Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Nina mtaji wa Milioni 5. Naweza kufanya biashara gani Mwanza? Hata kama itaingiza faida kiwango kidogo sana ili mradi tu tuishi.
2 Reactions
12 Replies
7K Views
Habarini za majukumu ndugu zangu? Mimi ni mwajiriwa katika moja ya sekta binafsi. Sijaridhika na hela ya mshahara ninayopata, nimejitahidi kuweka akiba kila mwezi hadi sasa nina kama 800,000...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini wadau wa JF Kwa heshima na unyenyekevu nipo hapa mbele yenu nahitaji kuwapata wahusika wa mabus ya abiria kutoka Dar kwenda mikoani. Nina suluhisho la kuwezesha wateja kukata tickets...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya wimbi la matangazo ya dawa za kuongeza nguvu za kiume hatimaye BabaMorgan nimekuja na wazo la tofauti la kusambaza dawa za kupunguza na kuondoa kabisa hamu ya tendo la ndoa. why dawa ya...
1 Reactions
2 Replies
858 Views
TANZANIAN shilling is one of the stable currencies in Africa in a year-to-date and tipped to strengthen further on the back of new cashew nut season. The shilling is on number five after it...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini wana Jamii forum, naomba msaada jamani, nataka kuingiza mbuzi kama 10 aina ya Pure boer breed kutoka nje ya Nchi katika Port ya Dar. naomba kujua taratibu zote za uingizaji tafadhali.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
''Zanzibar, Tanzania is now receiving a weekly flight from Moscow Vnukovo throughout the European winter season, operated with a Boeing B747 of Rossiya Airlines. Flights from Moscow to Zanzibar...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wanaJf,naomba kuuliza,nikitaka kutoa kitabu hapa Tanzania kuhusu jambo Fulani(lolote),ili kupata ISBN number na kitabu change kupitishwa,ninatakiwa kupitia hatua gani?je kuna gharama...
0 Reactions
16 Replies
12K Views
Kwa swali hili nina imani nitakua sijavunja misingi ya jamii forums Hivi hakuna shuhuda za upande wa pili? Kula hasara? Nimesoma sana posts za forex humu ndani lakini naona watu wanakula tu:):)...
20 Reactions
410 Replies
41K Views
Habari Wakuu, Baada ya ban ya mifuko ya plastic, wajasiriamali wengi walichangamkia fursa ya mifuko mbadala. But mimi kama mjasiriamali pia kuna gap nililiona, kwa sababu mifuko ya plastic...
12 Reactions
27 Replies
3K Views
Kuna mwanajeshi alikuwa anauguliwa na mwanae, akanifata nimuazime pesa ampeleke mtoto wake kwa sangoma kwa kuwa hospital wameshindwa kujua anaumwa nini. Aliniomba nimuazime kama laki na nusu hivi...
0 Reactions
1 Replies
977 Views
Naomba kufahamishwa kuhusu aina zote za makato(charges) za akaunti ya kawaida hususani CRDB bila kusahau time limit ya makato hayo yaani kama ni kwa mwezi n.k
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wanajukwaa wakubwa shikamo wadogo zangu marahaba. Naenda straight to the topic. Niko na ndugu yangu tunabishana eti, ATM ndio Kuna charges ndogo kwa NMB Ni 950, na kwa bank teller kwa...
0 Reactions
3 Replies
914 Views
Taxing services has never been simple. For example, applying value-added tax (VAT) on financial services has been a practical nightmare. And when services and transactions are provided...
0 Reactions
1 Replies
753 Views
Kwa mjuzi wa madini aniambie haya ni madini gani na thamani yake ikoje mana kuna Wachina wanayachimba kwa wingi sna hapa nchini na kuyapeleka kwao. Yaweza kuwa fursa kwa wazawa pia kama tukijua...
0 Reactions
23 Replies
10K Views
Katika karne hii tumebarikiwa maendeleo ya makubwa mno katika teknolojia na sasa dunia imekua kama kijiji. Yapo mengi sana yaliyofanywa katika teknolojia ila internet ni teknolojia ambayo imekuwa...
5 Reactions
31 Replies
4K Views
EY: Gold, drug money and a major auditor's 'cover-up' Image captionAuditor Amjad Rihan says EY covered up transactions that were "way beyond suspicion" A major accountancy firm covered up...
0 Reactions
0 Replies
611 Views
Habri za asubuhi wakuu, heshma kwenu Siku zote nilikua ninatamani kufanya kitu tofauti na kazi ninayoifanya, lengo la kwanza sio kupata kipato ila ni ile satisfaction ninayoipata nikiona nimeweza...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wadau naomba mwenye idea na biashara ya duka la simu anisaidie namna bora ya kuifanya pamoja na changamoto zake.Natanguliza shukran zangu.
0 Reactions
12 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…