Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

salaam wadau! ningependa kupata ufafanuzi na ushauri kabla sijafanya maamuzi. Nipo kwenye harakati za kuanza kujenga, ningependa kupata ushauri kuhusu tofali. Ninaishi moshi mjini na nategemea...
0 Reactions
50 Replies
19K Views
wakuu naomba kujua, kuna jamaa yangu ana kampuni sasa anataka akachukue leseni ya biashara manispaa ila ameambiwa inatakiwa apeleke uthibitisho wa vitambulisho mf: cha kura/taifa vya shareholders...
1 Reactions
2 Replies
853 Views
Maonesho ya sabasaba yangekuwa mahala pa watanzania na watu wa nchi jirani kwenda kununua kwa wingi mazao ya madini yetu kama mikufu, pete, heleni, vikombe n.k kwa bei nafuu. Wizara haina budi...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Bei za bidhaa za Azam kama maji, unga na ngano zimepaaa! Ukizingatia Azam ni mzalishaji mkubwa wa vyakula na vinywaji laini hapa nchini, kupanda kwa bidhaa zake kutaathiri sana maisha ya walala...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Wakuu habari za majukumu. Natambua JamiiForums ni kijiwe cha wasomi na mchanganyiko wa watu wenye busara zao. Najitokeza mbele yenu mnipe ushauri kidogo, kwa ufupi mimi ni muajiriwa katika...
21 Reactions
179 Replies
22K Views
Siku za karibuni kumekua na uhaba wa soda zenye sukari kwa baadhi ya maeneo, nilichoshangaa ni kua ukiagiza soda ya Coke unaletewa chupa lenye lebo ya "haina sukari" najua na naelewa umuhimu wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habarini wanandugu wa JF na poleni na majukumu ya kila siku. Leo hii nimeona nije na hii thread📜📜📜📜📜 angalau tutoe tongo tongo machoni mwetu. Huu UZI utaweza kukusaidia Wewe na Mimi tuepukane na...
4 Reactions
52 Replies
10K Views
JAMAN WANA JF Mimi nimejiunga na Bank ya CRDB ni mteja mgeni kabisa kwa maswala ya kibank. Shida yangu ni hyo ya makato yao Nimefungu Acount ile yenye ki card kimeandikwa TEMBO CARD. sasa...
1 Reactions
71 Replies
39K Views
Habari zenu! Leo katika jukwaa letu pendwa napenda tujifunze kitu kupitia kwa wenzetu ambao kwa namna moja au nyingine nao walipambana sana kufikia mafanikio fulani. Makala hii nimeitoa ktk Jarida...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Eee bana Mabanker mpo? Aisee usawa wetu umekaa vibaya sana. Naomba tushee mawazo,vikwazo na experiences mbali mbali zilizopo ofisini kwetu na field. Kama kwangu wateja wetu wanafilisika sana...
3 Reactions
87 Replies
10K Views
Habari! Natarajia kwenda jiji mwanza mwanzoni mwa mwezi wa nane kibiadhara,naomba kufahamu yafuatayo kutoka wenyeji na wakongwe wa jiji; 1. Biashara yeyote yenye faida kwa mtaji mdogo 2. Maeneo...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wakuu.. je ninaweza badili account kutoka personal kuwa chapchap?? Lengo ni kukwepa makato ya mwezi /maitainance fee na makato ya kutoa pesa. Naombeni msaada wakuu
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Kuna watu nimekuwa naona humu wanashauri watu wanunue mazao ya nafaka wakati wa mavuno wauze baadae ya bei kuwa nzuri. Biashara yeyote Inakuwa nzuri pale inapokuwa na mzunguko mzuri wa pesa...
1 Reactions
9 Replies
5K Views
Nina Sh. 1,000,000 hapa. Sasa yaani Kuna mambo mawili yananichanganya Sana hapa. 1. Nitafute uwanja Kwanza kwa ajili ya kujenga au 2. Niingize kwenye kilimo? Kilimo kipi hakina stress jaman...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
1,DAGAA WA BUKOBA Dagaa hawa wanapatikana masoko mengi, hawa wanakua hawana mchanga kabisa, wanauzwa kg moja elfu nane huwa inashuka had elfu tano, hawa unanunua vifuko unapack unauza mtaani...
2 Reactions
4 Replies
915 Views
Nurse mwenye cheti cha addo Duka lipo mwanza usagara Nakulipia chumba miez 2, nakupa pesa ya kula 2000 kila siku salary 120,000. Alietayari nicheki kwa namba 0689636330
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari Tanzania! Natafuta watu wa Sales & Marketing ( Unlimited ). Nahitaji wakazi wa Dar as Salaam tu. Sifa 1. Ujue mitaa (maeneo) ya mkoa tajwa. 2. Umri: 18-35. 3. Jinsia: Me & Ke. 4. Elimu...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Faida ya Benki ya CRDB imeshuka kutokana na mikopo isiyolipika. Ni nini tatizo wakati uchumi unakuwa? Karibu tujadili
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Habari za siku, Ningependa kupata ufafanuzi juu ya biashara ya kununua kuku mkoani na kuuza mjini (Dar ea salaam) Ningependa kufahamu yafuatayo; 1)Bei ya kila kuku mmoja ni Tsh ngapi huko...
3 Reactions
6 Replies
7K Views
Wakuu, Natafuta Gas Mask Respirators zenye uwezo wa kuzuia fumes za toxic gases! Nimejaribu kutafuta kwenye maduka mbali mbali ya vifaa vya maabara na ujenzi hapa Dar bila mafanikio mara nyingi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom