleza. Natafuta kijana wa aina hii tufanye biashara.
Mwanzoni nahitaji wawili tu, kinachotakiwa ni moyo wa upambanaji. Wazo hili nimekuwa nalo muda mrefu ila sina watendaji...
Habari wana jf,
Mimi ni dada, elimu yangu ni Bachelor ya Business Administration in Accounting, kwa sasa ni mwajiriwa kwenye kampuni moja kubwa tu hapa Dar kama Payroll Accountant. Mbali na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.