Habari wakuu nimekesha kutwa natafuta MAC VST za logic Bila mafanikio naombeni msaada kwa mtaalamu yoyote aliyena Link Ambazo nitaweza Kupata VST hizo kwa Free kama Wave bundle, Nexus, Contact...
Wakuu nahitaji msaada wa maelezo kwa yeyote anaejua haya makoto.
Ipo hivi nilifungua account ya CRDB bank ile ya furahaa account kwa maelezo yao, kuwa haina makato ya kila mwezi,
Nikakaa muda...
Wadau nina mtaji wa Tsh 3,000,000 na ninataka nianzishe duka la kuuza vipuri vya magari. Ninapenda biashara hii kwa sababu mimi ni mdau wa magari sana.
Naombeni ushauri nianze na bidhaa zipi...
Haya wanajamvi nipo mbioni kufunga mashine ya kukamua mafuta ya alizeti maeneo ya Makambako ktk mkoa mpya wa njombe, Kwa wale wanaohitaji mafuta ya alizeti na wafugaji wanaohitaji mashudu ya...
Wakuu kwenye bajeti iliopitishwa walipendekeza biashara zifunguliwe ila makadirio mtu ataanza kulipa kodi ya serikali baada ya miezi 6. Naomba kujua kama tayari utaratibu huu unafanyika ili tuanze...
Wafugaji wengi wa kuku wa nyama wanapata changamoto sana juu ya upatikanaji wa vifaranga kwa wakati na chakula bora.Mimi nipo katika hii field ya usambazaji wa chakula bora cha Nassad na...
Let me imagine how it be like if African countries were students in one class and one school.
1• Algeria:
quite interested on reading books, enjoy literature and quite rich by standard. However...
Hi wanajamii, kwa mtu aliyeko Oman au mwenye experience na mji wa muscut naomba usaidizi, nasafiri next week nataka kujua hotel gani ambayo ni ya wastani nzuri/bei nzuri iwe mjini, budget iwe...
Greetings!
I trust you are good today.
Leo nataka nizungumzie upande wa pili wa shilingi kuhusu jinsi unavyoanza side hustle, changamoto zakutegemea kukutana nazo na mwisho jinsi gani unaweza...
Kwa wale members ambao wana uzoefu na hii biashara watupe fununu kuhusu hii biashara maana nina taraji kuianza soon mambo yakiwa mazuri.
Taarifa ambazo ninahitaji kuzifahamu kuhusu hii biashara...
Manunuzi ya mtandaoni ni njia rahisi ya kuokoa muda na gharama. Badala ya kuchoma mafuta na kwenda kununua vitu, unafanya manunuzi yako kupitia simu ama kompyuta. Lakini, kadri umaaarufu wake...
Habari za wakati huu ndugu zangu, Mimi ni binti miaka 25 muhitimu wa chuo ngazi ya diploma ila sijaajiriwa na nimemaliza chuo tokea mwaka juzi.
Nakuja mbele zenu nikiomba ushauri juu ya wazo la...
Wakuu,
Kiukweli na uhalisia,
Karibia 84.6% ya watu wanaofanya biashara ya pesa za mitandao wanatumia line zenye majina ya watu wengine-
Ambazo wamezipata kwa kununua au kupewa kienyeji tu,
Na...
Mjasiriamali jokate Mwegelo almaarufu kama Kidoti ametajwa katika orodha ya jarida la Forbes ya wajasiriamali 30 wa Afrika wanaofanya vizuri wenye umri chini ya miaka 30.
My take: Hii ni hatua...
Habari zenu!! Nahitaji msaada kama kichwa Cha mada kinavyojieleza!! Nataka kutengeneza vifungashio Kama njia ya ujasiriamali. Naomba anaefahamu sehemu ninayoweza kupata anisaidie!!
Natanguliza...
ELIMU BIASHARA
UNAHISI HAUTAWEZA? ANZA NA ELFU KUMI LEO
Kuna watu tunatumia miaka Mingi sana Kulalamika hatuna mitaji, na hatutumii hata nusu ya miaka hiyo kujaribu ku-save ili tupate mitaji ya...
Habari wakuu nimefanikiwa kupata milion 7 na nimepewa fremu ya bure na Baba mkwe wangu cha kufanya ni kuiboresha kulingana na biashara ninayotaka kuifanya.
Sasa baada ya kuwaza nikaona nifanye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.