Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Mbwa wa miezi miwili wanauzwa. Wapo na afya njema wamebakia watano majike wote. Bei nafuu sana 15,000/=. Aina ya mbwa ni chotara German shephard na Afrikan dog. Mwenye uhitaji tuwasiliane nipo Dar...
1 Reactions
2 Replies
737 Views
KAMPUNI tatu kati ya tisa zilizoomba kununua ufuta katika wilaya tatu za mkoa wa Lindi kwa njia ya mnada zitanunua kilo milioni 1.8 kwa bei ya Sh 2,860 na Sh 2,852. Hiyo ilibainika katika mnada wa...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
Wakuu naomba mwenye utalamu wa kutengeneza peanut butter aniambie Kati ya karanga nyeupe na nyekundu ni ipi nzuri kutengeneza peanut butter? Katika kuifanya iwe nyepesi kidogo mafuta ya alizeti...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Wasalamu "Personally hiki Ni kitu ambacho nimejifunza kutokana na nyakati mbalimbali ambazo nimepitia. Kuna wakati nilikuwa na kipato Cha laki moja per month ,ile hela ilitosha na nilifanya...
13 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu habari, naomba kuuliza nikiagiza simu kutoka nje ya nchi na kusafirishiwa kwa njia ya DHL hadi hapa tanzania, je itabidi nilipe kodi ya TRA? kama ndio ni vigezo gani vinatumika kucalculate...
2 Reactions
19 Replies
8K Views
Karibuni Wana zuoni, wachambuzi, Wanafalsafa, Wana saikolojia mniweke Sawa hapa nataka kuanza Choma chips baada ya kuona milango ya ajira migumu lakini nahisi najipeleka kwenye kada isiyo yangu na...
2 Reactions
88 Replies
8K Views
Nauza mashine zifuatazo za kutengeneza siagi ya karanga 1. Peanut grinding machine 40kghr. Price 2.4m 2 . Peanut gas roaster 50kghr .price 2m 3. Peanut skin peeler 50kghr .price 2m Mashine zote...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani Mimi ni wakala mdogo wa airtel money.sasa Kuna hela imeingia lakin cjaona msg ila hela ipo. Sasa jamaa anafanyia kazi Airtel makao makuu wilaya amekuja ameniambia Kuna hela imeingizwa...
0 Reactions
5 Replies
972 Views
Hawa jamaa ni wat wa ajabu mno Nimechoka kuvumilia sana toka mwezi wa nane hawataki kunirejeshea pesa zangu wanadai niwatumie email ya uthibitisho ilhali mimi natumia aliexpress refunds huwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habarini wakuu, nataka nianze Biashara ya kuuza Vitabu vinavyohusu Maisha....inspirational na mahusiano. Ni sehemu gani naweza pata kwa bei ya jumla? Na Biashara hii ikoje kwa ujumla?
1 Reactions
11 Replies
7K Views
Nauza asali mbichi kwa bei ya 160000 kwa dumu la lita 20 mzigo upo wa kutosha, napatikana mwanza kwa mwasiliano zaidi +255 759 822 623
1 Reactions
0 Replies
883 Views
Jumla ya tani 1,884,000 za ufuta zimenunuliwa kupitia chama kikuu cha ushirika cha RUNALI mkoa wa Lindi. Katika mnada huo uliofanyika jana katika kijiji cha Mbondo, tarafa ya Kilimarondo, wilaya...
2 Reactions
62 Replies
6K Views
Pichani [emoji652][emoji652][emoji652] Hii ilikuwa ni ibada iliyoitwa QHAPAC BUCHA au CAOACOCHA .ibada hii ilikuwa maalumu ikifanywa na watu jamii ya INCA karne ya 15 huko COLOMBIA ,walikuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwenye uelewa kuhusu hii biashara naomba dondoo, mzigo unapatikana vipi, ni China au Congo? Ukihitaji kuanza mtaji unagarimu kiasi gani naomba mwenye uelewa hapa anijuze.
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Nampango wa kuanza Biashara ya sandal za kimasai og, nilishafanya sana hii bus ila nilikuwa nazichukulia hapa hapa tz hazikuwa imara kivile lkn kwa sasa nataka kuzifata abroad. Natafuta mdada...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu habari za jioni?naombeni ushauri nataka kufungua chuo cha udereva, Naomba mwenye uzoefu na hii biashara na changamoto zake wakuu? Nawasilisha
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jipatie sofa, makabati, vitanda, tv showcase, coffee table kwa bei nafuu ...wasiliana nasi 0692755311 au whatsapp 0718949610, au tembelea page zetu instagram na facebook Aoe home fyn
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari za jumapili Mabibi na Mabwana...... Hope wote mpo salama sanaaaaaa Nilifika kijiji kimoja miezi kadhaa iliyopita, nilishangazwa sana na watu wanavyoishi kwa kua sikuwahi kuishi kijijini...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom