Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Salam wana JF Nimekuwa nikiugulia maumivu ya makato ya mtandao wa voda ambayo yanepanda kimya kimya na sijui kama ni kwa bsraka za tume ya maeasiliano au tunalipia zile faini walizotozwa. Mfano...
0 Reactions
2 Replies
829 Views
Amendments to the Companies Act, Copyright & Neighboring Rights Act, Films and Stage Plays Act, Non-Governmental Organizations Act, Societies Act, Statistics Act, Tanzania Shipping Agencies Act...
0 Reactions
0 Replies
872 Views
Wanabodi, Kuna hili nimelishuhudia kwenye usafiri wetu wa anga wa kimataifa, ndio maana nauliza ni tunaibiwa, au tunasaidiwa kwa sababu wenyewe hatuwezi?. Kwenye usafiri huu wa kimataifa, kila...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wapendwa habari zenu. Wana jamii nlikua naomba elimu zaidi kuhusu CIF AND FOB,,tofauti yake hasa ni ipi? Na je nkiagizia gari,,miamala ya kibenki naifanya vipi?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndugu zangu nipoo morogoro nataka kwenda dsm kununua bei za mifuko ya kichina ya kwende sokoni na safari ndogo ndogo Kama ilivyoo kwenye picha nilikuwa naomba kujua bei ya belo lake bei gani na...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Rejea kichwa tajwa hapo juu,natafuta mtu anaeuza laptop yoyote ambayo ni convertible au 2 in 1,kwa maana inaweza kutumika katika mode zote either tablet mode au pc mode. Nawasilisha
0 Reactions
5 Replies
923 Views
Jamani napenda uliza maeneo ya mlandizi mazao gani yanakubali sana??
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nataka nianze kuuza mikate nchi jirani from Sudan na Zimbabwe, naanzia wapi kufanikisha jambo hili?
0 Reactions
1 Replies
764 Views
Habari wakuu... Leo katika pitapita zangu Mjini Dar es Salaam nikakumbuka Yale Mabango ya Neel Salt yalivokuwa yametapakaa Mji mzima kila barabara wakitangaza Chumvi hiyo, Kwenye TV nako...
5 Reactions
35 Replies
5K Views
Kisbo Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
40 Replies
6K Views
Habari za hapa. Leo nimeona jambo (kwa upande wangu naliona kama kero/ tatizo/ shida/ usumbufu). Nilikuwa na ujitaji wa Statement ya mpesa, nikaingia online kuona kama naweza ipata nikakosa...
0 Reactions
0 Replies
559 Views
Kama kuna mtu yeyote anauza kiwanja mitaa ya kimara sehemu ndoogo tu ya kujenga kajumba kadogo tu kakuanzia maisha, Ni Pm kuna ndugu yangu Natalia Price isiozidi 3mil, PM
1 Reactions
2 Replies
896 Views
Vijana wenzangu poleni na majukumu wakubwa kwa wadogo jamani mimi nipo mkoani dar es salaam Ninafanya Volunteer kwenye Company flan mjini post, nimekuja kwenu naombeni kwa atakae kuwa na uwezo...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Habarini! Jamani naomba kuuliiza hilo!! Inahitajika nini na nini na nikamilishe nini ili niweze kufungua ONLINE TV? -Mahitaji ya vifaa -Mahitaji ya mamlaka serikalini Asante.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kwa wamiliki wote wa youtube naitaji msaada wenu Kwa ambaye anauza YouTube account yenye monetization mimi naitaji Pesa ipo mda wowote Tafadhari kwa anae uza naomba tuwasiliane ili tufanye...
1 Reactions
2 Replies
864 Views
Makerekebisho katika chapisho (ERRATA): Jina la creator wa bitcoin ni SATOSHI NAKAMOTO SIO SAKOSHI NAKAMURA kulikuwa na kosa la kiuandishi. Credit to Ngondonyoni Habari ndugu wana JF. Heri ya...
8 Reactions
63 Replies
18K Views
Nifuatiliaje mzuri sana wa soko la Hisa la Dar es Salaam.Naona kwa muda awa miaka miwili kumekuwa na kuanguka sana kwa bei nyingi za Hisa ya makampuni yaliyoko kwenye soko. Sijui haswa ni nini...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hivi hizi habar za edicoin ni za kwel au ndo michezo ya desi tafadhari wa juz naomba msaada
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika mkakati mzuri wa sera ya viwanda ya awamu ya tano lipo jambo ambalo naliona muhimu lakini halipewi umuhimu unaostahili. Nchi inaweza kuzalisha na kuuza bidhaa zake sehemu nyingi duniani...
1 Reactions
1 Replies
786 Views
Wadau nipeni ushaur,kuna mtu anataka nisupply bidhaa ZIFUATAZO kwa kiwanda chake, kwa vipimo vya madebe,na bizaa zenyewe ni ULEZI SOYA, UFUTA ,NGANO,MAHIND LISHE,na ameniomba nitaje bei,hvo...
0 Reactions
1 Replies
791 Views
Back
Top Bottom