Hili swali nimekuwa najiuliza kuhusu hii biashara ya online market Tanzania baada kupatana kuingia kwenye hii biashara kuna vijana wengi nao wakaingia huku wengi zaidi kuishindwa hii biashara...
Naomba kujua mfumo wa Islamic Banking unapataje faida kama wao hawatozi riba? Kama hawana riba wanalipaje wafanyakazi na kukodi majengo? Nakopa million 100 narudisha milioni 100 hapa mtaji unakua...
Wakuu hebu nipeni ushauri wa biashara nimepata hizo pesa hapo juu millioni 80 lakini kila nikichekecha biashara ya kufanya ilipe nakua sioni sasa nimeiona niweke hapa ili nipate mawazo nijue pa...
Wakuu nipende kuwasalimia kwanza,
As-salamu alaykum. Bwana Yesu asifiwe.
Kama kichwa kinavyosema hapo juu, mimi ni mtu ninayefuatilia kwa kiasi mambo ya mitandao lakini kufuatilia hakumanishi...
Nifanyeje nipate mtaji? Nina wazo zuri lakini sina mtaji? Haya ni maswali ambayo nimekuwa nikiulizwa sana na wasomaji wa Fahamuhili.com, pamoja na watu wengi ninaokutana nao kwenye maisha ya kila...
**Internet Security**
When you collect personal information, including addresses and credit card numbers, you have the responsibility to protect that data. Hackers who target your website could...
Wadau ipi inalipa kati ya kununua shambani then ukoboleshe na kuupeleka dukani au kununua tu mashineni moja kwa moja nakuenda kuuza dukani. Ipi iko sawa zaidi? Na je, mgawanyo wafaida ukoje kwa...
*Na Emmanuel J. Shilatu*
Tangu Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli iingie madarakani imekazania kununua ndege kwa ajili ya...
Wakuu wasalaam..
Leo nimefanya manunuzi ya machine kwa Alibaba platform
Nimemlipa supplier kwa mfumo wa Alibaba trade insurance
Trade insurance fee ni 2.95%
Nimefanya oder ya 2800usd...
Habari zenu wana JF
Nadhani technology inakuwa kwa kasi sana sana kiasi kwamba unatakiwa uwe active sana kuendananyo. Baadhi yetu ni wagumu sana kuelewa hili na tunajificha kwenye mwamvuli wa neno...
Za muda huu wakuu,
Kama kichwa kinavojieleza nahitaji kuwasiliana na Kikuu Tanzania kwani Juzi niliamua kununua bidhaa kikuu na nikaamua kulipia kwa M-Pesa Online na hela ikakatwa kama kawaida...
Habari zenu ndugu,
Ningependa kujuzwa kuhusu Online Bussiness App ambayo inatoa vitu vya uhakika kama ulichokutana nacho online.
Mfano kama mtu ashawahi pata bidhaa kutoka KIKUU, vipi kuhusu...
Mimi ni mfanyabiashara wa nguo za ndani (chupi). Nimejaribu kufanya ads Facebook na Instagram wamegoma ku-approve kisa policy zao haziruhusu hata picha ya chupi duh..
Sasa nimeshindwa...
Naomba mwenye kujua TRA wanakubali mmiliki mwenye TIN moja akaitumia kwenye Biashara zaidi ya moja? je utaratibu wa malipo ya KODI utakuaje.
Naomba kuwasilisha
Katika harakati zakatafuta maisha, nimepata idea ya kulima bustani/kilimo cha umwagiliaji kwa kutumia maji ya ziwa Victoria, ambayo nikiproove kwamba ipo katika uhalisia, naweza kuanza kuitekeleza...
Nimepita mitaani na masokoni nimegundua watu wengi wanabidhaa nzuri lakini hawajui kuziwekea manjonjo na katika vifungashio vya kijanja tamanishi kwa wateja.
Nimejipanga kuanza kununua bidhaa...
Wakuu napenda wenye kuijua hii biashara ya branding na marketing agency/promotions.
Tupeane ujuzi maana ni biashara ninayotaka kuifanya maana makampuni mengi yana outsource marketing/ promotion...