Ninauliza wakuu,
nisaidie ili nijue sehemu wanakouza vitabu vya ujasiriamali namna ya kufanikiwa. Niko hapa Mwanza na kama unajua bei yake nambie nitashukuru endapo wadau watanisaidia kujua hili...
Salaam kwako mkuu...
Katika pitapita zangu mtandaoni nimekutana na jamaa wanajiita KiKUU ni wauzaji wa bidhaa mtandaoni.
Nahitaji kununua bidhaa kwao, je, ni waaminifu au ndiyo wale wale...
Habarini ndugu,naomba kama MTU anafahamu kuboost Facebook page maana nilikwenda benki wakaniambia niingize security code lakini ile nilikuwa na code 10 wakati ile sehemu ya kuboost zinahitajika...
habar wana jf...kwanza natanguliza shukuran.. waungwan me kijan nimepandan nimepat mtaji ingawa sio mkubwa sana lkn nzan nawez kuanza na hichi kidog nilichonacho...nilikuwa na wazo la kuuza sigar...
*GHANA SHIFTS ATTENTION FROM TAX DRIVEN ECONOMY TO PRODUCTION DRIVEN ECONOMY*
While some African countries are considering increasing Value Added Tax (VAT) also known as Goods and Services Tax...
wasalaam, kama heading inavyojieleza ka yeyote anayefahamu hatua za upimaji wa adrhi na gharama zake. nimauliza hivi kwa sababu mimi nipo mbali na ofisi za ardhi halmashauri, hivyo kwa yeyote...
Wakuu
Tunauza chenga za mchele Grade A kwa wakazi wa DSM tunakuletea dukani kuanzia tani moja,
Bei yetu ni tsh 850, ukiihitaji uletewe sample ilu uagize mzigo njoo pm tupeane namba
Wanajopo natumai niwazima, Kama kichwa kinavyo jitambulisha mi NATAKA kuanza kufanya biashara ya duka kuuliza bidhaa za electrical na electronic sa nahitaji mnijuze kwenu nyinyi ambao mnafanya...
Soko la ubadilishaji wa fedha ni soko kubwa na lenye nguvu zaidi ya kifedha ulimwenguni NA Uwezekano wa wewe kupata pesa nyingi ni mkubwa. Nini kinachofanya biashara ya biashara ya forex hata...
Ukiwa na £2M na business plan wanakupa Indefinite Leave to Remain. Hii ilianzishwa na David Cameroon kushawish wawekezaji wengi kuingia Uingereza.
Wengi wanaopata visa hii ni Warusi na Wahindi...
Ikiwa ni siku ambayo Waziri Mpango anawasilisha Mwelekeo wa hali ya Uchumi mwaka 2018 na mpango wa maendeleo ya Taifa 2019/2020 pia hali ya ukuaji wa Uchumi na maendleo katika nchi za Afrika...
Naimani weekend imeanza vyema kwenu.
Najua Jf hakushindikani kitu, wapo watu wanaofahamu mambo tofauti fofauti na wanaweza kuwa msaada kwa wengine.
Mwanzo niliipongeza sana serikali(kimoyomoyo)...
Wasomi Vijana, mliosoma elimu kubwa za madigrii na Masta tumekosa ubunifu hakika.
Yashangaza sana, Kijana umesoma IT, Umesoma Engeneering, Uhasibu eti unakuja Mtaani unawaza Kufunga Banda la...
Swala la kujiamini linatufelisha sana kufikia malengo mfano mzuri ni mimi mwenyewe nilikuwa muoga sana kuanzia toka nilipokuwa shuleni, hata kama swali jibu lake nalifahamu sitaweza kunyoosha...
Habar zenu
Niko Zanzibar kutafuta fulsa za kibiashara.. Kwa ninavyo fahamu Zanzibar vitu vya electronics kama simu wana sema bei ziko chini...
Naomba kujuzwa fulsa zingine za biashara zilizoko...
Sasa namuelewa sana JPM !
Jamani mtaani kuna pesa nyingi sana ambayo haina pa kwenda. Inatafuta mwenye uhitaji , ipo nyingi sana.
Ukiwa mbunifu (creative), mjanja na mhangaikaji hukosi pesa ...
Utangulizi
Heko Mpendwa wetu Daktari JPM, Huu ni mchango wangu kwa Taifa langu, ambao ni imani yangu kuwa nautoa kwa muda mahususi na kwa Mtu mahususi aliyeteuliwa na Mungu kulivusha Taifa lake...