Wadau naomben ushauri na maono yenu katika hili
Mimi ni kijana wa miaka 20 nimekua nikijifunza ufundi aluminum Sasa ni mwaka wa pili nakaa kwa shemej yangu Sasa imefika muda mwafaka wa kutoka na...
Baada ya kuangalia documentary hii ya kijana huyu wa kisomalia Mahad Nur na ndugu yake Mohamed Nur, wanaomiliki City Mall , Victoria Plaza na Africa flight Service, a cargo company , nimejiuliza...
Salaam wakuu.
Ni muda mrefu nimekuwa najiuliza maswali mengi, magazeti haya yanasambazwa nchi mzima mfano Nipashe, Ijumaa, Risasi, The Citizen na mengine mengi, Je haya magazeti yanakwenda wapi...
Bank ya CRDB tangu siku ya Ijumaa ya Tarehe 12 mmekua na ukiritimba wa kuzuia kutumia pesa zetu tulizo zihifadhi kwenu kwa kisingizio cha Network mbona wakati pesa tunaweka na kufungua account...
Wanajamvi,
Naombeni msaada wa kupewa design nzuri na za kisasa za lounge na club!
Kwamba lounge iwe na makuti kwa juu sio bati..
Nini na nini natakiwa niwe nacho kuanzisha hyo lounge na club...
This detailed 38 page guide is for you who wants to start a gym business. It contains contains:
Overview and Trends
The Modern Gym
Major Types of Gyms
Location & Premises
Where...
Nadhani kila mmoja wetu ni mtumiaji wa dawa ya meno, na katika soko letu Whitedent imeteka kabisa soko kiasi kwamba kila BRAND nyingine inayojaribu kujipenyeza inapigwa mweleka, why ?
- Colgate...
Habari,
Jamani naomba kusaidiwa kiushauri kuhusu mkopo niliochukua benki fulani ambayo kwa sasa imefilisiwa na serikali.
Mkopo nilikopa mwaka 2012 kwa makubaliano ya kulipa miaka mitatu yaani...
Ushauri kwa Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kuanzisha safari za kwenda kisiwa cha Mafia.
Kisiwa cha Mafia kina uwanja wa ndege ambao una uwezo wa kupokea ndege aina ya Fokker Friendship...
Wadau habari za usiku,
Naomba kuuliza yalipo maduka ya jumla Dar es Salaam yanayo uza vifaa kama vile vitasa, kalamala (galamala), miko ya ujezi, pima maji, makomeo, makufuli aina mbali mbali...
Wakuu wa wakuu;
Wapi naweza kupata pizza kwa mbeya mjini hapa.
Na Bei je inaanzia shingapi
Maana naishia kuziona tuu kwenye picha
Sasa wacha nionje na Mimi.
Hapa ninamaanisha makampuni yanayotoa bima za magari, nyumba, na vitu vingine.
Unapokwenda hitaji huduma zao wanafanya mahesabu na unalipa jumla yote including percent ya kodi (TRA) lakini hupewi...
INCOTERMS (International Commercial Terms) ni maneno ya kawaida sana katika biashara yoyote ya kimataifa bila kujali ni njia gani inatumika aidha kwa intaneti au ana kwa ana. Hautaweza kuuza au...
Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imependekeza kusamehe kodi mafanyabiashara au mwekezaji kwa kipindi cha miezi sita pindi anapopewa Namba ya Utambulisho wa Mlipakodi (TIN).
Serikali...
Kuna mzigo nataka kusafirisha, natakiwa nipaki mzigo usizidi kilo 50, na jumla ya mzigo na kifungashio iwe kilo 50.2. Je kwa hali hiyo CIF mpaka bandari mojawapo ya hizo inapatikanaje, na inaweza...
Salute folks,
Ni matumaini yangu wote mu wazima wenye afya njema kutuwezesha kuendelea na shughuli zetu za kila siku za uzalishaji. Nimekua member humu kwa muda mrefu kiasi chake, na leo nikaona...
Nch nyingine mfano Canada nyumba kama haikaliwi na mtu kuna Kodi inaitwa empty home tax ambayo ni asilimia moja ya thamani ya nyumba.
Kagera na Kilimanjaro vijijini watu wamejenga majumba ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.