Baada ya kupata upenyo wa kuingia Red Carpet, sasa ndugu yetu Rost-Arm ameanza sarakasi mpya. Juzi juzi kazindua kampuni ya taifa Gas, ambayo kimsingi iko Seychelles. Sasa anataka kuiuza kampuni...
Habari ndugu waheshimiwa, kwa wale wanaojua au kufanya biashara kwenye mikoa tajwa nnaomba msaada.... nnaplan kufanya biashara za minadani na kuna option mbili za maeneo nnayotamani kuanzia mkoa...
Wakuu habari za muda huu, natumai mko salama,
Nina ombi hili;
... ninahitaji pump ya maji ya solar kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji.
Shamba lipo ekari tatu, na kisima kipo. Kwa sasa nahitaji tu...
Tafadhali naomba kujua aina tofauti za vifungashio vya kuku walio Chinjwa tayar kwa ajili ya usambzaji katika masoko mbali mbali,
Ningefurahi ningepata na picha kabisa
Habari ya muda huu wana jukwaa. Naitwa jimmy natokea kampuni ya JERIMY ALUMINIUM inayohusika na uuzaji wa chuma za aluminium aina zote na pia tunatengeneza aina zote za madirisha na milango ya...
Kama tittle inavyojieleza, ni biashara gani inaweza ikatiki ndani ya wilaya ya same pale same mjini? nafikiria nifungue duka la nguo, duka la vyakula la kawaida au duka la spea za simu.
je...
Ndugu nina wazo ambalo nimekwisha ongea na watu wachache ninao waamini wakaniambia nitafute wadau niweze kufanya nao ubia na kupata hati miliki naomba kuasilisha!
Lakini Sijui namna ya kupata...
Ndugu zangu nimekuwa natafakari sana kuhusu nguvu nyingine nje ya Mungu inayoweza kumpa mtu mafanikio bila kumtegemea Mungu ambaye mimi namtumikia kama mkristo. Hii nguvu ikoje, kuna mtu sio...
Tafadhali husika na kichwa cha habari hapo juu leo nimekuja na hii biashara yangu... Kama mnavyojua umuhimu wa mbegu za maboga kwenye mambo yetu yaleee ya chumbani (booster) pia huongeza wingi wa...
Naitaka Serikali ya Jamuhuri itunge sheria itakayotoa kibari kwa kila kijana aliye na umri wa miaka 18-35 na kuendelea (awe tajiri au masikini, awe na ajira au hana) kuchangia kwa lazima Tsh.6,000...
Habari wanaJF
Niliona printing papers na stationery Kwa bei nafuu sehemu Fulani mtandaoni. Sasa sijui nikitaka like box 100 nafanyaje? Sijajua namna halali zankuingiza mzigo no zipi, na cost...
Umeshawahi kujiuliza muda unaoutumia kufanya kazi za mwajiri kama ungekuwa unafanya shughuli zako mwenyewe ungekuwa wapi leo? Jaribu kuwaza kwa sauti halafu ujipe majibu mwenyewe, kujiamini na...
Heshima kwenu mashujaa wa Taifa hili.
Ni hivi mimi ni mwanafunzi wa chuo kimoja apa Tanzania(Moro), Mwaka wa pili nimechoka kulala lala na kushinda kupiga selfie na kuchat instagram, Nimefikilia...
Naiomba serikali ya Jamhuri ianzishe tozo ya Tsh.500 kwa kila gari binafsi ndani ya wilaya. Mfano gari binafsi ndani ya wilaya iliyopo kwa siku itatoa Tsh.500 ikiingia barabara (movement). Na...
Biashara na matangazo ya karne ya 21 yanategemea sana teknolojia. Tunaishi ulimwengu wa dijiti hivyo kila kitu hakina budi kufanywa kidijitali. Unaweza kuwa na biashara yako au kampuni yako...
Wakuu
Ukijaribu kuangalia kwa umakini mfumo wetu wa kodi ni wakijinga sana na hautotusogeza mbele.
Gari kwa Tanzania ni Anasa tena anasa kubwa sana.
Unanunua gari milioni tano eti uandae na kodi...
Kiwanja Kinauzwa kipo Boko CCM barabarani njia ya kuelekea Bahari beach
Kina ukubwa wa SqM 2900
Kiwanja Kimepimwa kwa matumizi yote Commercial na residential na kina Documents zote.
Bei ni...
Wakuu mimi nipo vijijini huku, mji mkubwa ambao nipo karibu nao ni Mwanza. Sasa nataka nijaribu bahati kwenye biashara ya kuku wa kienyeji, niwe nawaleta mwanza.
Tafadhali kama kuna anayeweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.