Wadau,
Nakuja kwenu kupata uzoefu wenu juu ya gharama za Kuweka Gypsum na tiles kwenye Nyumba ya urefu wa Mita 14 kwa 11 upana. Nyumba yenyewe ni box; Yaani inalingana yote kama vipimo jinsi...
Kuna kampuni nataka niingie nao mkataba wa kuwafanyia kazi ila wanalipa kwa njia tajwa tatu
1. Webmoney
2. Paxum
3. ePayments.
Ni ipi kati ya hizi njia zinakubali kufanya miamala ya kutoa pesa...
Habari wanabodi,
Nimevutiwa na biashara ya mbao ngumu hasa mkongo na mninga (mbao kama mbao, sio furniture). Ningependa kujua pros and cons za hii biashara, soko lake, vibali na leseni husika, na...
UTANGULIZI unaendelea...
Kama mhasibu, niliona kucheza mchezo unaohitaji taarifa ya mapato (income statement) na mizania (balance sheet) ilikuwa rahisi sana. Kwa hiyo nilipata muda wa kumsaidia...
Ni kadi mpya, unapewa ukiwa na pesa ya kutosha bank. Niki sema pesa si vi chenji ni pesa ya kweli.
Haina limits na inakubalika sehemu yeyote.
Dunia ya wenye pesa inatutenga.
Nasikia wauzaji wengi wa mapochi ya mtumba Instagram wananunua Karume. Na sisi tunaotaka kuanza biashara ya mapochi tunawapataje watu hao?
Nimewahi kuzunguka kweli Karume lakini nikaambulia...
Greetings everybody.
Siku ya leo ningependa nikupatie darasa muhimu kama ilivyo ada.
Leo nataka nikufahamishe kuhusu vitu vitano ambavyo kama huna basi fahamu kuwa you are not ready to start...
Habari zenu wakuu,naulizia sehemu ipi Dodoma naweza kupata nguo za mtumba nzuri kama ilivyo kwa Daresalaam maeneo ya Ilala sokoni,
Nikimaanisha sehemu ambayo watu wanafungua marobota ya nguo na...
Habari wana jf. Nipende kumshukuru mwenyezi Mungu kwa kuendelea kutupa uzima na kuyasongesha maisha.
Natambua kuwa mpaka wakati huu kuna mtu anaumia sana kwa sababu alivyopangilia mipango yake...
Naona Tanzania Hali Tete !!
Watanzania Milioni 50 Itabidi Tutulie Kimya Kama Tupo Kwenye Freezer Ili Magufuli Mwenyewe Ajenge Nchi !!
Vijana Wamekuwa Wabunifu, Wana Idea Nyingi Na Nzuri Lakini...
Habari zenu wanna jf. Naombeni ushauri kwenye bwawa langu la samaki Kuna vitoto vingi sana vya chura . Je hivi vinaweza kudumaza vifaraga wanguwa samaki? Nitafanyaje kuviondoa . Asanteni sanaa
Samahani wakuu naomba kuelekezwa njia nzuri ya kusafirisha mzigo (Laptop kumi) kutoka USA kuja TZ kwa bei nafuu...ni mzigo natakiwa kutumiwa na ndugu yangu. Msaada wakuu
Wakubwa habari zenu, wadogo marahaba.
Ndugu zangu jana nilitumiwa message na rafiki yangu akiomba aniunganishe katika biashara ya bidhaa za Oriflame Sweden (kama alivyoziita yeye). Kwa kuwa ni...
Nimepokea meseji kibao PM wakiniuliza bidhaa zilizoandikwa made in PRC zimetengenezwa wapi? Maana yake ni kuwa zimetengenezwa People's Republic of China au kwa kifupi ni China, kutokana na...
Hivi viwanda vinatoa ajira nyingi sana, Kagame Rais wa Rwanda amefanyayaje ili kuwaingiza wawekezaji hawa kuweka viwnda nchini kwake na si kwetu Tanzania kwenye nafasi kubwa? kwanini sio nchini...
Nataka kufuga hawa ndege kama pet na pia kibiashara. Kwa wale wandugu wenye uzoefu wa ufugaji wa hawa ndege wakuje hapa watoe nondoz zao. Hapa kuna fursa nzuri sana hususani biashara ya mayai...
Nimekuwa shuhuda mzuri wa mafanikio ya watu wenye tabia za kibahili na binafsi nishawahi kujaribu kuwa mbahili kwa kifupi ubahili ni utajiri kuishi maisha ya ubahili sio kazi nyepesi inahitaji...
habari wakuu.
najua wengi wenu mpo katika changamoto za kutafakari ni mradi gani wa kuwekeza pesa yako ili iwe katika rotation.
Ila mawazo mengi hupuuzwa labda kwakusosa usimamizi au undani wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.