Muuza duka anatafutwa mwenye umri wa miaka kati ya 20-35.
SIFA
1. Jinsia yoyote.
2. Awe na uzoefu wa kazi au uwezo wa kujifunza na utashi wa biashara.
3. Awe na Elimu ya sekondari au aliyejie...
Sasa mimi nasema hivi, ukitaka kufanikiwa kwenye kilimo, Usilime wala Kulimisha!
Wewe subiria wanaolima walime, wanaolimisha walimishe, wewe subiri mazao uyanunue. Tofauti na hapo ni ziro!
Naitwa Fabian
Nipo mwanza
Nina mtaji kidogo hapa kama laki tatu,nahitaji kijana mwenzangu jinsia yoyote mchapa kazi mwenye kiasi kama cha kwangu tuanze biashara ya viatu vya mtumba tunachukulia...
Msaada jamani, kwa wale wenye Visa card ya FNB mmepata tatizo lolote kutumia kadi hizo kwenye ATM siku hizi mbili tatu zilizopita? Maana nimeshindwa kutoa hela na nipo safarini.
NIMEKULETEA LIST ZA BIASHARA MBALIMBALI.... KAMATA MOJA UJIKOMBOE.
1. Kununua Mashine kukoroga zege na kukodisha.
2. Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha.
3. Kutengeneza na kuuza...
Biashara ya vifaa vya Simu na biashara ya Nguo za kike na watoto ipi inalipa zaidi?
Kwa maeneo ya mikoani kama Mbeya Tukuyu na Njombe Rudewa?
Kwa mtaji wa tsh.laki tatu. kwa kuanzia.
Habari wadau wa jukwaa hili.
Naombeni msaada wenu! Nina rafiki yangu mmoja (wa kike), anaomba msaada wenu.
Ishu iko hivi! Kuna kampuni moja apa mjini imemuomba kutumia jina lake na sura yake...
Habari za leo wakuu,
Kuna rafiki mmoja yupo Dar es salaam n Ni mfanyakazi katika ofisi ya kampuni Fulani, anatamani Sana kuanzisha biashara ndogo itakayompatia walau kipato Cha ziada ili kumudu...
Nakumbuka kikao cha wadau wa mifuko mmbadala na TBS kiliingia nyongo na hakikuisha kwa amani baada ya kutokea mvutano kati ya wabongo na wahindi waliodai wao ndio wamepewa vibali kutengeneza...
Wadau, nimepoteza kitambulisho changu cha utaifi, nimejaribu kufuatilia kwa ajili ya kupata kingine ila process yake ni ndefu na mm nakiitaji haraka kwa ajili ya kubadilisha passport kwa ajili ya...
Habari wanaJF nikiangalia muda huu ni saa tano kasoro ila nimemua kuandika walaka huu ili kutukumbusha vijana kuhusu uaminifu sehemu zinazotupatia riziki.
Nimeamua kuandika JF nikiamini kuwa...
Mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji (39), ametajwa kuwa ndiyo bilionea namba moja nchini kwa sasa, akifuatiwa na Rostam Aziz (49).
Kwa mujibu wa ripoti ya Jarida la Ventures Afrika...
Habarini,
Hili la watumishi wa brela kuwa jeuri na kuchelewesha usajiri kwa makusudi kwa njia ya mtandao imekuwa kero sana kwetu.
Mtu unatafuta jina halafu unaandaa nyaraka zote muhimu...
Mambo zenu waTZ wapenda maendeleo kwa mustakabali wa Taifa letu, naanza kwa masikitiko kwani nimefanya investment kubwa bila evaluation, in mwezi uliopita tu nimesajiri jina la biashara BRELA...
Habari ya muda huu wakuu.
Mimi ni msichana wa miaka 24, nimeajiriwa katika kampuni ambayo masaa 8 nakuwa kazini na ninaishi dar-es-salaam nina mtaji wa sh million 6 ambayo mpaka sasa sijajua...
Ni muhitim wa chuo kikuuu cha dar es salaam 2019 kwa shahada ya aquatic science and fisheries technology...napenda kuwataarifu wadau wote wa samaki au viumbe maji kuwa napatikana bure kuja...
Kutona na maombi ya wateja wetu kwa sasa vijiti vya kuwashia mkaa(moto) vitapatikana kwa Tsh. 750/= jumla na reja reja Tsh. 1000/= .
#0620479092
Kwa Dar unaletewa hadi ulipo na mkoani tunatuma...
Urefu na upana futi 6 unene centimeter 48. Bei 450,000/. Dukani si chini ya 1.5mil. In piece mbili ya juu na chini. Niko Dar Mbezi Makabe. Kama utalipenda njoo PM
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.