Habari member wote naomba kujuzwa kuhusu Motor Hp 30 Je RPM ambayo ni speed yake ni ipi speed inafaaa kuendesha motor ya hp 30 kwani hapo ndio mtihani kwangu nataka kununua na je ipi zinafaaa...
Habar wakuu! Nahitaji kufanya biashara yani nijiajiri kwani maisha kwangu yamekuwa mtihani, nataka niwe nachukua bidhaa kisha nasambaza kwa mguu tu (free lancer) kwenye maduka.
Shida yangu ni je...
Ningetaka kufungua ofisi ya architecture (usanifu).
Lakini ninahitaji associates.
Tunahitaji kuwa watatu at least.
Kila mmoja atashughulika na sekta moja.
- wateja
- fedha
- kujenga
- sheria na...
VITU VIDOGO VINAVYO KERA NA KUFUKUZA WATEJA AMBAVYO NGUMU SANA KUAMBIWA NA
MTEJA
Nmekuwa nikifuatilia mara nyingi vitu ambavyo ni vidogo lakini vinafukuza sana wateja
endapo mteja akikumbana navyo...
Kuna mdau kani Pm ana lalamika kwamba kila anacho kainzisha kinakufa yaani akianza hiki kinakufa na akianza kile kinakufa.
Kwanza kwa Mawazo yangu swala la kufa Biashara ni la kawaida sana make...
Wakuu habari zenu,
Kutokana na changamoto ya ajira nataka nijikusanye kamtaji kidogo nifungue stationary Mbeya haswa Mbeya Mjini. Naomba mtu yoyote anayejua location ambayo anahisi hii biashara...
Nimekuwa na biashara ya kufuga kuku wa mayai bahati mbaya nikauguliwa na mzazi nikauza kila kitu kilicho kuwa kinaweza kuuzika nikamuhudumia, hichi kimenifanya nirudi 0 ila namshukuru mungu mzazi...
Mimi ni shabiki mkubwa sana wa kushop online. Mara nyingi ninapohitaji vitu kama nguo, begi hata viatu, naingia zangu mtandaoni nanunua chapchap mambo yanaenda.
Juzi kati hapa ndo nikaamini kuwa...
Kama kichwa kinavyosema, huu ni uzi wa kupeana mchongo wa namna ya kuwapata wasanii mbalimbali ili kuwatumia katika biashara mfano za kujipromote au kuandaa tamasha. Pia tusaidiane kuunganisha...
Greetings my brothers and sisters!
Natumaini mpo vizuri.
Kama kawaida nipo hapa ku-share darasa muhimu kabisa kwa lengo lengo moja tu kukusaidia kuboresha life yako hasahasa financially.
Kama...
Habari wana JF,
naomba kuuliza jambo nisaidiwe,
Nina wazo labiashara ambalo ninalo kwa miaka kama 8 sasa(jAPO YAPO NA mENGINE),
Kwa Mtaji wa Milioni 250 BIashara Kila siku inaingiza Wastani wa...
Samahani wakuu naomba kupata uelewa kuhusu hii benki (Exim bank), vigezo gani natakiwa kuwa navyo kufungua akaunti, mazuri na mabaya yake kwa upande wa miamala ya fedha lakini pia utunzaji fedha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.