Habari wanajamvi!
Nipo katika harakati za kujifunza kujaza hiki "P.A.Y.E-DETAILS OF PAYMENT OF TAX WITHHELD"
Nimeshindwa kuelewa vitu hivi;
1. Taxable amounts
2. Tax due
Hii taxable amount...
Do you want to start any of the following 60 businesses ?
Tyres Retail - New
Real Estate Agency - 42 pages
Executive Barber Shop - 42pgs
Petrol Station (Independent) - 47pgs...
Wajameni mnaendeleaje na maisha?
Kuna muuzaji mkubwa wa samaki aina ya lobsters anatafuta soko, natafuta contacts za viwanda na kampuni za samaki zinazonunua samaki hawa, au kama una taarifa...
Nina jiwe ambalo kwa tathmini zangu za awali ni Madini mojowapo yanayopatikana kwenye mkanda wa Almasi(Diamond), naomba msaada wa mawazo niende sehemu gani kwa uhakika zaidi wa jiwe hili
Sent...
wakuu katika pita pita yangu ya hapa na pale katika maisha nilikuwa nafikiria mara mbili mbili kuanzisha biashara ya real estate hapa tanzania mimi naona ni biashara ambayo inalipa kama mtu ukiwa...
Nahitaji watu walio serious hapa jamii forum na nje. Tufanye mradi wa maji yaani kuchakata maji magumu kuwa laini.
Project Investment ni Tsh. 15,000,000 mpaka Tsh.30,000,000. (Sina uhakika kiasi)...
Habarini ndugu zangu
Naomba msaada katika hili Nina biashara yangu ya Urembo nilianza mda kama mwezi Wa kwanza hivi ..sasa kwa hatua niliyofikia nataka kumix na vipodozi kidogo kwa mbali
Sasa...
Wakuu, mm ni mjasilia mali mdogo, nahitaji kufungua Ofsi ya Uwakala wa Mabasi yaendayo mkoani. Mimi nipo Dar lkn sehemu niliyopo inachangamoto Sana ya upatikanaji wa Ticket za mabasi pamoja na...
Waziri wa Ujenzi. Mawasiliano na Uchukuzi, Mhandisi Isack Kamwelwe ametangaza kuanzia leo Jumatano, Julai 17 Shirika la ndege la Tanzania (ATCL) litanzindua safari yake ya kwanza kutoka Dar es...
Habarini wadau, kwenye habari za tbc namuona mkuu wa wilaya anasema ataanza kusweka ndani wenye viwanda vya mvinyo mkoani dodoma kwa kushindwa kununua zabibu zilizokomaa mashambani.
Yaani...
Dar es Salaam. CRDB Bank customers yesterday find themselves in mayhem after the banking services were disrupted by network failures.
The problem which started on Monday mid night continued today...
Max Malipo wawekeni wazi mawakala wenu kuhusu kupungua kwa kamisheni, haiwezekani mkasema tu kuwa kamishen imepungua kutoka 2.5% hadi 0.5% ya mauzo anayofanya wakala kwny luku alafu muishie hapo...
Mambo vipi?
Kama kawaida siku ya leo tunakutana tena ambapo ningependa nikufahamishe mambo 5 yakuepuka unapoanza online business kwa mara ya kwanza.
Somo hili ni muhimu kwasababu ukiweza...
Vipo vitu vingi vya kufanya, usipende kupoteza muda wako kwa kufanya kitu ambacho uwezi. Fanya kile unachoweza na ambacho unahisi kitakupa matokeo chanya.
Today, a new business directory (finder.co.tz) has been launched marking it as the best business directory in Tanzania.
Starting with over 700 businesses including hotels, apartments, insurance...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.