habari wana JF!
nina mtaji wa kiasi fulani cha fedha nataka nijikite katika masuala ya mineral brokering maana ni biashara nayoipenda sana. napenda kufahamu some ABC's kuhusu hii biashara. yaani...
KAMPUNI ya Ndege Tanzania (ATCL) inazindua safari ya kwanza kwenda Johanesburg, Afrika Kusini kesho. Akizungumzia uzinduzi huo, Mkurugenzi Mtendaji wa ATCL, Ladislaus Matindi alisema hatua hiyo ni...
Niliwahi sema hapo nyuma kwamba Business location inatesa watu wengi balaa. yaani nazani boashara nyingi zinazo fungwa ssna location inachangia sana.
Location inahitaji hesabu kari sana tena mno...
Nataka kuanzisha biashara ya kununua kahawa kwa wakulima na kuiuza kwenye bodi ya kahawa.
Mwenye uzoefu na biashara hii kuna changamoto zipi ambazo naweza kukumbana nazo? Na je, bado ni biashara...
Hii gari iko sokoni Osaka, $749, jumlisha usafiri inakuwa jumla $2,100 kuinunua Osaka mpaka Kurasini.
(hii Nissan ni mfano tu, kwa wale wanaoishi na kuapa kwa jina la Toyota, Vitz, IST, Noah...
Wadau nashangaa leo bei ya bia ya 1,500 inauzwa shs 2,000 nikahoji sababu wakadai bei ya jumla wamepandishiwa toka kreti waliokuwa wakinunua shs 24,500 hadi 30,000 kwa kreti ya bia.
Najiuliza ina...
Wakuu natumaini nyinyi yote mpo salama. Nahitaji kujua je nikiagiza bidhaa kwa kutumia kampuni ya aliexpress nitazipata wapi bidhaa zangu kwa hapa tanzania na vipi kuhusu kodi!? . ningeomba mtu...
Kumekuwa na taarifa za kuwa na mpango wa Serekali wa kununua ndege kwa ajili ya kubeba mizigo, mbali na hizi zilizopo sokoni pamoja na kwamba nazo zina uwezo wa kubeba kiasi fulani cha mizigo...
Kuna mashine ya juice ya miwa inauzwa ipo dsm inatumia generator hvyo haiitaji umeme kuoperate inafanya Kaz popote kwa 1300000 tu imetumika kwa miez 3 namba 0743514463
Mm nahama dsm thus y nauza
Nina mdogo wangu ni mhanga wa ajira, amemaliza chuo tangu 2015, sasa amezichanga changa kwenye kilimo mpaka amefikisha million 10, sasa anaona aachane na kilimo afanye biashara. Ameniomba...
Juzi katika pitapita zangu ktk maonyesho ya kilimo nilikutana na taasisi hii ya PASS kuwa wanajihushisha na mikopo kwa mkulima hivyo kwa kuwa benk nyingi hazimpi mkopo mkulima ila hawa...
Kwanza niseme hapo Nyuma tusha wahi anzisha ila haikuchukua hata miezi 3 ikafa na watu wakagawana mbao.
SACCOS
Saccos kwanza ambayo ipo kwenye kundi au mfumo wa ASCA huanzishwa na wanachama wenye...
Wakuu habari?
Natafuta partner ambae tutashirikiana kuandaa kazi za business plan kwa kufungua ofisi kwa hapa Dar Essay Salaam.
Kwa atakaekuwa tayari aje pm tuyajenge
Heshima yenu wakuu. Niko katika kufanya utafiti wa kampuni nzuri na za kuaminika ambazo zinatumika kuagiza magari nje kama Japanese Vehicles...Kama kuna yoyote mwenye uzoefu kuhusu anisaidie...
Wadau habarini ya shughuli tafadhali naomba kujuzwa ni njia gani rahisi na kwa haraka endapo ukanunua bidhaa au ukapewa kwa nchi za ulaya na iweze kukufikia hapa bongo kwa njia rahisi..
Je kwa...
Dunia inaenda kwa kasi sana, watu wanazidi kuongezeka na uzalishaji wa chakula unazidi kupungua. In fact gharama ya chakula inazidi kupanda siku hadi siku.
Kama haitoshi, tatizo la ajira linazidi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.